Sababu za kiroho kwanini wewe unayetaka mafanikio kwenye biashara yako lazima uende kwenye madhabahu ya Mwamposa

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,118
27,122
Hii ni kwale waaminio tu. Kwa wewe usie amini baki na maneno yako kwa sababu yanafaa zaidi kukaa kwenye kichwa chako kuliko kwenye uzi wangu.

Now lets go watu wangu. Uzi ulio pita nilitoa maelekezo namna gani unatakiwa kufanya kama kweli upo serious unataka kufanikiwa kupitia madhabahu ya Mwamposa. Moderator naomba msiunganishe uzi huu na ule wa kwanza.

Baadhi ya watu pengine kwa ufahamu wao mdogo wakaniita kila aina ya majina.

Kwa mfano wapo walio sema eti ninatumiwa na Mwamposa kutafuta waumini JF?

Like seriously ? Hivi kweli wazo kama hili linaweza kukaa kwenye kichwa cha great thinker kweli?

Yani Mwamposa ndo aje atafute waumini hapa JF kweli? Does he looks like he is desperate or what?

Amakweli, Tanzania kuna wasomi wengi wa darasani but they are not street smart ndio maana wengi wanafeli kwenye maisha.

Huyo anaesema Mwamposa anatafuta waumini hapa JF probably yeye akianzisha kanisa lake ndo anaweza kuja kulitanganza hapa JF 🤣🤣🤣

Anyways, Chukua hii 👇

Hapa mjini ukiona mtu anatengeneza pesa nyingi kushinda Wewe, tafsiri yake ni kwamba mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe kwa sababu pesa inatafutwa kwa kutumia akili. So unapaswa kumuheshimu.

Kwa mtu mwenye pesa nyingi kama Mwamposa na ambae yupo so well connected with people who really matters to this country, hawezi kuja kujitangaza hapa JF kwa njia hii, kwa sababu👇

Social networks zote duniani zina watumiaji wenye sifa za kipekee.

Mfano : Facebook wana tabia zao hata mtu akipost aina fulani ya maudhui hapa, ataambiwa apeleke Facebook.

Instagram kuna tabia yake

Twitter vilevile.

Tiktok halikadhalika.

Kote huko wataalamu wa matangazo wakitaka kupeleka matangazo yao wanapeleka tangazo la huduma au biashara kwenye mtandao husika kwa kuzingatia aina ya watu wanao patikana kwa wingi kwenye mtandao husika. Kwa mfano tangazo la udience wa Tiktok huwezi kulipeleka Twitter and vice versa hata kama linahusu kitu kimoja na limetoka kwa mtu mmoja.

JF inajulikana kama mtandao wa watu ambao ni critics. Watu wanao taka kucriticize kila jambo.. Hata ukipost tangazo ukisema unauza Shamba watajitokeza watu kukucriticize tu wakati huko instagram hata ukipost unatafuta panya watu wata comment wanaulizia upo wapi.

Kwa nature ya huduma ya Mwamposa na namna ambavyo yupo criticized na Watesi wake, kujitangaza hapa JF kwa staili ya Uzi litakuwa ni jambo ambalo hatotaka kulifanya juu ya uso wa dunia kwa sababu ni sawa na kuwapa watu wanao kuchukia free platform ya kukutukana na kukuita majina.

Kwa nature ya current atmosphere ya huduma ya Mwamposa ange prefer zaidi kujitangaza kwenye mainstream media kama vile Tv na redio ambako hakunaga mambo ya comments za haters etc.

Na kama kweli angetaka kujitangaza basi angemtumia Maxence Melo na isingekuwa kwa njia ya thread isipokuwa ingewekwa banner kubwa hapa kwenye JFHeader na usingeweza kukomenti chochote.

Kama hata wauza dawa za makalio na dawa za nguvu za kiume hawawezi kuthubutu kujitangaza Jf kwa sababu wanajua wataishia kuchafuliwa kwenye komenti itakuja kuwa Mwamposa kweli? What's wrong with you guys please accord him some respect.

