bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Boss

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bidhaa ambazo Serikali inatakiwa izizuie kuingia nchini

    Binafsi naamini ukosefu wa ajira unasababishwa na kujilemaza na kuruhusu nchi iagize nje kila aina ya takataka, kuna aina za bidhaa iwapo zitakosekeana Vijana automatically watajifunza namna ya kutengeneza na kujipatia ajira na kipato, na wala sio bidhaa za ulazima kwamba zikikosekana nchi...
  2. World Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Elimu Jamii: Usafirishaji bidhaa/huduma ndani na nje ya Tanzania

    Habari wadau wa JamiiForums, Salamu kutoka WLC. Tuliomba nafasi kwa uongozi tuje kutoa elimu kwenu kuhusiana na uagizaji wa bidhaa au huduma ndani na nje ya nchi. Tumekuja rasmi. Mzigo wako umekwama bandarini? Uwanja wa Ndege au sehemu yoyote? Tuulize tukupe ushauri wa kitu gani cha kufanya...
  3. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Nilipotaka kuingia mkenge wa kununua bidhaa Ali -express

    Ishu ipo ivi katika pita pita zangu na kuchungulia ile app ya Ali express, ambayo ninayo kwenye simu hua naangalia kuna bidhaa gani mpya ambayo naweza nunua kwa matumuzi yangu binafsi? Bana nikakutana na bidhaa mpya ambayo ni flash drive ya ((2tb)), tala bite mbili ambazo sawa na gb elfu 2...
  4. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania Fanya haya ili biashara unayoianzisha isife

    1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo. 2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo. 3. Amua kujenga mahusiano...
  5. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Misamiati iliyoko kutokana na watu au bidhaa

    1. Kisado -- Bidhaa ni rangi ya nyumba, ya kampuni ya Sadolin. Walikuwa wakiweka kwenye makopo ya ukubwa fulani yaliyopachikwa jina la "visadolini" au "visado". 2. Kimbweta - Kiti na meza cha zege, mara nyingi huwapo kwenye taasisi za elimu ya juu. Vilibuniwa na Prof. Mbwette. Wengine huviita...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shukrani Rais Samia kwa kuruhusu bidhaa za Kenya. Chuki haijengi; tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa uongozi wako

    Ama kwa hakika huyu mama atakua suluhu. Najua hizi habari zitwatibua nyongo wale hupenda kuendekeza chuki lakini ndio hivyo. Tupige biashara na kuboresha chumi zetu. ======== Kenya President Uhuru Kenyatta (right) and his Tanzania counterpart President Samia Suluhu Hassan having a word during...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Athari za kukopesha Wateja Bidhaa

    1. Kumpoteza mteja Kuna usemi usemao kumkopesha mteja ni kumfukuza. Nimesikia mara kadhaa wafanyabiashara wakisema tangu ni mkopeshe haji tena dukani kwangu, au tangu nimkopeshe anapita mbali tu. Mara nyingi mteja akishakopeshwa pesa au bidhaa haji tena kwenye biashara husika ili kukwepa kulipa...
  8. May Day

    JamiiForums Tanzania Tusijidanganye kutatua tatizo la uchumi na ajira bila kuhakikisha walau 70% ya bidhaa tunazozitumia tunazalisha wenyewe

    Siku hizi imekuwa kama sifa kumsikia Mtu akijinadi kuwa yeye ni bingwa wa kuagiza bidhaa kutoka China au sehemu nyingine ya Dunia. Kwa vyovyote Mtu kama huyu hawezi kufurahi akisikia mipango yoyote ya Nchi kutengeneza bidhaa zake yenyewe, na atafanya kila linalowezekana kuhujumu juhudi kama...
  9. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Anayejua chimbo la hizi bidhaa kwa Dodoma

    Kwema wapambanaji? Napenda anayefahamu mahali wanapozalisha hizi ice cream cone biscuit pekee na kuziuza kwa bei ya jumla kwa hapa Dodoma Mjini. Nitafurahi kama nitapata msaada .
  10. Wu-Ma

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza bidhaa mbalimbali

    Jamani habari wakuu, nauza bidhaa zifuatazo, naclear stock mana zimebaki pcs chache sana. Mikanda ya kupunguza tumbo Kwa wadada , @Tsh 15000 ..zimebaki pcs 7 Safari bags @Tsh 25000 Zipo pcs 4 Taulo za kike , ladies @Tsh 18000 pamoja na kilemba zimebak pcs 4 Capert manyoya heart...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili Serikali inapoteza mapato mengi sana kupitia hizi stamp za bidhaa

    Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu kama kichwa cha habari kinavyosema, serikali ya nchi yetu inajitahidi sana kufikia malengo yaliyojiwekea kwenye ukusanyaji wa mapato,kupitia bidhaa zinazolishwa viwandani, na hata pia kwa watoa huduma yani ( service product) TRA wameweka mfumo fulani...
  12. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Wapenzi wa bidhaa za asili

    Tunauza bidhaa nzuri zilizotengenezwa kwa mti wa muanzi yaani bamboo tree, bidhaa ni nzuri, zipo kwenye kiwango cha ubora wa juu na salama kwa matumizi. JE, FAIDA YAKE AMA UPEKEE NI UPI? Kwanza vyaweza kutumika kama mapambo ya ndani yaani interior decor ama matumizi halisi, mfano kikombe...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Faida nzuri ya kilimo utaipata ukitoa bidhaa badala ya malighafi

    Nimeangalia documentary nyingi za kilimo kutoka Australia mpaka Brazil hata Italy, Ghana na South Africa. Kilimo kina faida baada ya uwekezaji mkubwa. Kwanza kilimo chenye faida kina anzia heka 20+. Kupata ukubwa huu wa shamba uweze kulima kwa trekta kutoka kwenye pori si kazi ya mwaka mmoja...
  14. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Rais Samia kuziangalia bidhaa zilizopanda bei kutokana na matamko ya kisiasa na kuumiza wananchi wa hali ya nchi

    Nakumbuka mwaka 2016 bei ya sukari ilikuwa shilingi 1,800 kwa kilo. Bei ya mfuko wa cement ilikuwa 11,000 hadi 12,000. Bei ya mafuta ya kula nayo ilikuwa chini sana lakini baada ya kuwekwa zuio la kutoingiza hizo bidhaa bei ilipanda kwa zaidi ya 60% na imekataa kushuka licha ya kutangaziwa kuwa...
  15. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za Tanzania huwa zinapigwa vita sana Kenya

    Industries goods za Tanzania huwa hazipati nafasi Kenya na huwa zinapigwa vita mbaya mno, tofauti na Tanzania ambako zimejaa bidhaa za Viwandani kutoka Kenya. Nakumbuka bia za TBL zilipigwa vita sana Kenya, ilihali huku Tuska na Prisner zinazwa na hakuna aye zipiga vita. Wakenya kutoka...
  16. kahata

    JamiiForums Tanzania Bidhaa ipi ya mtumba ina soko sana?

    Naomba ushauri bidhaa ipi ya mtumba ni inatoka na ina faida zaidi. 1. Magauni 2.Nguo za watoto mix 3. Mashuka 4.Mashati 6.Sidiria Na vipi bei ya belo kwa bidhaa hapo juu?
  17. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ukinunua bidhaa kupitia Kikuu online unaletewa mzigo mpaka mahali ulipo?

    Habari wakuu, Kwa wanaonunua kikuu jee ni kweli wanadeliver hadi ulipo? Vipi shipping yao inachukua siku ngap? Jee wakideliver had ulipo wanakuchaji?
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya

    Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya. Gross Domestic Product (GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile. Hebu Tujiongeze tuanze kuzalisha bidhaa mpya ambazo zinahitajika na mataifa mbalimbali. Tuzalishe...
  19. Alvin Slain

    JamiiForums Tanzania Ni bidhaa gani unazoweza kuziuza ×1,000 kwa siku moja?

    Habari wanabodi. Ni bidhaa aina gani unazoweza kuziuza mara 1000 kwa siku? Gharama ya hizo bidhaa isizidi 2,000 kushuka chini. Karibuni kwa michango yenu.
  20. Abdistar

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani inasafirisha bidhaa kutoka China?

    Mambo vipi wadau, Jamani naomba msaada kujua kampuni inayofanya shipping kwa bei poa kutoka kwenye maduka ya CHINA kama vile ALIEXPRESS AU ALIBABA au Maduka ya US kama Amazon. Kwa mwenye kujua na utaratibu wake atakua amenisaidia sana. Nawatakia siku njema.
Back
Top Bottom