biashara

  1. JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini wewe unayetaka mafanikio kwenye biashara yako lazima uende kwenye madhabahu ya Mwamposa

    Hii ni kwale waaminio tu. Kwa wewe usie amini baki na maneno yako kwa sababu yanafaa zaidi kukaa kwenye kichwa chako kuliko kwenye uzi wangu. Now lets go watu wangu. Uzi ulio pita nilitoa maelekezo namna gani unatakiwa kufanya kama kweli upo serious unataka kufanikiwa kupitia madhabahu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuiga biashara fanya haya

    Habari zenu Wakuu, Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kuiga biashara maeneo ambayo hayana mzunguko na kujikuta wakifunga biashara zao kwa hasara na majuto. Ndugu MwanaJF leo ningependa kukusaidia ili isije tokea ukafanya kosa linalofanywa na wengi mitaani especially kwenye biashara za...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini bar nyingi zenye biashara ya kitimoto zina mazingira machafu na allergy ya usafi

    Hello everyone heri ya msimu wa sikukuu. Jamani naomba majibu na mjadala wa kina kwanini sehemu za biashara ya kitimoto ni chafu na kiasi cha kupofusha macho ya kinyaa kwa wateja? Ni hayo tu Wadiz
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mazingira yetu ya Afrika biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani inaweza kukutoa katika umaskini

    Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka. Faida ya duka la mahitaji ya nyumbani,. I)uhakika wa kuuza bidhaa Kila siku kwani watu wengi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kukopa benki milioni 17, biashara gani inanifaa?

    Kwanza nawashukuru sana watu wote mlionishauri, kunikosoa, kunikejeli na kunielimisha kwenye andiko langu la " NAOMBA KUSHAURIWA, KUELIMISHWA NA KUKOSOLEWA" asanteni sana. Pili napenda kusema kutoka moyoni kwamba nimeamini na nina imani kuwa wafrika itatuchukua miaka mingi sana...
  6. JamiiForums Tanzania Biashara Kuu za Mtu Mweusi

    Kusema "Africa ni bara lenye giza" ninaweza kueleweka vibaya na kuonekana kama siyo sahihi. Lakini ukweli uliopo naona Africa ni bara lenye giza totoro, lililokosa watu welevu, ingawa natambua uwepo wa utajiri katika bara la Afrika, tamaduni zake pamoja na mandhari mbalimbali. • Ndio, kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Namna bora ya kumsaidia Bwana Mdogo mtaji wa Biashara

    Mwaka 2014 kuna bwana mdogo, alikataa shule akiwa form two, akidai kuwa hapandishi, ni kweli hakuwa akifanya vizuri darasani. Akawa ni mtu wa kwenda minadani tu. Mwaka 2018, aliomba msaada wa sh 210,000 ambapo alidai anaenda nunua mbuzi kwa ajili ya kuanza kuuza. Sikua na mawasiliano naye ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania China inahimiza uhusiano wa biashara ya China na Afrika kuelekea kuwa wa mseto

    Kama zawadi ya sikukuu ya Krismasi, kuanzia Jumatatu wiki hii yaani tarehe 25, Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zimeungana na nchi nyingine 21 za Afrika katika kunufaika na soko la China kwa asilimia 98 ya bidhaa zake kama kahawa, matunda na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa kuhusu biashara ya usafi majumbani na maofisini

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana(25) wa kiume niko Dar es Salaam, katika kutafta kazi baada ya kumaliza chuo( miezi 4 mtaani) mwaka huu mambo yamekuwa magumu nilipga kazi mbalimbali kama ujenzi, kulima, kubeba mizigo Kariakoo ila pesa ni kidogo kiasi kwamba kodi ikifika ya nyumba huna cha...
  10. JamiiForums Tanzania Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani

    Ni wazi kabisa bila kupepesa macho lengo kuu la wazazi wa Tanzania ni kusomesha mtoto ili aje kupata ajira serikalini. Ajira zinazidi kuwa adimu sana, wanafunzi wengi wanahitimu vyuo na vyuo vipo vingi sio kama zamani, wahitimu wamekuwa wengi sana lakini ajira haziongezeki. Wanaoajiriwa ni...
  11. JamiiForums Tanzania Mkopo lazima iwepo biashara?

