biashara

  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Baada ya siku 60 Bodi za Mashirika yasiyotoa gawio zijivunje zenyewe

    Rais Magufuli atoa siku 60 kwa Taasisi na Kampuni zenye hisa za Serikali zipatazo 187 ambazo hazikutoa gawio lake Serikalini leo, kufanya hivyo kwa Waziri mwenye dhamana vinginevyo Menejimenti na Bodi zake zivunjwe zenyewe kwa kundika barua Amesema, “Hapa ni Mashirika 79 tu ndio yametoa gawio...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Serikali haifanyi biashara hivyo inachopokea ni Ziada ( surplus) siyo Gawio ( dividend), wahasibu karibuni!

    Mimi siyo muhasibu lakini nafahamu kwamba gawio ni sehemu ya mapato yatokanayo katika faida ya biashara. Hivyo ili upate gawio ni lazima pawepo na faida iliyopatikana katika mwaka husika. Ziada kwa upande mwingine ni ile bakaa inayobakia baada ya kutoa matumizi kwenye mapato ya taasisi zisizo...
  3. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 1.5 nataka kufungua biashara hii, wazoefu nahitaji mawazo yenu

    Salute wakuu, Baada ya kutulia na kufikiri sana, nikapata wazo la kufungua biashara ya vitu vya electronics sijui kama nipo sahihi. Vitu hivyo ni kama: Flash drive Memory card USB wire Charger Card reader Power bank Min speaker Bluetooth earphone Hair cutting machine External and Internal...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ajali Mlimani City: Yadaiwa watu watatu wamefariki

    Habari Wakuu, Nimepata taarifa ya ajali maeneo ya Mlimani City ambayo imetokana na lori kuacha njia na kuwazoa wafanyabiashara wanaouza bidhaa mbalimbali nje ya Mall ya Mlimani City. Taarifa zinaeleza kuwa watu 3 wamefariki pale pale. Naendelea kufuatilia na nitawajuza hapa. ======...
  5. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nafikiria kuanzisha biashara ya duka la kuuza vifungashio na mifuko mbadala

    Salama wakuu? kwema? niende kwenye mada moja kwa moja. Nafikiria kuanzisha duka la kuuza vifungashio vya bidhaa mbali mbali mfano: asali, karanga, ubuyu wengine wanawekea pilipili kiujumla wale wanaofanya biashara ya ku process na ku - pack vyakula vilivyoongezewa thamani hua wanatumia sana...
  6. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu 49 wakamatwa kwa kujihusisha na biashara ya mihadarati Kenya

    Polisi Mjini Eldoret wamekamata watu 49 katika zoezi la kusaka na kukamata watu wanaojihusisha na biashara haramu ya mihadarati katika Mji huo. lita mia moja sitini (160) za chang'aa na zanaswa katika msako huo. Katika tukio la kwanza, linamuhusisha Mwanamke mmoja aliyekamatwa kwenye basi...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Dk Kebwe kutumia ofisi ya umma kufanya biashara

    Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kwa mliopo Mufindi na kwingineko, nataka nijitose kwenye biashara ya mbao, naombenini ushauri na uzoefu

    Wadau wa JF, Mada hapo imeeleweka bila shaka. Nataka nijitose katika biashara ya mbao baada ya kuhisi itanilipa kwa maoni yangu. Nataka ninunue kutoka mikoa ya Njombe na Iringa na kuzisafirisha kuuza mkoani Dodoma ambapo kuna fursa kubwa ya ujenzi hivi sasa. Ni mgeni katika biashara hii na...
  9. C.K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    Salaam! Naomba anayejua kibali cha kuuza mkaa kinapatikanaje - wapi na kwa bei gani kwa muda gani (miezi 6 na mwaka). Pls help me with relevant info. Asante! ============================================== MAJIBU NA MCHANGANUO WA BIASHARA ===============================================
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ludewa, Njombe: RC asema wasiolima mazao ya biashara kuwekwa rumande

    Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Andrea Tsere ametangaza kumuweka lumande “Lock up” mwananchi yeyote atakayeshidwa kuwa na zao la biashara kutokana na uhamasishaji mkubwa unaoendelea wilayani humo ili kukuza uchumi wa wilaya na wananchi wa wilaya hiyo. Mkuu wa wilaya hiyo amesema uamuzi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Senene

    Hello ndugu, nawatafuta wafanyabiashara kutoka mikoa mbalimbali hapa Tanzania wanaonunua Senene kwa ajili ya biashara kutoka Bukoba, Kagera wanaolangua. Tafadhali tuwasiliane, tukutane uchukue Senene wazuri pure wa sasa hivi,napatikana Kagera. Karibu sana.
  12. The Assassin

    JamiiForums Tanzania KPMG Consulting Limited inafunga biashara yake Tanzania?

    Nimeona tangazo kua kampuni ya ukaguzi na ushauri ya KPMG consulting company limited kua inafunga biashara(wind up) Je hii taarifa ni ya kweli?
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kodi ya biashara iko vipi Tanzania

    Nimefanya biashara ya vitenge kutoka Holland. Nilishirikiana na wenzangu mzigo ulishukia Ghana. Kwakuwa nilikuwa ninaanza, wateja walikuwa wananifuata nyumbani. Nimewasiliana na kiwandani watakuwa wananitumia mzigo bandari ya Dar. Mzigo ni mkubwa, ni mpango wa kufungua duka la wholesale...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mtaji

    Changamoto kubwa ya watu wengi katika kuanzisha biashara ni mtaji. Kuanza biashara kuna mambo mengi sana, kuna kufanikiwa na kushindwa hivyo kuchukua mkopo banki wakati ndio unaanza biashara sio busara hii ni kwa sababu unashauriwa kuwa kabla haujaweka fedha zako kwenye biashara yeyote ile ni...
  15. jomasi0002

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Natafuta rafiki wa kike ambae huenda baadae akawa mke wangu. Sifa zangu ni: 1. Mtaratibu 2. Mkarimu 3.Mrefu wastani 4.Mwenye ya mungu 5.Mwenye heshima na upendo 6.Umri wangu miaka 23 Awe na sifa angalau kati ya hizi 1.Awe na hofu ya Mungu 2.Mwenye kuvalia kawaida 3.Mkarimu 4.Mwenye...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda na Jamhuri ya Demokrasia Kongo zafikia makubaliano ya kuboresha miundombinu baina ya nchi zao ili kurahisisha biashara

    Uganda na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo zimesaini mkataba wa kufanya maboresho ya miundombinu hasa barabara zinazounganisha nchi hizo mbili katika kipindi cha ndani ya miezi 24 kwa lengo la kukuza biashara na uwekezaji ndani ya nchi hizo mbili. Rais wa Uganda Mh. Yoweri Museven na Rais wa...
  17. Kilahunja

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Nina mtaji wa laki 3 na nusu, wakati natafuta ajira nimeona nijiajiri niuze chips, vipi mtaji unatosha? Any idea ya how to make them in a way it suits me (kisomi)? Ushauri wenu unahitajika. --------------------------------------------------------------------------------------------------------...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nyumba ya wageni yenye kifungua kinywa

    Mahitaji ya nyumba ya kulala wageni yapo kila sehemu hasa kama kuna shughuli za uchumi mfano mgodi wa madini, kilimo hasa cha mazao ya biashara kama pamba na korosho. Hata shughuli za utalii zinaleta fursa kwa nyumba za wageni hasa kwa wale low budget tourist. Siku hizi Waafrika wanapenda...
  19. moshi norbert

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi inayohusisha upishi

    Kwa yoyote ambaye angependa kuinvest au kuamua kufanya bishara nje na kazi anayofanya, biashara ya chakula iko poa. Mimi nipo tayari tufanye kazi pamoja.
  20. moshi norbert

    JamiiForums Tanzania Najaribu kubuni biashara ya kusupply matunda ofisini wakati wa lunch

    Naombeni kufahamu kwa wale wote wanaofanya kazi katika ofisi mbalimbali hasa katika makampuni, kwa plan kama yangu utaratibu unakuaje ili niweze kuwa nawaletea matunda ofisini kwenu?
Back
Top Bottom