Biashara ya vifaa vya ushonaji...

Patroman

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
801
1,208
Wandugu salaam!

Kwa wenye ufahamu mzuri kuhusu biashara ya vifaa vya ushonaji, naomba maelekezo hasa kama bado ina wahitaji kwenye jamii. Maana kuna mtu ananiambia nguo za mitumba na zile special zimeharibu hii biashara.

Nawasilisha.
 
Nakushauri mtafute mpemba aliyekaribu na wewe utapata majibu.....mim nitakusaidia kukuonesha chimbo lake KARIAKOO, machimbo yapo matatu tu,japo maduka yako mengi yanayouza hivyo vifaa, chimbo la kwazwa nenda duka la KIMJI mnazi mmoja, nenda kwa AZANI nimesahau mtaa wake japo watu wanapenda kuita Dubai ndogo kule nenda kwa OMARY BONGE mtaa wa tandamti,
 
nakushauri mtafute mpemba aliyekaribu na wewe utapata majibu.....mim nitakusaidia kukuonesha chimbo lake KARIAKOO, machimbo yapo matatu tu,japo maduka yako mengi yanayouza hivyo vifaa, chimbo la kwazwa nenda duka la KIMJI mnazi mmoja, nenda kwa AZANI nimesahau mtaa wake japo watu wanapenda kuita Dubai ndogo kule nenda kwa OMARY BONGE mtaa wa tandamti,
Asante na Mimi nilikuwa natafuta hili chimbo
Naomba unielekeze na maduka ya jumla ya vitambaa kwa nei ndogo
 
Angalia sehemu kulipo na washona nguo ndo ufungue biashara yako pia unaweza kuongeza na vitu vingine kama mashuka, vitenge, vitambaa vya suti na vya shule.
 
Nakushauri mtafute mpemba aliyekaribu na wewe utapata majibu.....mim nitakusaidia kukuonesha chimbo lake KARIAKOO, machimbo yapo matatu tu,japo maduka yako mengi yanayouza hivyo vifaa, chimbo la kwazwa nenda duka la KIMJI mnazi mmoja, nenda kwa AZANI nimesahau mtaa wake japo watu wanapenda kuita Dubai ndogo kule nenda kwa OMARY BONGE mtaa wa tandamti,
Du DSM kubwa ...Dubai!?
 
Kama unahitajia nikupe namba ya ndugu yangu ye yupo Kariakoo ana maduka 4 anauza jumla hutojuta.
 
Back
Top Bottom