I am writting these threads suo moto.

BACK TO THE POINT

Kwenye hekima za mashariki ya kati( uarabuni na uyahudi ya kale) kuna fundisho moja linasema ' tafuteni elimu kwa bidii ikiwezekana muende hadi china"

Hii ninayo kupa leo ni mojawapo kati ya hizo elimu za China zenyewe

Nakupa siri moja

👇

Siri hii wanaijua wafanya biashara wengi.

Nayo ni 👉 ukitaka kuuza biashara yako basi nenda kanunue kwa mtu ambae na yeye anauza sana.

Mauzo ya bidhaa yako yatakuwa ni reflection ya mauzo ya huyo mtu ambae umenunua Mzigo kutoka kwake.

Kariakoo kuna mwarabu mmoja simtaji jina msije kusema nimekuja kumpigia debe.

Amechanganya damu mama ake muhindi baba ake mwarabu.

He was born in 1974. Alisoma madrasa moja na kaka angu wa kwanza.

Alimaliza form four mwaka 92 nikiwa darasa la kwanza.

Kaka angu alimaliza mwaka 94.

Punde baada ya kumaliza form four hakuendelea na shule alifungua duka la kuuza vitu rejareja.

Japo nilikuwa mtoto lakini nilikuwa naona jinsi jamaa alivyo kuwa anauza.

Around mwaka 96 alihamia mtaa mwingine hapo hapo kariakoo akachukua ofisi kubwa zaidi. Ikawa kama a mini supermarket. Kwa ufupi jamaa alikuwa anauza sana up to now jamaa anauza sana.

Kama nyota ya kuuza ingekuwa ni mtu basi ingekuwa huyu jamaa...kuna kipindi nilipo kuwa nasoma chuo wakati nachagua jina la biashara nilitaka kujaribu kuipa biashara yangu jina " Selling Like ( Jina la jamaa) lakini nikaona haitapendeza kufanya hivyo.

Hujamjua tu? Mwaka 2017 wakati vyuma vimekaza alimnunulia mama ake nyumba Ilala kwa milioni 400.

Kwa ufupi jamaa ana nyota Kali sana ya biashara. Kama ilivyo ada waswahili wanasema anatumia kizizi..

Kwenye maduka mengi wafanya biashara wanakuwaga na ima msukule ( kwa wafanyabiashara msukule maana ake ni mtu mwenye nyota Kali sana ya biashara ambae nyota yake imechukuliwa) ima jini mmoja wa biashara jina linahifadhiwa. Kazi ya huyo jini ni kuhakikisha kila mtu anae fika dukani na hela basi more than 70 percent ya pesa yake ataiacha hapo dukani kwa kununua vitu.

Mfano unaweza kwenda dukani kwa mtu kwa lengo la kununua vitu vya sh elfu 20 huku mfukoni ukiwa na laki moja , mwisho wa siku utajikuta umenunua vitu vya elfu themanini. Huyo mwarabu waswahili wanasema ana hao majini kwa sababu ndio ukweli ukienda dukani kwake lazima ununue sana. Hakunaga window shopping dukani kwake.

Kwanini nimemtolea mfano huyu mwarabu?

Wafanya biashara wengi huwaga wananunua vitu kwake kwa sababu wanasema wakinunua vitu dukani kwake huwaga vinatoka kwa haraka sana na kwa wingi kama vinavyo toka dukani kwa mwarabu huyo. Na ni ukweli kwa sababu Mimi mwenyewe ni shuhuda katika hilo. Nikichukua Mzigo kwake lazima uishe kwa haraka tena ndani ya muda mfupi. Inakuwa ni kama tunatumia nyota au neema ya kuuza sana aliyo nayo mwarabu huyo katika biashara zetu.

Hata siku moja mfanyabiashara usinunue vitu kwa mtu ambae yeye mwenyewe hauzi kwa sababu the truth is hutouza pia kama ambavyo yeye hauzi.

The funny thing is nimewahi KUKUTANA na huyu mwarabu kwa Mwamposa tena anapiga makofi " Anasumbukia maisha yangu , anasumbukia maisha yangu"

Je, nina amini mwarabu huyu kapata upako wake wa biashara kwa Mwamposa? Hapana. Kwa sababu amekuwa akiua enzi sana toka enzi Mwamposa hajukikani

Nina amini anaenda kwa Mwamposa kwa ajili ya spiritual protection.

Ingawa inawezekana pia anaenda kuongeza nguvu kwenye biashara zake.

KWANINI NINASEMA NI LAZIMA KWA MFANYABIASHARA ANAE TAKA KUUZA SANA KWENYE BIASHARA YAKE LAZIMA AENDE KWENYE MADHABAHU YA MWAMPOSA?

Kwa sababu Mwamposa ana watu wengi sana. Unapoenda kuiungamanisha biashara yako na madhabahu ya Mwamposa tafsiri yake ni unna kuwa una transfer ile atmosphere ama aura ya kwa Mwamposa into your business.

Unapojongea kwenye madhabahu ya Mwamposa zungumza nayo semezana nayo. Iambie unataka kupata watu wengi kwenye biashara yako kama Mwamposa anavyo pata waumini wengi kwenye huduma yake.

Tumseme tunavyo weza kumsema lakini lazima tumpe maua yake.

Mwamposa anapendwa. Mwamposa ana kibali.

Kwa upande wa wakina mama ndio usiseme kabisa ndugu zangu.

Wamama wengi wa kitanzania wanakuwaga na amani sana wakisikia jina Mwamposa..

Kama wewe ni mtoto wa kiume na unataka kumfurahisha mama ako mzazi basi siku ya jumapili ya tarehe 31 December 2023 nenda zako pale Tanganyika Packers piga picha halafu tupia kwenye status yako whatsapp au facebook au instagram ili mradi mama ako aone kisha andika caption Nimekuja kwenye mkesha wa kuvuka na changu hapa Arise and Shine kwa Bulldozer Mwamposa"

Take it from me. Utakuwa umempa mama ako zawadi kubwa sana kwenye nafsi yake.
 
Mkuu kwa utitiri wa wajinga wenye kuamini miujiza Acha mwamposa awapige tu , ole wao wenye kupenda ishara ,"hawatapata ishara isipokua ishara ya Yona"

Kitabu hicho hicho kinatumika kutapeli wajinga na kitabu hicho hicho kinawasanua wajanja kidgo.
 
Hii ni kwale waaminio tu. Kwa wewe usie amini baki na maneno yako kwa sababu yanafaa zaidi kukaa kwenye kichwa chako kuliko kwenye uzi wangu.

Now lets go watu wangu. Uzi ulio pita nilitoa maelekezo namna gani unatakiwa kufanya kama kweli upo serious unataka kufanikiwa kupitia madhabahu ya Mwamposa. Moderator naomba msiunganishe uzi huu na ule wa kwanza.

Baadhi ya watu pengine kwa ufahamu wao mdogo wakaniita kila aina ya majina.

Kwa mfano wapo walio sema eti ninatumiwa na Mwamposa kutafuta waumini JF?

Like seriously ? Hivi kweli wazo kama hili linaweza kukaa kwenye kichwa cha great thinker kweli?

Yani Mwamposa ndo aje atafute waumini hapa JF kweli? Does he looks like he is desperate or what?

Amakweli, Tanzania kuna wasomi wengi wa darasani but they are not street smart ndio maana wengi wanafeli kwenye maisha.

Huyo anaesema Mwamposa anatafuta waumini hapa JF probably yeye akianzisha kanisa lake ndo anaweza kuja kulitanganza hapa JF

Anyways, Chukua hii

Hapa mjini ukiona mtu anatengeneza pesa nyingi kushinda Wewe, tafsiri yake ni kwamba mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe kwa sababu pesa inatafutwa kwa kutumia akili. So unapaswa kumuheshimu.

