Wenye uzoefu na biashara ya mazoezi ya mwili, nisaidieni kwa hili

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,072
1,846
Nikawaida yangu kufikilia vitu vya kitofauti, najua kuanzisha gym station Ni gharama Sana ila mi nafikilia, hivi Nikiwa na ile mashine ya mazoezi ya kukimbia, siwezi pata wateja kweli? Yaani ile asubuhi mapema naifungua na jioni mpaka saa tano usiku, ila sijui Bei zake na Kama zinaweza patikana kwa mkopo, halafu niwe nalipia kidogokidogo. Je itawezekana? Wajuvi wa body fitness nisaidieni
 
Inategemea na mahala(location)

Kama ni maeneo yenye wadosi na ukaweka hicho kifaa mahali pazuri ambapo hapanyeshi na hapana watu wengi sana

Pia ukaweka na kafriji kenye maji ya 1/2 litres na vitaulo visafii huenda ukafanya biashara.
 
Gharama za kuipata machine Sasa, mengine yanawezekana
 
Back
Top Bottom