Nilipotaka kuingia mkenge wa kununua bidhaa Ali -express

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
1,447
2,285
Ishu ipo ivi katika pita pita zangu na kuchungulia ile app ya Ali express, ambayo ninayo kwenye simu hua naangalia kuna bidhaa gani mpya ambayo naweza nunua kwa matumuzi yangu binafsi?

Bana nikakutana na bidhaa mpya ambayo ni flash drive ya ((2tb)),
tala bite mbili ambazo sawa na gb elfu 2 kama sijakosea na kama nimekosea mtanirekebisha.
Screenshot_20210607-013119.jpg


Nikaona haaa hua na nunua flash za gb 16,32,64 128 n.k sasa huu mzigo wa tala bite 2 ndio funga kazi nikajua movie sasa zitanikoma ni kumove tu bila kuangalia muv ina gb ngapi ni mpera mpera tu hii mkataba.
nikacheki je ni original au feki
Au nimuulize Chief-Mkwawa nikachek reviews za wanunuaji naona zinasifiwa wamekuta 1.90 tb ukitoa 10 za file nikamuuliza jamaa yangu mmoja akasema hii og tuagize
tena tuagize nyingi bei ef7 tu.

Alafu uku tunakuja kuuza ef 20+ faida kubwa.
Nikawa nafanya mpango wa kuondoa deni la songesha mpesa ili niweke pesa kwenye mpesa master card yangu nilipie bidhaa.

Basi bana nikaingia kwenye item description nikasoma kwa makini mhm nikagundua kitu kwamba hii ngoma ni 2tb ambazo ni gb elf 2 lakini pale wameandika 32gb upgraded to 2 tb na inachukua file za ukubwa huo wa 32 gb baada ya hapo file zitakazo ongezeka azionekani
IMG_20210607_074007.jpg


eheee ndio ishu yenyewe ikabidi niache kwa upande wangu nikaona akuna cha maana bora nichukue flash ya kawaida kuliko hii aipo standard file zingne nisizione ili kiwe nini.

Wakuu ambao tuna nunua vitu
Ali express ,sijui eBay, amazon, bangood pia (kikuu) hii sijawi agizia
Tuwe makini sometimes tunalalamika fake kumbe kuto kusoma bidhaa ipoje na ina mahitaji yepi
Mwishoni
Nikaingia kwenye questions and answers nikakuta wanunuaji ambao tayari wamesha nunua na kutumia wanalalamika full malalamiko mpaka nilicheka moja ya comment ya mdau iliniacha hoi sana
>>this seller is a lier
kumbe ni wenyewe kuto isoma bidhaa vizuri aisee tuwe makini wanunuaji wenzangu.

Screenshot_20210607-013823.jpg


Screenshot_20210607-013808.jpg


Screenshot_20210607-011925.jpg
Screenshot_20210607-011925.jpg
Screenshot_20210607-011925.jpg
Screenshot_20210607-013808.jpg
Screenshot_20210607-013823.jpg
 
Ishu ipo ivi katika pita pita zangu na kuchungulia ile app ya ali express, ambayo ninayo kwenye simu hua naangalia kuna bidhaa gani mpya ambayo naweza nunua kwa matumuzi yangu binafsi?

Bana nikakutana na bidhaa mpya ambayo ni flash drive ya ((2tb)),
tala bite mbili ambazo sawa na gb elfu 2 kama sijakosea na kama nimekosea mtanirekebisha.
Jifunze kuandika kwa ufupi na kueleweka itakusaidia kwenye mambo mengi...!!
 
Dah! mzee mwenzangu hapa nnavoandika imeshafika Tz na nilimuagizia mtu
Hii thread yako imekua kama mwiba kwangu
Acha bana uliagiza hii item ? mi ilibaki kidogo alafu unaweza muaminisha mtu cha maana iki kumbe mizinguo na vipi saiz bidhaa azichelewi maana toka corona niliagizaga zilikua zinachelewa sana miez mi3 mpaka 4 ndio zinakuja saiz zinawai?
 
Nataka niagizeee hiii kitu hapo chini sijawah agiza kwa kutumia ali express wenyew uzoefu pliz

75848456-8653-4DCD-AF67-64E090E1A1C8.jpeg
 
Hizi flash kuna siku ilibaki hiviiiiiii😂😂😂 niliposoma reviews tu nkasema HAWANIKAMATI
 
Wale wazoefu wa unuaji vitu mtandaoni huwa wanazingatia vitu vitatu kabla ya kununua
iterm description specification comments za wanunuaji wengine ziada ni additional comment za watumiaji baada ya kununua bidhaa hiyo

Vitu vingine ambavyo tunajichanganya sisi ni kutojua baadhi ya terms/maneno yanayotumika huwa yanaanisha nini mfano mtu ananunua nguo na anaona nguo ni nzuri sana ila hajui hajui zile material za nguo ni za aina gani mpaka aisheke so online hapo lazima ulie ka SHISHI na gauni lake la harusi, kikubwa ni kujitahidi kujua size, weights,colour, na vingine muhimu ambavyo vinatofautisha bidhaa husika
 
Vitu vya kukumbuka daima kabla ya kununua bidhaa mtandaoni
1. Specifications
2. Item description
3 . Comments &reply
facts, na wengi huwa hawaelewi tofauti kubwa kati ya specification na iterm description, na hapo wengi ndo hufa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom