biashara

  1. J

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya Alama za QR inavyoweza kubadilisha biashara yako

    Moja ya changamoto ya kutoa huduma yenye ushindani ni kutumia njia ya haraka na salama ya kutoa taarifa kuhusu bidhaa au huduma yako. Kama njia ya kurahisisha upatikanaji wa taarifa, teknolojia inawezesha uwezo wa kuhifadhi taarifa kuhusu bidhaa au huduma katika mfumo utakaowezesha taarifa hiyo...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi? WANAOUNGA MKONO HOJA ya kuajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu wanadai ya kwamba, ndugu yako...
  3. Fya-fyafya

    JamiiForums Tanzania Ona hapa aina mbili mpya za wizi wa pikipiki ulioshamiri mijini

    Hapa Nchini kumekuwepo na wimbi kubwa la wizi wa pikipiki hasa pikipiki aina ya Boxer. Tena baada ya uzuka kwa ugonjwa wa Kirona, ndo hali imekuwa mbaya. Watu (bodaboda) wengi wamekuwa wakilizwa mara kwa mara. Kwa nini pikipiki aina za boxer ndo zimekuwa zikishambuliwa sana kuibiwa? Wengi...
  4. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli achochea kuimarika kwa sekta ya biashara

    Mara baada ya nchi yetu kupata uhuru iliamua kufuatia mfumo wa siasa ya ujamaa na kujitegemea na ilipofika mwaka 1967 lilitangazwa Azimio la Arusha ambapo njia kuu zote za uchumi zilikuwa zinamilikiwa na kusimamiwa na dola ikiwemo mifumo rasmi ya masoko ya mazao. Mashirika mbali mbali yaliundwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wasomi walioajiriwa kukimbilia biashara za nguo na viatu mitandaoni

    Wakuu salama? Kitambo sijapost hapa ila nimeona leo tuangalie upande wa pili wa shilingi; tuna idadi kubwa sana ya vijana wetu wasomi tena ambao wapo kwenye ajira iliyo rasmi lakini wakati huo huo wanafanya ujasiriamali mdogomdogo. Sioni tatizo kufanya biashara ila shida inakuja pale ambapo...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kusema mikoa ya mipakani itakuwa milango ya biashara

    Lissu alisema wananchi wanaoishi katika mikoa ya mipakani wanaweza kufanya biashara ndani ya nchi na pia wanaweza kufanya biashara katika nchi jirani. Mfano Mkulima wa Korosho anaweza kuuza korosho Msumbiji kama bei ni nzuri zaidi ya Tanzania au kahawa ya Kagera kuuzwa Uganda kama bei ni nzuri...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kukopesha huku ukibaki na dhamana

    Habari wakuu, Nafikiria kuanzisha biashara ya kukopesha kama ka microfinance kadogo lakini nibaki na dhamana. Kwa mfano una simu au laptop unakuja unaicha ofisini (baada ya kujaza form ya mkataba na kuacha kopi ya ID) then unachukua mkopo unafanya yako within siku thelathini unakuja na pesa...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara kwa sisi wa Uswahilini

    Nilikwenda soko la Ferry kununua samaki. Niliona wavuvi wanauza dagaa kwa ndoo. Wazo nililolipata ni kwenda Ferry asubuhi na jiko la mkaa na kopo moja tu la mkaa ndani. Chupa ya mafuta na chumvi. Ukishanunua wale dagaa unawakaanga pale unawaweka kwenye ndoo na kupanda nao mwendo kasi...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya A4 copy paper kutoka nje. Nahitaji mwenye taarifa sahihi kuhusu hii biashara anisaidie

    Habari wana jamvi! Nafikiria kuanzisha biashara ya A4 copy paper kutoka aidha South Africa au Thailand! yaani kuleta container. soko langu nalilenga kanda ya ziwa. Wadau nahitaji mwenye taarifa sahihi kuhusu hii biashara anisaidie kunipa taarifa wapi mzigo mzuri nitapata, mtaji, brand gani ya...
  10. maroon7

    JamiiForums Tanzania Nini siri ya wamasai kwenye biashara ya sandals?

