biashara

  1. Lilylome

    Biashara ya uwakala M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money

    Habari ndugu zangu naomba muongozo mwenye hakika na haya anijuze. Nawaza kufungua ofisi ndogo ya kuwa wakala wa hudumu za kifedha kupitia mitandao ya simu, Je, leseni ya biashara inapatikana kwa gharama kiasi gani (Mimi nipo mwanza sijawai miliki hiyo kitu ndo nata kuifuatilia Kisha nisajiri...
  2. K

    Lifespan ya ndege ya biashara ni miaka mingapi?

    Ndege ya biashara inayopiga route za mbali inaweza kukaa sokoni kwa muda gani kabla haijaaribika na kusitishiwa safari? Je, ndege utumia muda gani kurejesha gharama za manunuzi na kuanza kurealize faida? Ndege zikikosa safari serious za kibiashara zinaweza kuharibika eneo la maegesho? Eg...
  3. F

    Gharama za usajiri wa jina la biashara na kampuni BRELA

    Kufanya biashara bila kusajiriwa ni kosa kubwa kisheria, Fininnovation Limited itakusaidia kukuhakishia inakusaidia ili uweze kupata kampuni au jina la biashara muda mfupi. Mchakato mzima unachukua muda chini ya week moja kama hakutakuwa na marekebisho.
  4. OllaChuga Oc

    Ushauri: Biashara ya mchele kutoka Kahama Kupeleka Arusha

    Niaje Mabroo na Masista. Maisha yanaendelea poa, mimi niko Kahama hapa kuna mishe nilikuja kufanya ila mda siyo mrefu nageuza kurudi A Town, aka A City, Geneva of Africa, City of God[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ..ni hivi wakuu tuachane na mbwe mbwe za majina. Ni Kwamba katika muda niliokaa...
  5. Samia atosha tukutane2030

    Tuliowahi kukopa pesa kuanzisha biashara kisha biashara ikafa tukutane tujadili machungu

    Sitausahau mkopo wangu wa kwanza kabisa. Ndipo nilipoanza kushika mamilioni, ilikuwa September 2016. Basi nikanunua kiwanja kimoja na pesa nyingine nikaiingiza kwenye biashara ya duka la vitu mchanganyiko. Aisse biashara ilinikataa kabisa. Duka la milioni kadhaa mauzo elfu 20 per day. Mwisho wa...
  6. Stiffler88

    Wenye uzoefu na udereva wa Uber na Bolt, naomba kujua faida, hasara na changamoto zake

    Baada ya chuo, kama kijana naona wakati nikiendelea kutafuta kazi nifanye biashara ya Uber/ Bolt. Sasa wenye uzoefu Naomba wanijuze nn cha kufanya ukiwa unaanza, faida na hasara na pia changamoto za hii kazi. Maana nmeskia kuna ambao wana-make na ambao wanakua loss.. Pia namna nzuri ya ku...
  7. shangwe1

    Naomba kufahamishwa kuhusu biashara za uwakala wa M-PESA, AIRTEL MONEY na TIGO PESA

    Ndugu zangu nimehangaika kutafuta pesa nikabahatika kuotea kama milion tatu sasa nataka kuendeleza hii milion tatu katika biashara Lakini nimefikiria katika biashara ya kufanya wazo likanijia nifanye biashara ya M PESA ,,AIRTEL MONEY na TIGO PESA lakini sina uzoefu na hii biashara ..Naomba...
  8. funaku

    Tiba asili isigeuzwe biashara ya Wahindi au hisani ya Wamarekani

    Niwapongeze wizara ya afya na Ustawi wa jamii kwa kutambua mchango wa TIBA ASILI (SIO MBADALA) kama sehemu ya mfumo wa afya Tanzania na nia yao ya kuonesha kuwa tiba zetu za asili ambazo zimekuwepo miaka mingi zinaweza kuwa sehemu ya ubunifu na msaada mkubwa nyakati za milipuko na nyakati za...
  9. K

    Utapeli wa biashara ya kuwekeza unaofanywa na kampuni ya FX Fire iliyopo mkoani Mwanza

    Naomba watanzania muwe makini sana na kijana anaitwa Peter Kasanga aliyeko mkoani mwanza mwenye kampuni ya fx fire, anafanya biashara ya uwekezaji yaani unawekeza pesa na mwisho wa mwezi unalipwa 60% ya kiasi cha pesa ulicho wekeza, alikuwa akifanya hii biashara ya uewekezaji tangu mwaka jana...
  10. M

    Nina mtaji wa Milioni 35 nataka kufanya biashara Kariakoo

    Wakuu nimebangaiza nimefanikiwa kuweka Milioni 35 nataka kuingia katika biashara Kariakoo, nifanye biashara gani? Michango ya wadau Zaidi soma>>Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)
  11. sonofobia

