Ninaomba mnisaidie ideas ya biashara

Kaka yangu kazi hii ngumu sana.
Hasa mtu usiyemjua.
Maana anaondoka na mtaji wote mzigo na vitendea kazi vyote.
Mpaka kuweza kununua upya si leo.
Labda yna2 amdhamini.
Yeah uko sahihi kabisa Rafiki, basi akija na utambulisho unaeleweka mpokee. Huyo mdhamini labda apate na mdhamini wote watangulizane.
 
Ukipa 50,000 njoo nikishauri ndicho nachotaka kukifanya watu wawili wanafanya kama hiko wanapiga pesa, nimewa-interview wengine wanaofanya hiko kwa njia tofauti wanasema utagonga pesa So kauri zawatu zilizogonga sikioni ni HIYO NI PESA hahahaa.

Ukifikisha 50,000 PM me ukisema humu wakina mnge'to awachelewi kukutunga jina muuza mitumba ooh.
 
Mtoa Mada uko wap?.

Inawezekana huo mtaji wako huwez vuka Boda kwenda mkoa mwingine.

Mimi nashauri angalia zaid kwenye mazingira yako ya sasahivi, Nini unaweza tatua na watu wakahitaji kwa mtaji huo.

Maana Mfanyabiashara/mjasiriamali ni Nia na udhubutu na sio hela.

Ideas watu wanaweza kukushauri kwa kuangalia mazingira uliyopo sasahivi.
 
Fanya hivi boss wangu, mtaji mkubwa Sanaa huo...Kama upo dar, nikuoneshe chimbo la kununua kofia za kike za kulalia au za mvua....wanawake watakuwa wamenielewa..bei ni 4000, kwa dozen hukaa 12, ukiuza mtaani buku buku, utapata 12000.

Ukitoa mtaji utapata 8000 Kama faida, ila ukiuza kwa faster faster kwa 2 kwa buku, faida utapata 2000, so kwa mtaji wako wa 20000, utapata dozeni Kama 5......, chukua HATUAA NB: mim huwa nafanya part time ya kupeleka kwenye machimbo yoyote yale kariakoo kwa gharama ya 6000, kwako nitakupeleka bure pindi ukichukuaa maamuzi.
 
Ukipa 50,000 njoo nikishauri ndicho nachotaka kukifanya watu wawili wanafanya kama hiko wanapiga pesa, nimewa-interview wengine wanaofanya hiko kwa njia tofauti wanasema utagonga pesa So kauri zawatu zilizogonga sikioni ni HIYO NI PESA hahahaa.

Ukifikisha 50,000 PM me ukisema humu wakina mnge'to awachelewi kukutunga jina muuza mitumba ooh.
Nipe ushauri mkuu
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom