Master Kutu
Member
- Jun 8, 2021
- 77
- 174
Habari ya leo wakuu,kwa muda sasa imekuwa changamoto kubwa kupata kazi hata kama una uzoefu kiasi gani bado watu kukupa ajira ni mtihani.
Kwa upande wangu mimi nna uzoefu wa kutosha Katika usafi hasa ule uchafu sugu mfano kung'arisha masink na Tiles zilizo fubaa ama kuwa na uchafu sugu pamoja na Fumigation pia natengeneza dawa za kufanyia usafi na sabuni aina zote za maji na mche pamoja na shampoo.
Pia natengeneza batiki.
Kukua kiuchumi ukiwa mjasiriamali mdogo ni kazi hasa uki zingatia matumizi ya kila Siku na mauzo kuwa kidogo kutokona na uwezo wa mtaji wako.
Nime pata wazo tuungane vijana at least 10 ambao hawana ajira ili tuwe committed kuzalisha bidhaa na kutafuta masoko ya bidhaa zetu na tenda za usafi katika taasisi binafsi na mashirika ya umma.
Pia natamani tuchange pesa tununue eneo letu hata la bei rahisi Vikindu au Kisemvule kwa ajiri ya kufanyia shughuri zetu za uzalishaji
1.uzalishaji wa bidhaa za usafi na sabuni
2.utengezaji wa batiki
3.ufugaji wa kuku
4.ufugaji wa Samaki
Hizo ni baadhi ya shughuri tuta kazo tumia katika eneo letu.
Kwa uliye tayari unaweza kuni tumia number yako pm ili niku add kwenye group la watu tulio na utayari ili tuweze kuwasiliana na kujua namna tutakavo onana baada ya wote kuwa kwenye group 1 pamoja na kuandaa utaratibu wa namna gani tuta sajili kikundi chetu.
UKI TAKA KUFIKA HARAKA NENDA MWENYEWE NA UKI TAKA KUFIKA MBALI NENDA NA WENZAKO