    Nataka kufanya biashara ya "Uber" lakini sijui pa kuanzia

    Wakuu nina gari yangu imepaki nataka iniingizie pesa kwa kuifanya uber. Naomba kwa mwenye ufahamu anifahamishe process yote mpaka gari inaingia barabarani. Yani kama kuna vibali ni vipi? Kama najisajili naenda wapi kujisajili? Kama ni leseni naenda kuikata wapi? Pia nilitaka kufahamu kama...
  12. Miss Zomboko

    Msanii T.I na Mkewe watuhumiwa kwa kufanya Biashara haramu ya kusafirisha Binadamu

    Wanawake takriban 15 wamejitokeza na kudai kuwahi kufanyiwa vitendo vya kikatili na T.I. pamoja na mkewe Tiny Harris. Wanawake hao wamejitokeza kupitia ukurasa wa mwanadada Sabrina Peterson ambaye wiki hii aliibuka kupitia Instagram na kudai T.I. aliwahi kumtishia bastola. Baadaye rapa huyo...
  13. OLS

    Equinor yapanga kuzungumza na Serikali ya Tanzania ili kurekebisha mazingira ya biashara, sheria na fedha ili kupata faida

    Thamani ya mradi wa TLGN yapungua kwa $milioni 982. Equinor kampuni ambayo inajihusisha na nishati hasa gesi, ilikuwa na mradi wa Liquefied Natural Gas (LNG) nchini Tanzania ambao leo kampuni ya Equinor imeamui kushisha thamani ya mradi huo kwa $Milioni 982. Punguzo hilo la thamani linaakisi...
  14. hguy platnumz

    Nina sh. 20,000 naomba mnishauri biashara ya kufanya

    Naomba ushauri nini nifanye nina mtaji wa tsh.20000 nifanye biashara gani? Kwa kipindi hiki cha mvua (kifuku) nipo Nachingwea kijiji cha Mbondo natumaini nitapata mawazo mazuri kutoka kwenu.
  15. Samedi Amba

    Hatma ya biashara za mtandaoni kwa Mtanzania

    Habarini za asubuhi wanajamvi, Kama tunavyojua, maisha baada ya Korona imekuwa remote. Sites kama vile upwork, fiverr na PeoplePerHour zimeshika kasi katika kuajiri "digital nomads", na waajiri wengi wamechukua njia hiyo kuhakikisha kazi zao zinaenda. Sasa naangalia maisha yangu kama Mbongo...
  16. tzhosts

    Hatua kwa hatua-Jinsi ya Kutengeneza website ya Biashara

    Habari za wakati huu; Leo nataka nilete darasa fupi la jinsi ya kutengeneza website (Tovuti ) kwa ajili ya biashara yako kwa gharama nafuu kabisa.Nitaanza kwa kuelezea kidgo tovuti ni nini na kazi yake ni nini? Tovuti ni nini? Tovuti ni anuani ya mtandaoni.Ni sehemu katika mtandao ambamo...
  17. wazanaki

    Msaada kuhusu hatua za kufungua biashara

    Wakuu nitaenda haraka kwenye point Nilikua nahitaji kujua hatua za kufungua biashara ndogo tu ya ujasiriamali, nimepata kaeneo kando kando ya barabara. kuna mtu anaweza kunipa hatua zote za kufata mpaka kupata kubali? Nilikua naomba kama mtu akieleza hatua basi aeleze in detail kidogo ili niweze...
  18. F

    BRELA ( Business Registration and Licensing Agency) kuna matatizo makubwa! Waziri wa Viwanda na Biashara tunakuomba uingilie kati haraka!

    Matumizi ya teknolojia yanapochukua nafasi kila mtu anategemea ufanisi kuongezeka! Hii imekuwa kinyume kabisa kwa BRELA, inaumiza, kuleta hasira na hasara sana kwa Wafanyabiashara. Mwaka jana mwezi wa nne 2020 nilianza mchakato wa kuhuisha taarifa za kampuni yangu ili kuomba leseni za...
  19. H

    Linahitajika Guta au Suzuki Carry kunusuru biashara yangu

    Rejea hiyo Subject hapo juu. Sina nguvu yakununua vipya, hivyo nataka used chenye afya. Natambua na kuheshimu Madalali ila kwenye hili ninahitaji wamiliki. Juzi dalali kaniambia Carry mil3.7. Nikachukua namba za usajili nikaomba Query zakikodi au Customs (If any), huko nikapata namba ya...
  20. T

    Tambua Siri za mafanikio ya biashara za Wahindi

    For keen observers, the Indian community is fast rising to be a business behemoth in Kenya and East Africa take out Indian families from any major town and the economy of that particular region will probably tumble. The same case can also be said in countries like South Africa, Ghana, Ivory...
Back
Top Bottom