Wewe unayesumbuliwa na nuksi, mikosi, mabalaa, Biashara, Umasikini, migogoro kwenye familia, kufeli masomo, michezo, njoo kwa Bulldozer Mwamposa

Mr Beast

Senior Member
Nov 8, 2023
184
295
Bwana Yesu asifiwe,

Jumapili hii, Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu katika ibada ya kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili,

Kunamtu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati tu unazaliwa watu wabaya wakafanya yao,

Watu hao wamekamatia siku yako yako ya kuzaliwa ndio maana wewe hukui kama wenzako.

Hukui kielimu,
Hukui kiuchumi,
Hukui kifikra,
Hukui kisiasa,
Hukui kiafya,
Hukui kimwili,
Hukui kimichezo,
Hukui kiutajiri,
Hukui kiroho,

Yaani siku yako haihesabiwa katika siku za wiki, Mwezi au Mwaka " Siku imesisima"

Kwalugha nyepesi wapekupiga "Pause" unakuwa kimwili tu vingine vyote viko palepale havikui kabisa,

Njóo Apostle atafafanua vizuri zaidi kuhusu siku ya kuzaliwa na kwanini ameweka keki ya Upako,

Karibu sana Ufunguliwe bila kujali dini Wala itikadi yako kisiasa au hali yako kiuchumi.

====
Naomba Mtume na Mimi unibarariki nimesaidia kutoa taarifa hii kwa Umma ili nijibiwe maombi yangu 12 kabla ya mwaka kuisha.

#HUDUMA HII NI YA BURE KABISA

IMG-20231221-WA0004.jpg
 
Bwana Yesu asifiwe,

Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili,

Kunawatu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati unazaliwa,

Watu wamekamatia siku yako hukui,

Hukui kielimu,
Hukui kiuchumi,
Hukui kifikra,
Hukui kisiasa,
Hukui kiafya,
Hukui kimwili,

Yaani siku yako haihesabiwa katika siku za wiki, Mwezi au Mwaka,

Kwalugha nyepesi wapekupiga "Pause" unakuwa mwili tu vingine vyote viko palepale,

Karibu sana Ufunguliwe bila kujali dini Wala itikadi yako,

Amen,
Naomba Mtume na Mimi unibarariki nimesaidia kutoa taarifa hii kwa Umma ili nijibiwe maombi yangu 12 kabla ya mwaka kuisha.

View attachment 2848928
Fanyeni kazi acheni kusubiri miujiza na kuchangia watu sadaka wakajenge mahotel ya kufahari
 
Bwana Yesu asifiwe,

Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili,

Kunawatu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati unazaliwa,

Watu wamekamatia siku yako hukui,

Hukui kielimu,
Hukui kiuchumi,
Hukui kifikra,
Hukui kisiasa,
Hukui kiafya,
Hukui kimwili,

Yaani siku yako haihesabiwa katika siku za wiki, Mwezi au Mwaka,

Kwalugha nyepesi wapekupiga "Pause" unakuwa mwili tu vingine vyote viko palepale,

Karibu sana Ufunguliwe bila kujali dini Wala itikadi yako,

Amen,
Naomba Mtume na Mimi unibarariki nimesaidia kutoa taarifa hii kwa Umma ili nijibiwe maombi yangu 12 kabla ya mwaka kuisha.

View attachment 2848928
Tapeli wa matapeli. Njoo I kwa bikra maria mtaponywa sanahuku
 
Akiwa na shida na hela anatuomba sadaka, Sisi tukiwa na shida ya hela, anatuombea. Takataka kabisa.

Makanisa mengine yanajenga vituo via kulelea yatima, yeye kajenga hotel ya kifahari Mbeya.