Kwa mtu mwenye pesa nyingi kama Mwamposa na ambae yupo so well connected with people who really matters to this country, hawezi kuja kujitangaza hapa JF kwa njia hii, kwa sababu

Social networks zote duniani zina watumiaji wenye sifa za kipekee.

Mfano : Facebook wana tabia zao hata mtu akipost aina fulani ya maudhui hapa, atamwambia apeleke Facebook.

Instagram kuna tabia yake

Twitter vilevile.

Tiktok halikadhalika.

Kote huko wataalamu wa matangazo wakitaka kupeleka matangazo yao wanapeleka tangazo la huduma au biashara kwenye mtandao husika kwa kuzingatia aina ya watu wanao patikana kwa wingi kwenye mtandao husika. Kwa mfano tangazo la udience wa Tiktok huwezi kulipeleka Twitter and vice versa hata kama linahusu kitu kimoja na limetoka kwa mtu mmoja.

JF inajulikana kama mtandao wa watu ambao ni critics. Watu wanao taka kucriticize kila jambo.. Hata ukipost tangazo ukisema unauza Shamba watajitokeza watu kukucriticize tu wakati huko instagram hata ukipost unatafuta panya watu wata comment wanaulizia upo wapi.

Kwa nature ya huduma ya Mwamposa na namna ambavyo yupo criticized na Watesi wake, kujitangaza hapa JF kwa staili ya Uzi litakuwa ni jambo ambalo hatotaka kulifanya juu ya uso wa dunia kwa sababu ni sawa na kuwapa watu wanao kuchukia free platform ya kukutukana na kukuita majina.

Kwa nature ya current atmosphere ya huduma ya Mwamposa ange prefer zaidi kujitangaza kwenye mainstream media kama vile Tv na redio ambako hakunaga mambo ya comments za haters etc.

Na kama kweli angetaka kujitangaza basi angemtumia Maxence Melo na isingekuwa kwa njia ya thread isipokuwa ingewekwa banner kubwa hapa kwenye JFHeader na usingeweza kukomenti chochote.

Kama hata wauza dawa za makalio na dawa za nguvu za kiume hawawezi kuthubutu kujitangaza Jf kwa sababu wanajua wataishia kuchafuliwa kwenye komenti itakuja kuwa Mwamposa kweli? What's wrong with you guys please accord him some respect.

I am writting these threads suo moto.

BACK TO THE POINT

Kwenye hekima za mashabiki ya kati( uarabuni na uyahudi ya kale) kuna fundisho moja linasema ' tafuteni elimu kwa bidii ikiwezekana muende hadi china"

Hii ninayo kupa leo ni mojawapo kati ya hizo elimu za China zenyewe

Nakupa siri moja

Siri hii wanaijua wafanya biashara wengi.

Nayo ni ukitaka kuuza biashara yako basi nenda kanuni kwa mtu ambae na yeye anauza sana.

Mauzo ya bidhaa yako yatakuwa ni reflection ya mauzo ya huyo mtu ambae umenunua Mzigo kutoka kwake.

Kariakoo kuna mwarabu mmoja simtaji jina msije kusema nimekuja kumpigia debe.

Amechanganya damu mama ake muhindi baba ake mwarabu.

He was born in 1974. Alisoma madrasa moja na kaka angu wa kwanza.

Alimaliza form four mwaka 92 nikiwa darasa la kwanza.

Kaka angu alimaliza mwaka 94.

Punde baada ya kumaliza form four hakuendelea na shule alifungua duka la kuuza vitu rejareja.

Japo nilikuwa mtoto lakini nilikuwa naona jinsi jamaa alivyo kuwa anauza.

