Shukrani Rais Samia kwa kuruhusu bidhaa za Kenya. Chuki haijengi; tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa uongozi wako

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,650
48,413
Ama kwa hakika huyu mama atakua suluhu. Najua hizi habari zitwatibua nyongo wale hupenda kuendekeza chuki lakini ndio hivyo. Tupige biashara na kuboresha chumi zetu.

========

KenyaTanzania

Kenya President Uhuru Kenyatta (right) and his Tanzania counterpart President Samia Suluhu Hassan having a word during Kenya-Tanzania Business forum at Serena Hotel on May 5, 2021. NMG PHOTO

Tanzania will allow Kenyan juices and wheat flour into its market, following a bilateral meeting that has resolved the trade barriers that had caused clearance hurdles at the border.

In a meeting held last week in Arusha, Tanzania agreed to abolish inspection fees for processed products with standardisation mark, giving Kenyan goods a smooth entry into their market.

The meeting was a follow-up of the bilateral talks held between President Uhuru Kenyatta and his Tanzanian counterpart President Suluhu Hassan last month that sought to mend and restore bilateral ties damaged under the presidency of John Pombe Magufuli.

“Some of the issues resolved on the side of the United Republic of Tanzania include facilitating clearance of soft drinks such as juices, removal of inspection fees for processed products with standardisation mark including wheat flour,” read the communique.

Tanzania said it has started implementing the ‘Single Window’ system that allows traders to lodge information with one agency to fulfil all import or export-related requirements, a move that will reduce delays in the clearance of pineapple juices produced in Kenya.

The meeting directed Kenya Revenue Authority and Tanzania Revenue Authority to explore the possibilities of granting preferential access to cigarettes, made-in-Kenya tobacco sourced from Tanzania, and report back in the next bilateral meeting.

On the other hand, Kenya has agreed to grant cement coming from Tanzania preferential treatment in accessing its market. To enhance the process of clearance of goods, it was agreed that Single Customs Territory be fully implemented.

During the meeting, 64 issues were handled, 30 were resolved and decisions made on how to settle the remaining 34.

Source: businessdailyafrica.com
 
Hamna win win situation nyie hapo tz inaenda kuwa loser tu, eti Mkenya afurahie mafanikio ya mtz! Nehi.
 
Hamna win win situation nyie hapo tz inaenda kuwa loser tu, eti mkenya afurahie mafanikio ya mtz! Nehi.

Biashara ni maslahi, utakua mjinga ukisubiri unayefanya biashara naye ndiye ajali maslahi yako, huyo sio ndugu yako, Watanzania mjifunze dunia ya leo unapaswa kukaa kwenye meza na kupigishana mahesabu ya kibiashara kama mumenuniana, ni baada ya makubaliano ambayo kila mmoja amejiridhisha kwamba maslahi yake ameyalinda ndio basi muanze kukenua meno na kunywa mvinyo na kupiga stori za undugu na pumba za kawaida na mapicha mapicha na vihotuba hotuba.

Kajifunze biashara pale Kariokoo kwa Watanzania wenzako, ukizubaa unapigwa
 
Biashara ni maslahi, utakua mjinga ukisubiri unayefanya biashara naye ndiye ajali maslahi yako, huyo sio ndugu yako, Watanzania mjifunze dunia ya leo unapaswa kukaa kwenye meza na kupigishana mahesabu ya kibiashara kama mumenuniana, ni baada ya makubaliano ambayo kila mmoja amejiridhisha kwamba maslahi!!!!! yake ameyalinda ndio basi muanze kukenua meno na kunywa mvinyo na kupiga stori za undugu na pumba za kawaida na mapicha mapicha na vihotuba hotuba.

Kajifunze biashara pale Kariokoo kwa Watanzania wenzako, ukizubaa unapigwa
Biashara ni maslahi, utakua mjinga ukisubiri unayefanya biashara naye ndiye ajali maslahi yako, huyo sio ndugu yako, Watanzania mjifunze dunia ya leo unapaswa kukaa kwenye meza na kupigishana mahesabu ya kibiashara kama mumenuniana, ni baada ya makubaliano ambayo kila mmoja amejiridhisha kwamba maslahi yake ameyalinda ndio basi muanze kukenua meno na kunywa mvinyo na kupiga stori za undugu na pumba za kawaida na mapicha mapicha na vihotuba hotuba.

Kajifunze biashara pale Kariokoo kwa Watanzania wenzako, ukizubaa unapigwla
Taqbri!!! Awamu ya mama ni kufunguwa mbomba na mishipa ya mbichwa ya ndaganyi ass.
Wamebanwa na retention fee and ccmu zezetas should step aside.
 
Back
Top Bottom