Kwa nini tusifanye kilimo biashara cha konokono kama Nigeria

King Loto

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,573
1,344
Hey wakuu!
Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo.

Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice hichi kilimo na walaji wapo either kimatumizi ya chakula (edible) or kimatumizi ya mafuta soften body skin e.g cream and the likes.

Sio lazima ufanye biashara kwa kuona soko you can see no market for it and you can still create the demands for it.

Binafsi yangu napenda kuinvest sehemu ambayo haina soko au amna market in other way round napenda kucreate demand for market mfano nafika sehemu panaitwa bahi dodoma nakuta amna mtu anauza tofali nasema ngoja niuze tofali bahi, huo ni mfano.

Caution: kitu cha kujifunza with regards dont do business kwa kusikia inalipa or you can start, do it wisely, 'There's a lot of opportunities right there', haya maneno mtasikia kwa kina motivational speakers na malife coach but they will significantly not build your developments rather than nourish your mindsets yaani watakupa hamasa tu, so you brothers and sisters be carefully when you go at the semina 😂😂😂😂

You stay town with iphone X then you drink and put your arms to shemejii at the end of the day unachukua fomu kama fashion ili upate marafiki ushenzi nawe unagombea uongozi viti maalumu you guys especially girls stop these blaa blaa.
You will see some post status nimerudi nyumbani sijui nyumbani ni nyumbani where is Mwijaku now.

Wanazengwe nimemuiga S.J a.k.a Ontario a.k.a mzee wa mlungula Good days all and cheers to all bosses in town sio wapiga picha 🍷🍷🍷
 
You have to inform us how can you create demand for the market of snail. Especially in our country?
# just stop chattering
 
Hii kitu nilitakaga kujitosa miaka 6 iliyopita.. Nilifanya study moja kumsjirikisha Prof mmoja UDSM... Nilikuwa interested na Achatina fulica ambao kwa jina rahisi ni giant African snail..

Mi sikuwa na mpango wa kufuga bali kuexport.. Changamoto ilikuwa kupata mzigo wa kutosha maana mainly ilionekana hiyo variety ipo lushoto zaidi.. But wateja walikuwepo sana those days sema issue was constant supply
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hii kitu nilitakaga kujitosa miaka 6 iliyopita.. Nilifanya study moja kumsjirikisha Prof mmoja UDSM... Nilikuwa interested na Achatina fulica ambao kwa jina rahisi ni giant African snail..

Mi sikuwa na mpango wa kufuga bali kuexport.. Changamoto ilikuwa kupata mzigo wa kutosha maana mainly ilionekana hiyo variety ipo lushoto zaidi.. But wateja walikuwepo sana those days sema issue was constant supply
constant supply is still available even in lushoto unapata a lots of snails pia kipo kilimo chake especially in cold areas like lushoto and kilimanjaro, i think the problem based on exporting those snails to market centre but if not to export, you can create a local market around your location. thank you for your consideration
 
Back
Top Bottom