Around mwaka 96 alihamia mtaa mwingine hapo hapo kariakoo akachukua ofisi kubwa zaidi. Ikawa kama a mini supermarket. Kwa ufupi jamaa alikuwa anauza sana up to now jamaa anauza sana.

Kama nyota ya kuuza ingekuwa ni mtu basi ingekuwa huyu jamaa...kuna kipindi nilipo kuwa nasoma chuo wakati nachagua jina la biashara nilitaka kujaribu kuipa biashara yangu jina " Selling Like ( Jina la jamaa) lakini nikaona haitapendeza kufanya hivyo.

Hujamjua tu? Mwaka 2017 wakati vyuma vimekaza alimnunulia mama ake nyumba Ilala kwa milioni 400.

Kwa ufupi jamaa ana nyota Kali sana ya biashara. Kama ilivyo ada waswahili wanasema anatumia kizizi..

Kwenye maduka mengi wafanya biashara wanakuwaga na ima msukule ( kwa wafanyabiashara msukule maana ake ni mtu mwenye nyota Kali sana ya biashara ambae nyota yake imechukuliwa) ima jini mmoja wa biashara jina linahifadhiwa. Kazi ya huyo jini ni kuhakikisha kila mtu anae fika dukani na hela basi more than 70 percent ya pesa yake ataiacha hapo dukani kwa kununua vitu.

Mfano unaweza kwenda dukani kwa mtu kwa lengo la kununua vitu vya sh elfu 20 huku mfukoni ukiwa na laki moja , mwisho wa siku utajikuta umenunua vitu vya elfu themanini. Huyo mwarabu waswahili wanasema ana hao majini kwa sababu ndio ukweli ukienda dukani kwake lazima ununue sana. Hakunaga window shopping dukani kwake.

Kwanini nimemtolea mfano huyu mwarabu?

Wafanya biashara wengi huwaga wananunua vitu kwake kwa sababu wanasema wakinunua vitu dukani kwake huwaga vinatoka kwa haraka sana na kwa wingi kama vinavyo toka dukani kwa mwarabu huyo. Na ni ukweli kwa sababu Mimi mwenyewe ni shuhuda katika hilo. Nikichukua Mzigo kwake lazima uishe kwa haraka tena ndani ya muda mfupi. Inakuwa ni kama tunatumia nyota au neema ya kuuza sana aliyo nayo mwarabu huyo katika biashara zetu.

Hata siku moja mfanyabiashara usinunue vitu kwa mtu ambae yeye mwenyewe hauzi kwa sababu the truth is hutouza pia kama ambavyo yeye hauzi.

The funny thing is nimewahi KUKUTANA na huyu mwarabu kwa Mwamposa tena anapiga makofi " Anasumbukia maisha yangu , anasumbukia maisha yangu"

Je, nina amini mwarabu huyu kapata upako wake wa biashara kwa Mwamposa? Hapana. Kwa sababu amekuwa akiua enzi sana toka enzi Mwamposa hajukikani

Nina amini anaenda kwa Mwamposa kwa ajili ya spiritual protection.

Ingawa inawezekana pia anaenda kuongeza nguvu kwenye biashara zake.

KWANINI NINASEMA NI LAZIMA KWA MFANYABIASHARA ANAE TAKA KUUZA SANA KWENYE BIASHARA YAKE LAZIMA AENDE KWENYE MADHABAHU YA MWAMPOSA?

Kwa sababu Mwamposa ana watu wengi sana. Unapoenda kuiungamanisha biashara yako na madhabahu ya Mwamposa tafsiri yake ni unna kuwa una transfer ile atmosphere ama aura ya kwa Mwamposa into your business.

Unapojongea kwenye madhabahu ya Mwamposa zungumza nayo semezana nayo. Iambie unataka kupata watu wengi kwenye biashara yako kama Mwamposa anavyo pata waumini wengi kwenye huduma yake.

Tumseme tunavyo weza kumsema lakini lazima tumpe maua yake.

Mwamposa anapendwa. Mwamposa ana kibali.