    Hii kitu huwa najiuliza sana kwanini wamasai wanapenda zaidi biashara ya kutembeza sandoz (sandals) kuliko biashara zingine? Siku za nyuma nilikua naamini wao ndio wanazitengeneza kumbe sivyo nao ni walanguzi tu. Hii imepelekea mpaka zipewe jina la sandals za kimasai wakati hawazitengenezi wao...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

    Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui. Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani. ========= MAGUFULI: Mwaka 2015 tulipita hapa kuwaomba kura wana-Mbeya, mlitusikiliza...
  12. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana

    NIKIWA RAIS NITAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI,KUFANYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI"PROF.LIPUMBA" USHETU,SHINYANGA Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana. Kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Dunia ya mazingira ya kufanya biashara ya mwaka 2020 – (Doing Business 2020), Tanzania ni nchi...
  13. Moderator

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Habari wakuu, Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao. Kutokana na mada nyingi kuwa na umuhimu na kuwa sticky, inalazimu kuweka links za mada hizi sehemu moja kwa urahisi wa kuzifikia na...
  14. Mtini

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu biashara ya mahindi na milling kwa ujumla

    Niko kwenye hii biashara kwa zaidi ya miaka 7 sasa, kwa wale wanaopenda kujua ABC karibuni kwa maswali.
  15. Kaliro X

    JamiiForums Tanzania Eneo la kufanyia biashara ya M-pesa, Tigopesa etc

    Natafuta eneo lililochangamka kiasi kufanyia biashara ya Mobile money, kama ww ni owner au unaweza kuniconnect na owner, nitashukuru. Mm ni mkazi wa Temeke so naprefer maeneo around Temeke, Tandika, Mbagala, Kijichi, Gongo lamboto au maeneo ya jirani. Kama ni chumba/frame ni sawa au hata kama...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye biashara ya nyanya

    Habari wana Jf, Nilikuwa nahitaji kufanya biashara ya nyanya ninunue kwa wakulima mashambani alafu nije kuuza kwenye masoko Dar. Nilikuwa naomba. 1. Ushauri au muongozo kwa mwenye uzoefu na biashara hii inakuwaje na inafanywajwe. 2. Connection za wakulima wa zao hili. 3. Connection za masoko...
  17. Rashid Athumani

    JamiiForums Tanzania Rasimisha biashara yako

    Habari Ili biashara yako itambulike kisheria basi yakupasa uisajili kwa kuzingatia taratibu zote zinazohitajika ili uweze kukamilisha usajili wako, unaweza kuisajili ukiwa kama mmiliki binafsi (Individual), ubia (Partnership) au Kampuni (Company). Na ili uweze kukamilisha usajili huu lazima...
  18. Innocent Kirumbuyo

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

    Hello Natumaini mnaendelea vyema na harakati za kutafuta maisha nimeona leo niwaibie siri jinsi hii biashara ya sandals na viatu inaweza kukutajirisha kwa haraka. Historia Mimi kwa majina ya kuzaliwa naitwa Innocent kirumbuyo nimezaliwa Kilimanjaro katika hospital marubeneti miaka mingi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu baada ya kuiteka ngome ya Kanda ya Ziwa, una kazi moja tu ya kuiteka Dar es Salaam umalize biashara hii mapema

    No doubt Ngome ya kisiasa ya raisi Magufuli ya Kanda ya Ziwa imetikiswa sana na mashambulizi ya kampeni ya Lissu Hii kanda ndiyo iliyokuwa muhimu sana kumsaidia Magufuli kubalance nguvu za upinzani katika kanda ya kaskazini na miji mikubwa ya Dar na Mbeya, huku akitegemea mikoa loyal kwa CCM...
  20. MC RAS PAROKO

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara ya mazao na mifugo

    Wazo la biashara ya MAZAO na MIFUGO Niende moja kwa moja katika mada, nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu masuala ya mazao na mifugo na katika hayo nimepata taarifa muhimu sana na nikaona nisiwe mchoyo niweze kushiriki nanyi kwa pamoja tuinue hali zetu za kiuchumi. Ukiangalia katika mwaka...
Back
Top Bottom