He is more of a motivational speaker kuliko muhubiri. Taking advantage of people's misfortunes
 
Bwana Yesu asifiwe,

Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili,

Kunawatu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati unazaliwa,

Watu wamekamatia siku yako hukui,

Hukui kielimu,
Hukui kiuchumi,
Hukui kifikra,
Hukui kisiasa,
Hukui kiafya,
Hukui kimwili,

Yaani siku yako haihesabiwa katika siku za wiki, Mwezi au Mwaka,

Kwalugha nyepesi wapekupiga "Pause" unakuwa mwili tu vingine vyote viko palepale,

Karibu sana Ufunguliwe bila kujali dini Wala itikadi yako,

Amen,
Naomba Mtume na Mimi unibarariki nimesaidia kutoa taarifa hii kwa Umma ili nijibiwe maombi yangu 12 kabla ya mwaka kuisha.

View attachment 2848928
MATAPELI WA KIROHO...
NA WAKAUNGUWE HUKO JEHENAM MPAKA WAWE MKAA NA MWISHO MAJIVU...
 
Bwana Yesu asifiwe,

Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili,

Kunawatu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati unazaliwa,

Watu wamekamatia siku yako hukui,

Hukui kielimu,
Hukui kiuchumi,
Hukui kifikra,
Hukui kisiasa,
Hukui kiafya,
Hukui kimwili,

Yaani siku yako haihesabiwa katika siku za wiki, Mwezi au Mwaka,

Kwalugha nyepesi wapekupiga "Pause" unakuwa mwili tu vingine vyote viko palepale,

Karibu sana Ufunguliwe bila kujali dini Wala itikadi yako,

Amen,
Naomba Mtume na Mimi unibarariki nimesaidia kutoa taarifa hii kwa Umma ili nijibiwe maombi yangu 12 kabla ya mwaka kuisha.

View attachment 2848928
Makonda, Chalamila, Mwigulu, Samia wote nguvu yao iko Kawe
 
Jumapili sio siku ya kazi
Pumzika ili j3 uanze wiki na nguvu.

Hizi dini mnapoteza muda tu. Hv ulishawahi kuona tajiri yyt mkubwa anapoteza muda wake huko.

Nyie masikini ndo wanawazolea hata hicho kdg mlicho nacho. Na biblia yenyewe inasema "mwenye nacho ataongezewa lkn asokua nacho atapokonywa hata hicho kdg kilichopo"
 
Bwana Yesu asifiwe,

Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili,

Kunawatu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati unazaliwa,

Watu wamekamatia siku yako hukui,

Hukui kielimu,
Hukui kiuchumi,
Hukui kifikra,
Hukui kisiasa,
Hukui kiafya,
Hukui kimwili,

Yaani siku yako haihesabiwa katika siku za wiki, Mwezi au Mwaka,

Kwalugha nyepesi wapekupiga "Pause" unakuwa mwili tu vingine vyote viko palepale,

Karibu sana Ufunguliwe bila kujali dini Wala itikadi yako,

Amen,
Naomba Mtume na Mimi unibarariki nimesaidia kutoa taarifa hii kwa Umma ili nijibiwe maombi yangu 12 kabla ya mwaka kuisha.

#HUDUMA HII NI BURE KABISA

View attachment 2848928
Mungu wa Mwamposa anajibu kwa haraka sana,

Niliomba nyumba nimalize tayari,
Nikaomba ushindi kwa watesi tayari,
Nikaomba baraka , tayari
Nikaomba kibali , tayari
Nikaomba uzima, tayari
 
Pumzika ili j3 uanze wiki na nguvu.

Hizi dini mnapoteza muda tu. Hv ulishawahi kuona tajiri yyt mkubwa anapoteza muda wake huko.

Nyie masikini ndo wanawazolea hata hicho kdg mlicho nacho. Na biblia yenyewe inasema "mwenye nacho ataongezewa lkn asokua nacho atapokonywa hata hicho kdg kilichopo"
Kwani Mwigulu sio tajiri Mkubwa ?

Au Mayele sio tajiri Mkubwa?
 
Back
Top Bottom