Kwa upande wa wakina mama ndio usiseme kabisa ndugu zangu.

Wamama wengi wa kitanzania wanakuwaga na amani sana wakisikia jina Mwamposa..

Kama wewe ni mtoto wa kiume na unataka kumfurahisha mama ako mzazi basi siku ya jumapili ya tarehe 31 December 2023 nenda zako pale Tanganyika Packers piga picha halafu tupia kwenye status yako whatsapp au facebook au instagram ili mradi mama ako aone kisha andika caption Nimekuja kwenye mkesha wa kuvuka na changu hapa Arise and Shine kwa Bulldozer Mwamposa"

Take it from me. Utakuwa umempa mama ako zawadi kubwa sana kwenye nafsi yake.

Wachawi watapinga
 
Hii ni kwale waaminio tu. Kwa wewe usie amini baki na maneno yako kwa sababu yanafaa zaidi kukaa kwenye kichwa chako kuliko kwenye uzi wangu.

Now lets go watu wangu. Uzi ulio pita nilitoa maelekezo namna gani unatakiwa kufanya kama kweli upo serious unataka kufanikiwa kupitia madhabahu ya Mwamposa. Moderator naomba msiunganishe uzi huu na ule wa kwanza.

Baadhi ya watu pengine kwa ufahamu wao mdogo wakaniita kila aina ya majina.

Kwa mfano wapo walio sema eti ninatumiwa na Mwamposa kutafuta waumini JF?

Like seriously ? Hivi kweli wazo kama hili linaweza kukaa kwenye kichwa cha great thinker kweli?

Yani Mwamposa ndo aje atafute waumini hapa JF kweli? Does he looks like he is desperate or what?

Amakweli, Tanzania kuna wasomi wengi wa darasani but they are not street smart ndio maana wengi wanafeli kwenye maisha.

Huyo anaesema Mwamposa anatafuta waumini hapa JF probably yeye akianzisha kanisa lake ndo anaweza kuja kulitanganza hapa JF 🤣🤣🤣

Anyways, Chukua hii 👇

Hapa mjini ukiona mtu anatengeneza pesa nyingi kushinda Wewe, tafsiri yake ni kwamba mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe kwa sababu pesa inatafutwa kwa kutumia akili. So unapaswa kumuheshimu.

Kwa mtu mwenye pesa nyingi kama Mwamposa na ambae yupo so well connected with people who really matters to this country, hawezi kuja kujitangaza hapa JF kwa njia hii, kwa sababu👇

Social networks zote duniani zina watumiaji wenye sifa za kipekee.

Mfano : Facebook wana tabia zao hata mtu akipost aina fulani ya maudhui hapa, atamwambia apeleke Facebook.

Instagram kuna tabia yake

Twitter vilevile.

Tiktok halikadhalika.

Kote huko wataalamu wa matangazo wakitaka kupeleka matangazo yao wanapeleka tangazo la huduma au biashara kwenye mtandao husika kwa kuzingatia aina ya watu wanao patikana kwa wingi kwenye mtandao husika. Kwa mfano tangazo la udience wa Tiktok huwezi kulipeleka Twitter and vice versa hata kama linahusu kitu kimoja na limetoka kwa mtu mmoja.

JF inajulikana kama mtandao wa watu ambao ni critics. Watu wanao taka kucriticize kila jambo.. Hata ukipost tangazo ukisema unauza Shamba watajitokeza watu kukucriticize tu wakati huko instagram hata ukipost unatafuta panya watu wata comment wanaulizia upo wapi.

Kwa nature ya huduma ya Mwamposa na namna ambavyo yupo criticized na Watesi wake, kujitangaza hapa JF kwa staili ya Uzi litakuwa ni jambo ambalo hatotaka kulifanya juu ya uso wa dunia kwa sababu ni sawa na kuwapa watu wanao kuchukia free platform ya kukutukana na kukuita majina.

