Kuna wimbi la ongezeko la biashara na matumizi ya madawa ya kulevya toka Samia angie madarakani. Wanasiasa na wafanyabiashara wanajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya waziwazi. Vijana wanauza na kutumia madawa ya kulevya waziwazi. Miaka miwili ya Samia haina tofauti na miaka 10 ya utawala wa Kikwete. Ukosefu wa utawala wa sheria ndiyo sababu kuu iliyopelekea Magufuli kuchaguliwa kuwa Rais. Pesa haramu ndizo zinaendesha uchumi wa nchi yetu. Namba ya usajili wa mgari “D” ilikaa kwa miaka minne wakati wa Magufuli lakini namba “E” imeisha ndani yam waka mmoja wa Samia.
Kwa mfano, Bahari Beach ndiyo imekuwa makao makuu ya kuuza unga. Ukienda jengo la supermarket ya Jambo, utawakuta wasanii wote wanaoshiriki kwenye biashara za madawa ya kulevya wanacheza mziki, kuvuta madawa na bangi asubuhi mpaka alfajiri. Mwenye eneo hilo anajulikana kuwa mzungu wa unga (anaishi eneo la Kilimo Kwanza Ununio). Watu kama hawa wanalindwa na vyombo vya dola. Wanatoa michango kwa CMM kubaki salama. Mambo ya Tanzania yanakatisha tamaa.