biashara

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu: Je, Masomo ya biashara hayafundishwi mashuleni?

    Ajira za Ualimu zimetangazwa na Vijana wengi wameanza kuchangamkia Ajira ili waende kulitumikia Taifa na kuendeleza taaluma zao, lakini Walimu waliopewa kipaumbele ni Walimu wa Sayansi, Hesabu na Mengine Kidogo. Ila Walimu wa Masomo ya biashara yaani Book Keeping na Commerce wametengwa kabisa...
  2. JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu wa Vitabu vya maendeleo binafsi (Personal Development)

    Jukumu letu kubwa ni kuwa bora leo zaidi ya tulivyokuwa jana. Njia pekee ya kuwa bora ni kujifunza kupitia usomaji wa vitabu. Vipo vitabu vya aina nyingi ambavyo vinaweza kukupa maarifa mbalimbali. Lakini vitabu vya maendeleo binafsi (personal development) vinakupa maarifa, mbinu na hamasa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tengeneza Urafiki na watu wanaofanya biashara unayoifanya au utakayotaka kuifanya "utafanikiwa"

    Kufanya biashara kila mtu anaweza ila shida inakuja kwenye kudumu katika biashara mtu anayofanya na si tu kudumu ila kufanikiwa katika biashara aliyodumu akiifanya. Watu wengi ni wafanyabiashara ila ni wale watu shika hiki acha shika kile acha (mapepe) kuna mtu anafungua biashara ila hana...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbegu, mayai ya uzazi biashara inayokua kwa kasi Kenya

    Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya. Kenya. Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya. Ila kwa sasa imekuwa biashara inayokua kwa kasi kwa wenza...
  5. JamiiForums Tanzania Mafanikio ndani ya biashara ya dhahabu

    Poleni na mfungo ndugu zangu waislam kaka zangu, dada zangu, na wengine wenye umri kama wangu yaani below 25 niulizeni ndugu yenu hapa kijana mwenzenu. Niulize chochote kuhusu hii biashara nitakujibu. Chochote kinachokutatiza nitakujibu. Karibuni kwenye uwanja wa madini msiogope niulize...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeamua rasmi kufunga biashara

    Yani nimepata kahela kidogo baada ya kuachishwa kazi nikasema ngoja nianzishe kibiashara tena cha mtaji wa million mbili leo hii watu wa wamanispaa wamenikamata wanataka nilipe faini ya laki nne na nusu na biashara yenyewe kila siku nalala tu ofisini. Kwa anayehitaji nimuuzie biashara ya...
  7. JamiiForums Tanzania Dhana ya Kuinuana Kiuchumi baina ya Wanafamilia; Kuna haja unapompa ndugu yako Mtaji wa biashara umtoze riba ili kuongeza uwajibikaji?

    Binafsi naamini kwenye familia, mmoja anaweza kuinuliwa ili aweze kuwainua wengine. Ndiyo maana kwenye maandiko Kitabu cha Mwanzo 42:25-28 unaona Yusufu alivyoinuliwa ili kuwasaidia ndugu zake. Kuna mtu anaweza kujiuliza kwani ni lazima kuwasaidia ndugu zako, Jibu sio lazima (Sijui kama kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Vitu muhimu zaidi unapaswa kuvifahamu Digital Marketing

    Habari wakuu, Natumai kila mmoja wetu yuko vizuri na tunaendelea kupambana katika ulimwengu wa biashara na ujasiriamali. Mada ya Leo inahusu kitu ambacho kina mchango mkubwa sana katika kuikuza biashara yako mwaka huu 2021. Haijalishi wewe ni mfanyabiashara mdogo, unauzia Insta tu au ni...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kupeleka mbele Ratiba ya Yanga vs Azam na Yanga vs Biashara United kulifuata kanuni!

    Kwanza nianze jambo moja... Kama utanisoma kwa kuongozwa na Think Tank wa Club ya Simba, yaani Haji Manara, katu hutanielewa! Ni bahati mbaya sana nimetafuta barua kutoka TFF au hata Yanga zinazotoa maelekezo ya kupeleka mbele mechi hizo hapo juu! Pamoja na yote hayo, kama utaweza ku-connect...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati mzuri wa kumuandaa mwanao kuja kusimamia biashara zako

    Yaani ukimuandaa mtoto wako saizi unakuta huyo mtoto mpaka afike 25 anaexperience ya kutosha kwenye business kuliko walihitimu vyuo maana anajua ups and downs za business (mfano hai ni watoto wa waarabu) Pia, anajifunza namna ya kuinvest na risk zake hata anaweza foresee future ya business...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, zile pesa ulizoziita za dhulma walizopokwa wafanya biashara na TRA itapendeza kama mtawarudishia wenyewe

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wanajukwaa. Ndugu zangu kwanza nitaanza kwa ku declear interest kwamba mimi ni mwana CCM ambae nilikuwa simuungi na sikubaliani na hayati Magufuli bila kificho kwani matendendo yake na uongozi wake haukuwa mzuri kwa maono yangu. Kwa maono yangu...
  12. JamiiForums Tanzania Lugha ya kiswahili itakufa? Nasikia watoto wa english medium hawakijui

    Juzi nimeona mtandaoni mama mmija akilalamika kuwa mwanae wa miaka 8 hajui vizuri kiswahili. Mwingine anasema mwanae anaongea kiswahili kama cha wahindi. Hili ni jambo zuri au ni tatizo? Hii ipo kwa kiasi gani? Kiswahili kinaenda kufa?
  13. JamiiForums Tanzania App nzuri kwaajili ya Wafanyabiashara

    Kwa Anayehitaji App Nzuri kwa Ajili ya Kutunza Kumbukumbu za Mauzo ya Biashara. Inauzwa 20,000/= tu. Anicheck WhatsApp 0764181161 Nitamtumia Link ya Play Store, Pamoja na Video za Namna Inavyofanya Kazi.
  14. JamiiForums Tanzania Kilimo na Masoko ya Ukwaju

    Waungwana... Natumaini Mungu anazidi kutupigania kila siku, na maisha yanasonga.. Niende kwenye mada.. 👇 Ninaomba mwenye kufahamu anisaidie maarifa nitoe tongotongo... maana tunatofautiana uzoefu na access to information. Biashara ya ukwaju ipoje? Masoko yake yakoje hapa kwetu? Na je taratibu...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari ndogo Aina ya IST, Raumu, Spacio, Ractis, Funcargo na gari nyingne isiyozidi cc 1290

    Nahitaji gari ndogo Aina ya IST, raumu, spacio ,Ractis ,funcargo na gari nyingne isiyozidi cc 1290 Kwa maelewano ya kuleta hesabu ya 150000/week bila kuchelewa. Nipo Dar es salaam wilaya ya Ubungo kata ya msigani mtaa wa kwa Yusuph. Nna akaunti ya bolt na Uber zilizo active hivyo huna haja...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya kuprint picha/canvas

    Wakuu salam Nataka kufanya hii biashara Naomba mwenye ujuzi tushee Printer ya aina gani inatumika Materials Ujuzi Na upatikanaji wake Natanguliza shukran Nimeatach picha ya sample
  17. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Ni ngumu kwa Mtanzania kuwekeza Kenya

    Mfanya biashara billionea wa Tanzania bwana Rostam Aziz leo akizungumza kwenye kongamano la wafanyabiashara kati ya Tanzania na Kenya kwenye ziara ya rais Samia amesema mazingira ya uwekezaji kati ya hizi nchi mbili hayako sawa. Rostam amesema ni rahisi sana kwa Mkenya kuwekeza Tanzania lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ahutubia Mabunge ya Kenya: Biashara kushamiri, Vikwazo Mipakani kutatuliwa, Udugu kudumishwa

    Analihutubia Bunge la Kenya litakalojumuisha Wabunge wa Mabunge yote mawili ya nchi hiyo. ======= Rais Samia Suluhu Hassan Nina furaha kubwa kupata nafasi ya kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Seneti na la Kitaifa Nchini Kenya - Tanzania tuna Bunge moja. Kwangu, ndio mara ya kwanza...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Kwenye nchi zetu mbili moja ina 'uhuru' wa kufanya biashara na nyingine ina 'suluhu' ya kuondoa vikwazo vya kufanya biashara

    Haya ni maneno ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara yake huko Kenya.Haya maneno yamenishtua sana na kunifanya nijiulize maswali lukuki. Ni nani huyo mtu ambae aliweka vikwazo vya Kufanya biashara Tanzania hadi ihitajike 'Suluhu'? Wananchi wa Tanzania walimchukulia hatua...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta ampa Waziri wake wa Biashara wiki mbili kuhakikisha mahindi ya Tanzania yanaingizwa Kenya, Rais Samia asema yeye ni Suluhisho

    Hii ni habari njema kwa wakulima wa mahindi kwamba mzigo wao uliozuiliwa mpakani utaingia nchini Kenya ndani ya wiki mbili zijazo na hapatakuwepo na usumbufu tena. Rais Uhuru amemtaka waziri wake kusimamia hilo. Rais Samia amesema Kenya wana bahati wanaye Uhuru atakeyewaletea Uhuru wa kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…