Mafanikio ndani ya biashara ya dhahabu

NYEKUNDU YA BIBI

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
2,298
2,969
Poleni na mfungo ndugu zangu waislam kaka zangu, dada zangu, na wengine wenye umri kama wangu yaani below 25 niulizeni ndugu yenu hapa kijana mwenzenu.

Niulize chochote kuhusu hii biashara nitakujibu.

Chochote kinachokutatiza nitakujibu.

Karibuni kwenye uwanja wa madini msiogope niulize chochote nitakujibu kwa kina. Kama pia una neno unataka kuongezea ni mjuzi pia karibu sana utupe na wewe chochote.

1620740548084.png
 
Ili upewe kitalu cha kuchimba dhahabu INATAKIWA uwe na vigezo gani?
Mkuu cha kwanza inabidi uwe timamu wa akili cha pili kuna kutafuta leseni ya uchimbaji cha pili ukiipata leseni jeh!? Hio leseni yako inaenda kuathiriy vipi mazingira unakutana na watu wa mazingira ili wakadirie uharibifu utakao ufanya katika mazingira ufanye malipo ya uharibifu ndo uanze kazi
 
Je ni kweli biashara hii ya madini inahusika na mambo ya kiushirikina? tafadhali uwe mkweli hahaah
Hapana kabisa mimi nathibitisha hili kwa kua nilichopata ndani ya miezi sita tu nithamani ya posho ya mstaafu ambayo nasema kwa uwazi ningekomaa na kusom magari na nyumba nzur ningevisikia kwa balozi wa Tanzania nchini India
 
Poleni na mfungo ndugu zangu waislam kaka zangu,dada zangu,na wengine wenye umri kama wangu yaani below 25 niulizeni ndugu yenu hapa kijana mwenzenu,

Niulize chochote kuhusu hii biashara nitakujibu

Chochote kinachokutatiza nitakujibu

Karibuni kwenye uwanja wa madini msiogope niulize chochote nitakujibu kwa kina. Kama pia una neno unataka kuongezea ni mjuzi pia karibu sana utupe na wewe chochote

Nataka gold detector (underground), kwa hapa Tanzania napata wapi?? Bei yake inakwenda ngapi??
 
Hapana kabisa mimi nathibitisha hili kwa kua nilichopata ndani ya miezi sita tu nithamani ya posho ya mstaafu ambayo nasema kwa uwazi ningekomaa na kusom magari na nyumba nzur ningevisikia kwa balozi wa Tanzania nchini India
Kuna risk gani katika biashara ya madini ?

Naomba riak tatu kubwa mabazo kwa uzowfu wako unaona kabisa mtu anayeanza anatakiwa kuziepuka ...?
 
Mzigo wake sio WA kitoto.
Mkuu cha kwanza inabidi uwe timamu wa akili cha pili kuna kutafuta leseni ya uchimbaji cha pili ukiipata leseni jeh!? Hio leseni yako inaenda kuathiriy vipi mazingira unakutana na watu wa mazingira ili wakadirie uharibifu utakao ufanya katika mazingira ufanye malipo ya uharibifu ndo uanze kazi
 
Kuna risk gani katika biashara ya madini ?

Naomba riak tatu kubwa mabazo kwa uzowfu wako unaona kabisa mtu anayeanza anatakiwa kuziepuka ...?
1.Usiingize pesa kwa mkumbo wala kushauliwa na rafiki nenda kama mjinga wakutafuta kazi
2.usiwe na tamaa yakutaka kwa haraka
3.usithubutu kutawaliwa na mchimbaji kwa sababu ya ugeni wako
 
Back
Top Bottom