Mkopo lazima iwepo biashara?

Fintan20

JF-Expert Member
Dec 17, 2023
219
539
Wakuu kheri ya sikukuu ya kuzaliwa KWA Yesu? Assalam aleyko?

Nilikuwa naomba kuuliza kama upo na asset unaweza kwenda kuomba mkopo KWA ajili ya biashara au ni lazima iwepo biashara ambayo ipo?

Na kama ni lazima iwepo biashara kuna alternative yoyote unaweza para mkopo kwa asset uliyonayo KWA ajili ya kufanya biashara?

Nawasilisha.

Fintan.
 
Bank wanakopesha kwa taarifa za biashara yako hapo ndio mnakaa kwa kuangalia unachoweza kuweka Bank na kutoa au kuuza ndio unakopeshwa unaweza kuomba kiasi kikubwa ila wao wanakwambia hii biashara yako inaweza kukopa kiasi fulani na ukarejesha..
Bank wanatoa ili uendeleze biashara ila sio kuanzisha biashara kwa Wawekezaji wakubwa wao wanakopa hata wakija na suti tu na kodi wanakua exempted kwa miaka kadhaa..
 
Back
Top Bottom