Kwa nature ya current atmosphere ya huduma ya Mwamposa ange prefer zaidi kujitangaza kwenye mainstream media kama vile Tv na redio ambako hakunaga mambo ya comments za haters etc.

Na kama kweli angetaka kujitangaza basi angemtumia Maxence Melo na isingekuwa kwa njia ya thread isipokuwa ingewekwa banner kubwa hapa kwenye JFHeader na usingeweza kukomenti chochote.

Kama hata wauza dawa za makalio na dawa za nguvu za kiume hawawezi kuthubutu kujitangaza Jf kwa sababu wanajua wataishia kuchafuliwa kwenye komenti itakuja kuwa Mwamposa kweli? What's wrong with you guys please accord him some respect.

I am writting these threads suo moto.

BACK TO THE POINT

Kwenye hekima za mashabiki ya kati( uarabuni na uyahudi ya kale) kuna fundisho moja linasema ' tafuteni elimu kwa bidii ikiwezekana muende hadi china"

Hii ninayo kupa leo ni mojawapo kati ya hizo elimu za China zenyewe

Nakupa siri moja

👇

Siri hii wanaijua wafanya biashara wengi.

Nayo ni 👉 ukitaka kuuza biashara yako basi nenda kanuni kwa mtu ambae na yeye anauza sana.

Mauzo ya bidhaa yako yatakuwa ni reflection ya mauzo ya huyo mtu ambae umenunua Mzigo kutoka kwake.

Kariakoo kuna mwarabu mmoja simtaji jina msije kusema nimekuja kumpigia debe.

Amechanganya damu mama ake muhindi baba ake mwarabu.

He was born in 1974. Alisoma madrasa moja na kaka angu wa kwanza.

Alimaliza form four mwaka 92 nikiwa darasa la kwanza.

Kaka angu alimaliza mwaka 94.

Punde baada ya kumaliza form four hakuendelea na shule alifungua duka la kuuza vitu rejareja.

Japo nilikuwa mtoto lakini nilikuwa naona jinsi jamaa alivyo kuwa anauza.

Around mwaka 96 alihamia mtaa mwingine hapo hapo kariakoo akachukua ofisi kubwa zaidi. Ikawa kama a mini supermarket. Kwa ufupi jamaa alikuwa anauza sana up to now jamaa anauza sana.

Kama nyota ya kuuza ingekuwa ni mtu basi ingekuwa huyu jamaa...kuna kipindi nilipo kuwa nasoma chuo wakati nachagua jina la biashara nilitaka kujaribu kuipa biashara yangu jina " Selling Like ( Jina la jamaa) lakini nikaona haitapendeza kufanya hivyo.

Hujamjua tu? Mwaka 2017 wakati vyuma vimekaza alimnunulia mama ake nyumba Ilala kwa milioni 400.

Kwa ufupi jamaa ana nyota Kali sana ya biashara. Kama ilivyo ada waswahili wanasema anatumia kizizi..

Kwenye maduka mengi wafanya biashara wanakuwaga na ima msukule ( kwa wafanyabiashara msukule maana ake ni mtu mwenye nyota Kali sana ya biashara ambae nyota yake imechukuliwa) ima jini mmoja wa biashara jina linahifadhiwa. Kazi ya huyo jini ni kuhakikisha kila mtu anae fika dukani na hela basi more than 70 percent ya pesa yake ataiacha hapo dukani kwa kununua vitu.

Mfano unaweza kwenda dukani kwa mtu kwa lengo la kununua vitu vya sh elfu 20 huku mfukoni ukiwa na laki moja , mwisho wa siku utajikuta umenunua vitu vya elfu themanini. Huyo mwarabu waswahili wanasema ana hao majini kwa sababu ndio ukweli ukienda dukani kwake lazima ununue sana. Hakunaga window shopping dukani kwake.

Kwanini nimemtolea mfano huyu mwarabu?