    Wakuu kheri ya sikukuu ya kuzaliwa KWA Yesu? Assalam aleyko? Nilikuwa naomba kuuliza kama upo na asset unaweza kwenda kuomba mkopo KWA ajili ya biashara au ni lazima iwepo biashara ambayo ipo? Na kama ni lazima iwepo biashara kuna alternative yoyote unaweza para mkopo kwa asset uliyonayo KWA...
  12. JamiiForums Tanzania Wizara ya Biashara ya Tanzania isingekuwa Goi Goi hii haikuwa Fursa ya Kiuchumi na Kibiashara kwa Tanzania na Watanzania?

    Ugandans cross Kenya border for Christmas shopping Hundreds of Ugandans are crossing the Busia border into Kenya to buy relatively cheap goods, especially textiles, ahead of the Christmas holidays. David Basalirwa, a trader and resident of Bugiri district in eastern Uganda, says he prefers to...
  13. JamiiForums Tanzania Wewe unayesumbuliwa na nuksi, mikosi, mabalaa, Biashara, Umasikini, migogoro kwenye familia, kufeli masomo, michezo, njoo kwa Bulldozer Mwamposa

    Bwana Yesu asifiwe, Jumapili hii, Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu katika ibada ya kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili, Kunamtu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati tu unazaliwa watu wabaya wakafanya yao...
  14. JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi. Hivi ndo barabara zinavyojengwa kwenye miji mikubwa ya Biashara

    Kwenu Wizara ya Ujenzi Hizi ni barabara za Jiji la Biashara Luanda. Mji Mkuu wa Angola Jifunzeni kuwa kwenye miji mikubwa ya biashara wenzenu wanajenga barabara njia 3 hadi 4 kila upande sio vituko vyenu vya njia 2 kila upande mnavyotujengea barabara za mbagala na Gongo la Mboto hapo Dar kama...
  15. JamiiForums Tanzania Benki ya DCB Kufilisiwa na CCM? Wanahisa kupata hofu, DSE hawajatoa tamko?

    Benki ya DCB iliingia soko la hisa la Dar es salam na share zake zilianza kupanda lakini kwa Tangazo hili la Benki ni ukweli ulio wazi kutakuwa na mabadiliko makubwa sana kwenye hisa zake, wanahisa watakuwa na hofu na fedha zao na walizowekeza. Wadau wanasema hii benki ni ngumu kuendelea kubaki...
  16. JamiiForums Tanzania Mna deal vipi na machinga wanaoziba duka

    Hali hii ipo miaka nenda rudi, kama mnavyojua machinga hupenda kusogelea sehemu zenye frame nyingi mbaya zaidi wanaweza kuweka biashara inayofanana na yako mbele ya duka lako yani unapigwa block.
  17. JamiiForums Tanzania Biashara za Kitanzania ni za ajabu sana

    Yaani nimeona sendozi aina ya Teva inauzwa instagram 250,000! Nimepita huku mtaani nikazikuta kwa mmachinga, mpya kabisa. Nimempa elfu ishirini akapokea kiroho safi maisha yanaendelea!
  18. JamiiForums Tanzania Biashara hii imefika mbali?

    Unabomoa vibanda wanahamia mtandaoni. Ni kuachana nao, hawawezekaniki.
  19. JamiiForums Tanzania Je Biashara Yako Ilifikia Malengo 2023? Jipime kwa hii Sheet BURE

    Bila shaka kila kitu kina malengo. Na ili kutathmini ufikiwaji wa malengo lazima uwe umekusanya taarifa sahihi(umetunza rekodi). Pongezi kwa Google waloweka Sheet ya bure ya kutunza rekodi zako za kila siku. Na habari njema ni kwamba sheet hii unaweza kuijaza na kuisoma ukiwa popote (online)...
  20. JamiiForums Tanzania Ndoto ya Mtanzania aliyechinjwa na HAMAS ilikua kuanzisha kilimo biashara akirudi nyumbani

    Dogo alisomea ukulima pale Morogoro kisha akapata fursa ya kwenda kuongeza elimu na maarifa Israel, yeye ndiye mtoto wa kwanza kwenye familia yenye watoto watano, ndoto yake ilikua akirudi nyumbani afanye ukulima biashara ila magaidi ya kidini yalikua na mawazo mengine. Mashabiki wa hayo magaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…