Kwanini tusifanye kilimo biashara cha konokono kama Nigeria?

King Loto

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,573
1,344
Hey wakuu!

Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo.

Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice hichi kilimo na walaji wapo either kimatumizi ya chakula (edible) or kimatumizi ya mafuta soften body skin e.g cream and the likes.

Sio lazima ufanye biashara kwa kuona soko you can see no market for it and you can still create the demands for it.

Binafsi yangu napenda kuinvest sehemu ambayo haina soko au amna market in other way round napenda kucreate demand for market,

yaani no one might have liked your idea before to get started but finally you come out unasema wacha nianze hii kitu, so what you do? you just convice$ the people wisely mfano nafika sehemu panaitwa bahi dodoma nakuta amna mtu anauza tofali nasema ngoja niuze tofali bahi, huo ni mfano.

Caution: kitu cha kujifunza with regards dont do business kwa kusikia inalipa or you can start, do it wisely, utasikia 'There's a lot of opportunities out there', haya maneno mtasikia kwa kina motivational speakers na malife coach but they will significantly not build your developments rather than nourish your mindsets yaani watakupa hamasa tu, so you brothers and sisters be carefully when you go at the semina 😂😂😂

You stay town with iphone X then you drink and put your arms to shemejii at the end of the day unachukua fomu kama fashion ili upate marafiki ushenzi nawe unagombea uongozi viti maalumu you guys especially girls stop these blaa blaa.

You will see some post status nimerudi nyumbani sijui nyumbani ni nyumbani where is Mwijaku now,😂😂 udaslam unasumbua sana wale ambao wanaforce maisha angali they have nothing to make tunaita umaskini wa fikra. no reputable time you have invested longer, live life not a resume life.

Wanazengwe nimemuiga S.J a.k.a Ontario a.k.a mzee wa mlungula Good days all and cheers to all bosses in town sio wapiga picha 🍷
 
Naona watu wa fursa mmekuja na style nyingine ila mkakati wenu ni ule ule kama mayai ya kwale, matikiti , mkojo wa sungura n.k

Be careful guys ..
 
Naona watu wa fursa mmekuja na style nyingine ila mkakati wenu ni ule ule kama mayai ya kwale, matikiti , mkojo wa sungura n.k

Be careful guys ..
😂😂😂😂 ideas zipo nyingi kitu kinachotakiwa kufanya if yo're capable to do or to start just make or do something different na mwingine kabisa even akija shutuka technique zako wewe uko mbali close to miles journey, to be greater needs wise things na akili kuliko unavofikiri kawaida.

Usifuate mkumbo boss kisa nyie ni marafiki, i always think matajiri wengi sometimes ni wabinafsi not all time they can tell you things, hawatakuambia walifika vipi kila mahali kuliko wakuambie they will hide you.
 
Yes ndio walewale.
wewe fikiria biashara ya kware ambao nyama yake inaliwa kama ya kuku soko lake lilifeli halafu leo hii ufuge konokono mdudu asiyeliwa Tanzania utamuuzia nani?
Naona watu wa fursa mmekuja na style nyingine ila mkakati wenu ni ule ule kama mayai ya kwale, matikiti , mkojo wa sungura n.k

Be careful guys ..
 
Yes ndio walewale.
wewe fikiria biashara ya kware ambao nyama yake inaliwa kama ya kuku soko lake lilifeli halafu leo hii ufuge konokono mdudu asiyeliwa Tanzania utamuuzia nani?
Angalia kwa makini kilichoandikwa ndani ya thread, wewe umeenda bila kusoma between lines, ungefanya skimming basi kwenye paragraphs.

Badala yake mkuu umesoma kichwa cha habari na comment ya huyo mdau hapo juu then ukafanya recommendations na conclusions.

Sasa sikiliza kitu konokono siyo lazima alike unadhani mafuta wanayopaka wadada baadhi ni made up na konokono
 
Nna Business partner wangu ni Mnigeria alikuja Dar kunitembelea, siku amekuja home (kuna eneo kubwa) Akaona Konokono, akanambia Konokono ni Biashara kubwa Kwao.
 
Back
Top Bottom