Wafanya biashara wengi huwaga wananunua vitu kwake kwa sababu wanasema wakinunua vitu dukani kwake huwaga vinatoka kwa haraka sana na kwa wingi kama vinavyo toka dukani kwa mwarabu huyo. Na ni ukweli kwa sababu Mimi mwenyewe ni shuhuda katika hilo. Nikichukua Mzigo kwake lazima uishe kwa haraka tena ndani ya muda mfupi. Inakuwa ni kama tunatumia nyota au neema ya kuuza sana aliyo nayo mwarabu huyo katika biashara zetu.

Hata siku moja mfanyabiashara usinunue vitu kwa mtu ambae yeye mwenyewe hauzi kwa sababu the truth is hutouza pia kama ambavyo yeye hauzi.

The funny thing is nimewahi KUKUTANA na huyu mwarabu kwa Mwamposa tena anapiga makofi " Anasumbukia maisha yangu , anasumbukia maisha yangu"

Je, nina amini mwarabu huyu kapata upako wake wa biashara kwa Mwamposa? Hapana. Kwa sababu amekuwa akiua enzi sana toka enzi Mwamposa hajukikani

Nina amini anaenda kwa Mwamposa kwa ajili ya spiritual protection.

Ingawa inawezekana pia anaenda kuongeza nguvu kwenye biashara zake.

KWANINI NINASEMA NI LAZIMA KWA MFANYABIASHARA ANAE TAKA KUUZA SANA KWENYE BIASHARA YAKE LAZIMA AENDE KWENYE MADHABAHU YA MWAMPOSA?

Kwa sababu Mwamposa ana watu wengi sana. Unapoenda kuiungamanisha biashara yako na madhabahu ya Mwamposa tafsiri yake ni unna kuwa una transfer ile atmosphere ama aura ya kwa Mwamposa into your business.

Unapojongea kwenye madhabahu ya Mwamposa zungumza nayo semezana nayo. Iambie unataka kupata watu wengi kwenye biashara yako kama Mwamposa anavyo pata waumini wengi kwenye huduma yake.

Tumseme tunavyo weza kumsema lakini lazima tumpe maua yake.

Mwamposa anapendwa. Mwamposa ana kibali.

Kwa upande wa wakina mama ndio usiseme kabisa ndugu zangu.

Wamama wengi wa kitanzania wanakuwaga na amani sana wakisikia jina Mwamposa..

Kama wewe ni mtoto wa kiume na unataka kumfurahisha mama ako mzazi basi siku ya jumapili ya tarehe 31 December 2023 nenda zako pale Tanganyika Packers piga picha halafu tupia kwenye status yako whatsapp au facebook au instagram ili mradi mama ako aone kisha andika caption Nimekuja kwenye mkesha wa kuvuka na changu hapa Arise and Shine kwa Bulldozer Mwamposa"

Take it from me. Utakuwa umempa mama ako zawadi kubwa sana kwenye nafsi yake.
Sentensi ya kwanza ya stori nzima ingeanza hivi.. Hii ni kwale waaminio kwa Mwamposa tu. Nje ya hapo, kila mmoja anacho/anako anakokuamini..!!! Hii ingesaidia wasioamini kwa Mwamposa kutojishughurisha na uzi huu
 
Sina haja ya kuwataja maana mwamposa wa juzi juzi lakini tanzania imekuwa na wafanyabiashara matajiri tangu kitambo
Ndio maana nimesema kama unataka ? Nawazungumzia wale wanao hitaji kupata mafanikio kwenye biashara. Siwazungumzii ambao tayari wameshafanikiwa
 
Sentensi ya kwanza ya stori nzima ingeanza hivi.. Hii ni kwale waaminio kwa Mwamposa tu. Nje ya hapo, kila mmoja anacho/anako anakokuamini..!!! Hii ingesaidia wasioamini kwa Mwamposa kutojishughurisha na uzi huu

Kwa wale waaminio katika mambo ya rohoni
 
Back
Top Bottom