Biashara ni mtaji na location vingine mbwembwe tu

Mesehomie

Member
Oct 25, 2023
30
177
Ukiwa n'a uwezo WA kufata bidhaa zinapotengenzwa 90%umewin kwenye biashara Tayar

Mfano kama Una uwezo WA kuchukua mzigo WA nguo kutoka china ,uturuki , Thailand n.k biashara yako itasimama

Sababu. mzigo ukishafika Tanzania unakua n'a wateja WA uhakika ,hakuna kubagein, unauza mzigo mkubwa let say PC 100 za jeans kwa wakat mmoja n.k

Any way jipige fika 20m Zama china Leta mzigo
 
Ingekua hivyo kila mtu angekua mfanyabiashara mkubwa,
Bidhaa yoyote soko ni muhimu sio ishu ya mtaji tu
 
Anafikiri kuagiza mzigo nje ya nchi ni suala la mchezomchezo!
Hajui kwamba wengi wetu hatuzid million 8

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yaani anavyozungumza, utadhani ana maisha, kumbe kula kulala kwa shemeji
_____________
Turudi kwako, hiyo mil.8 uko nayo hapo? Au unafanya tu kuchangamsha genge?
 
Ukiwa n'a uwezo WA kufata bidhaa zinapotengenzwa 90%umewin kwenye biashara Tayar

Mfano kama Una uwezo WA kuchukua mzigo WA nguo kutoka china ,uturuki , Thailand n.k biashara yako itasimama

Sababu. mzigo ukishafika Tanzania unakua n'a wateja WA uhakika ,hakuna kubagein, unauza mzigo mkubwa let say PC 100 za jeans kwa wakat mmoja n.k

Any way jipige fika 20m Zama china Leta mzigo
Wewe huwa unafuata nchi gani na ni bidhaa ipi?
 
Ukiwa n'a uwezo WA kufata bidhaa zinapotengenzwa 90%umewin kwenye biashara Tayar

Mfano kama Una uwezo WA kuchukua mzigo WA nguo kutoka china ,uturuki , Thailand n.k biashara yako itasimama

Sababu. mzigo ukishafika Tanzania unakua n'a wateja WA uhakika ,hakuna kubagein, unauza mzigo mkubwa let say PC 100 za jeans kwa wakat mmoja n.k

Any way jipige fika 20m Zama china Leta mzigo
Nipe connection ya china mkuu nataka kuchukuwa tv na redio tu sabufa wanaita.
 
Back
Top Bottom