Nani ana mtaji tuanzishe biashara ya PLASTIC WELDING?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,072
1,846
Plastic welding Ni Kazi nzuri Sana ukiiendesha kisasa, yaani uwe na eneo la kuhifadhia vitu/vyombo vya wateja/kalakana, uwe na umeme. Vitu vinavyohitajika Ni; Electronic gun kwa kutobolea matundu na kuyeyushia plastics, Wire mesh laini, makret yaliyopasuka kwa kuungia plastics za wateja, hivi Ni baadhi tu kwa kuanzia, so huduma zinakuwa Ni kurepair;

Mabeseni, diaba, viti, matenk, sahani za plastics, meza za plastics, ndoo za plastics nk. Nina uhakika, wateja wapo hasa ukiwa eneo lenye population ya kutosha kwenye miji inayochipukia. Ukitaka kujifunza zaidi namna ya kufanya biashara hii, ingia YouTube, andika plastics welding.

Utaona watu walivyo wabunifu; ( najua Kuna watu wanapenda kutafuniwa, akishaona Ni fursa hata hacomment ila anaanza kimya kimya, tafadhari shirikisha wenzio hasa mtoa wazo, ujue sometimes watu wanauza mawazo yao ila Mimi sipendi hivyo. You're welcome
 
Ni idea nzuri sana sana na sidhani kama inaahitaji mtaji mkubwa
 
Upo wapi? Mimi nipo Geita, tunaweza jadiliana namna Bora ya kufanya ili tujikwamue kimaisha
 
Ni biashara nzuri, kwani Plastic welding zinazofanywa kitaa hazina ubora pia hazizingatii aina ya plastics na kiasi Cha joto. Ukiwa vizuri utapiga pesa mpk kukimbia
 
Back
Top Bottom