biashara

  1. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nazi

    Biashara ya Nazi. Habari zenu wakuuu Naomba msaad wa maelekezo na ushauri wenu kuhusiana na biashara ya Nazi, Nazi nitakua nazitolea kilwa. 1. Naomba mnijuze kuhusu soko la Nazi jijini Dar es Salaam kwa jumla na rejareja. 2. Pia kama Kuna viwanda vyovyote ambavyo huwa vinahitaji nazi Kama...
  2. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya "kubounce back" baada ya kupoteza katika biashara

    Habari wanajamvi, Kichwa tajwa hapo juu. Kwa kifupi: Niliingia ubia na jamaa nikatoa hela zangu akamwomba jamaa mwingine aagize mzigo mzigo (wa nafaka) ukaja umechanganya rangi. Badala ya tani moja ikaja kilo 490, na kati ya hayo 200 tu ndo ilikuwa nzima. hata hivyo, yalikuwa size ndogo sana...
  3. E

    JamiiForums Tanzania VPL mechi ya Biashara mara na Coastal union mbona haianzi?

    Hiyo mechi tajwa hapo juu mbona haijaanza mpaka sasa kulikoni? Nina maneno nayo hebu mnijuze kama imeahirishwa na kwa sababu gani.
  4. Gan star

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Nataka kuanza biashara ya handbag au viatu toka China/Uturuki

    Wakuu habari za majukumu, Nataka nifungue biashara ya kuuza mikoba au handbag za wadada, wallet na viatu pia special toka China na Uturuki. Eneo ni Kibamba Dar es salaam. Kwa wale wenye ujuzi vipi inalipa wakuu, ushauri nahitaji wakubwa, mtaji ni 1.5 mil plain nje ya Gharama za fremu. Mimi ni...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Biashara na Viwanda, Godfey Mwambe apiga marufuku taasisi zilizo chini ya Wizara yake kufunga biashara za watu kwa kisingizio chochote

    Kwenye taarifa ya habari ITV leo ya saa mbili nimemsikia Waziri wa Biashara na Viwanda, Godfey Mwambe amepiga marufuku taasisi zilizo chini ya wizara yake kufunga biashara za watu kwa kisingizio chochote ahimiza majadiliano badala ya funga funga. Amesema asisikie. Huo ni uhujumu uchumi TRA na...
  6. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuingiza movie na miziki kwenye flash na simu

    Biashara hazijawahi kuisha chini ya jua ni vile tu unavyoamua kuchukulia mambo na kujichukulia wewe upo vipi,leo nataka nimsaidie mtu mmoja mahali flani kuichambua hii biashara ili kama alikua akiwaza nini chakufanya na hapati apate pakuanzia,na kwa wanaoifanya basi waboreshe ili mwisho wa siku...
  7. demarine

    JamiiForums Tanzania Njia za kupata mtaji wa biashara

    Tatizo la kukosa mtaji limekuwa kubwa mno, watu wengi wanandoto za kufanya biashara ili kujikwamua kiuchumi, kila mtu anatamani walau afanye kitu kwaajili ya kupata rizki ila wanashindwa namna ya kuanza kufanya yote kwasababu ya kukosa fedha. Hizi apa njia kazaa ambazo unaweza tumia ili kupata...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotangaza biashara mtandaoni

    MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOTANGAZA BIASHARA MTANDAONI Jifunze na uitambue hadhira yako unayoilenga Ikiwa huijui hadhira yako ni ipi, huwezi kuipa kile inachotaka, na kisha nayo haitakupa kile unachotaka. Wafahamu kwa umri wao, wanaishi wapi, wanazungumza lugha gani na wapo katika hatua gani...
  9. kidadari

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viwanja Dodoma imebuma Serikali yawasaka walionunua walipe pesa

    Baada ya kutangazwa kwa jiji la Dodoma serekali iliandaa mpango wa kupima maelfu ya viwanja na kuviuza kwa mkopo. Wengi walivipapatikia wakijua watauza kwa faida baadae. Wengi walionunua sio wakaazi wala hawana mpango wa kujenga na kuishi Dodoma bali walinunua kibiashara. Kumbuka viwanja vingi...
  10. fuvu la paka

    JamiiForums Tanzania Nataka kujitosa kwenye biashara ya madini

    Ndugu zangu wana jamvi, kijana wenu baada ya mapambano makali hapa mjini, nimeamua kujitosa kwenye Madini lakini nimelenga Mkoa wa Mbeya Wilayani Chunya, Najua issues za Madini ni Bahati, na mimi nimeona nikajaribu bahati yangu. Ninaomba kwa mwenye uzoefu wowote wa Mgodini anipe ili niwe na...
  11. mgt software

