Kwa wale ambao watakuwepo Nanenane Mwanza 2020 tupeane uzoefu na biashara na utauza nini

lup

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
2,514
2,732
Habari za asubuhi,

Kwa sehemu yangu mimi ni mara ya kwanza na jana wakati naelekea kisesa niliona wanagawa maeneo na watu ni wengi... nikaona isiwe shida nilifika kisesa kinanunua maji ya jumla barafu halafu nikiashusha uwanjani na hivi jua lilikuwa limewaka nilikuwa namaliza tu nafata kisesa naendelea na biashara huku nikitembeza taratibu.

Sasa kwa wale ambayo wamelipia maeneo, na watakuwepo sio mbaya ukatupa udhoefu wako maana na mimi nahitaji mwakani niwe huku na kuna tetesi kuwa mwakani sabasaba itafanyika kwenye uwanja wa furahisha Mwanza.

Kwa sehemu yangu mimi nitakuwepo na nitakuwa nauza maji ya kuanzia kandoro ya mia mia hadi maji ya kiwandani ya ya jambo 1000, hivyo sio mbaya kumchangia mwana jf mwenzio.... na nitapatikana kwa namba 0712051396. hivyo kama upo na hautajali sio mbaya tukwasiliana na nina mpango wa kuweka kambi kabisa usiku na mchana.

Toka jana hadi tarehe nane kila siku nipo
 
Back
Top Bottom