    JamiiForums Tanzania Mbinu chafu za Matajiri wa viwanda wanavyoturudisha kwenye umaskini baada ya kulindwa Na sera za biashara kukosa ushindani

    Wana jf Wengi mnaweza msilione hili lakini mbinu chafu zinazotumiwa Hawa wafanyabiashara kuhakikisha wanapata faida kubwa huku mdoro wa Kasi ya maendeleo ikikwamishwa makusudi. Umoja wa wafanyabiashara wenye viwanda vinavyozalisha vifaa au vitu vya matumizi ya lazima wamekuwa wakipanga Kwa...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia kwa macho yangu, biashara ya photo studio imejaa sana matukio ya ngono

    Well, hii weekend nlienda kwa mshkaji wangu tuliemaliza nae chuo kimoja, yeye baada ya kusota kitaa akajiongeza hakuenda kusoma masters akafungua studio ya picha na maisha yakawa yanaenda. Sasa huyu rafiki hadi leo hajaoa na hua namtania sana aoe aache ubachela umri unaenda na kazi anayo...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Okonjo-Iweala aanza kazi rasmi kama Mkuu wa Shirika la Biashara duniani

    Dkt Okonjo -Iwela ambaye ni waziri wa zamani wa fedha na mambo ya nje wa Nigeria, ni mwanamke wa kwanza wa Afrika kuongoza WTO. Ngozi Okonjo-Iweala amesema kipaumbele chake ni kushughulikia masuala ya afya na athari za kiuchumi zinazotokana na majanga. Kuna wasiwasi huko Washington na miji...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara ya rejareja (chumba na sebule) na faida zake

    Kila biashara ya rejareja Ina changamoto zake. Biashara ya nyumba za kupanga pia ina kero zake. Unapojenga nyumba ya vyumba sita na kuipangisha chumba kimoja kimoja ni rahisi kupata wateja. Ni bahati sana kukuta vyumba viko wazi unatafuta mteja kulinganisha na kupangisha nyumba nzima. Katika...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kushtua: Mkojo wa Wajawazito wageuka kuwa biashara kubwa

    Inadaiwa kuwa mikojo ya Wamama Wajawazito imegeuka kuwa biashara kubwa huku mahitaji yake yakizidi kuongezeka Bidhaa hiyo iliyogeuka kuwa lulu kwenye maeneo mbalimbali nchini hususani Jijini Dar es salaam inadaiwa kutumika kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwamo tiba ya maradhi kadhaa. MCL...
  16. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Hali ya biashara imekuwa ngumu mno, hasa maeneo yenye vibanda vingi

    Hali ya biashara imekuwa ngumu mno, hasa maeneo yenye vibanda vingi. Pamoja na kuwa kila mtu anafuta riziki, lakini ukweli lazima tuseme. Ongezeko la watu wanaojenga viduka pembezoni mwa barabara imeuwa kabisa biashara kwa sisi tuliondani ya maduka. Ushauri kwa serekali hivi vibanda vinaua...
  17. The River

    JamiiForums Tanzania msaada biashara ya udalali

    habari wakuu,,. naomba kwa anayejua kwa undani biashara/kazi ya udalali wa mahakama anisaidie,.. yaani nahitaji niwe na kiasi gani cha kuanzia,vitu vinavyohitajika ili nipate vibali vyote na faida ya hii kazi,.natanguliza shukran
  18. Keco Group ltd

    JamiiForums Tanzania Kuza au panua biashara yako

  19. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Rais, nawasikitikia sana waliochukua fremu za biashara kwenye ya stendi kuu ya mabasi Mbezi

    KWA KAULI YA JPM, Nawaskitikia sana Waliochukua fremu za biashara ndani ya stend kwa gharama kubwa IMEKULA KWAO. Machinga na Mama lishe watauza bidhaa ile Ile kwenye kibaraza cha fremu uliolipia mwenyewe kwa pesa zako, Wateja hawataona umuhimu wa kuingia ndani ya frem lako,Na watauziwa...
  20. Alvin Slain

    JamiiForums Tanzania Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?

    Taarifa za kufanikiwa katika biashara zinapatikana kila mahali lakini hakuna mahali wamenyesha hizo biashara zinazosababisha hayo mafanikio, ni biashara za aina gani hizo? Soko la mitaji likiwa katika hali ya kuzorota. Ni biashara gani inayoweza kukufanya kuwa milionea katika kipindi cha miaka...
Back
Top Bottom