biashara

  1. Matendo Andrew

    JamiiForums Tanzania Madalali mnachelewesha biashara za watu

    Jamani nyinyi mnaojiita MADALALI naomba angalieni uwezekano wa kubadili jinsi ya ufanyaji kazi WENU, mnachelewesha Sana biashara kwasababu ya kuweka chajuu kikubwa na WAKATI mwingine mteja akifika Bei ya mwenye BIDHAA hamsababishi wauziane...nawaomba CHUKUENI Asante KUTOKA kwa muuzaji na mnunuzi...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kilimo cha biashara unaojumuisha wasomi wa kada mbali mbali

    Kilimo cha biashara ni njia ya kujitoa katika umasikini. Mtaji katika kilimo hiki ni changamoto kubwa. Wazo lililopo ni kuunganisha nguvu na ujuzi wa watu mbali mbali. Wahitimu wa kilimo, uhandisi, HR, accounts, marketing nk waungane na kuunda kampuni. Eatafute eneo kuanzia heka 20, wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tozo za miamala ya simu ni kikwazo kwa biashara ndogo

    Kama kuna mahali serikali hii imekosea ni kuhusu hii tozo ya miamala ya simu, madhara yake yatakuwa makubwa sana kwa biashara za watu wa chini. Wafanyabiashara wadogo wengi hawatumii bank kufanya manunuzi na malipo mbalimbali. Tozo iliyowekwa ni kubwa kuliko faida tarajiwa katika muamala...
  4. Reen tz

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Kodi (Rent)

    Kodi(rent) (ushuru) malipo ya pesa, malipo yanayo kusanywa na serikali kwa mujibu wa sheria(KATIBA). Kushindwa kulipa, kodi(rent), ni kosa la jinai serikali itakushtaki uadhibiwe kwa kufuata sheria. Kodi iliwekwa kwaajiri ya makusanyo (mapato) kwa wafanya biashara na makampuni nk, lengo...
  5. Grahams

    JamiiForums Tanzania Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

    Wakuu, habari za muda huu? Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako? Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika...
  6. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Njia Rahisi ya uchaguzi wa biashara

    Kama ilivyo je wewe Ni mjasiriamali au unataka kufanya biashara iwe kubwa au ndogo. Basi fanya haya najua Unaweza nishukuru. Wajasiriamali au wafanyabiashara wengi hushindwa Katika Uchaguzi wa kipi afanye ili kuanzisha biashara yaani anaweza kuwaza Leo kua afungue duka la kuuza nguo harafu...
  7. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Jinsi Corona inavyoweza kuwa Fursa kwa jamii

    Hapa nitatolea mfano ambao upo unaishi jinsi mjasiriamali anavyo weza badili Tatizo kua Fursa. Dunia nzima bila shaka umekubwa/Ishawahi kukubwa na janga hili la CORONA Tangu mwaka 2019 ikiwa ni covid 19. Kwa wajasiriamali Kuna slogan ambayo hupenda kuitumia kwamba Badili Tatizo kua Fursa...
  8. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini ni muhimu sana kuajiriwa au kujitolea kwanza kabla ya kuanzisha Biashara yako

    Tatizo la ajira linazidi kuwa janga kubwa sana afrika na dunia na soko la ajira zitazidi kuwa baya zaidi miaka kadhaa baadaye baada ya dunia kuendelea kuamini juu teknolojia ya roboti kuliko binadamu katika kufanya kazi kwa weledi , kulalamika tu kwamba tumesoma na hakuna ajira huku tukiendelea...
  9. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Njia 3 Rahisi Za Kuongeza Wateja Wapya Katika Biashara Yako

    Ikiwa wewe ni mjasiriamali mchanga au mwenye uzoefu wa kuhudumia wateja hadi 10,000 — kamwe huwezi kuchoka kutafuta wateja wapya. Kwa wafanyabiashara wengi, mchakato wa kutafuta wateja wapya unaweza kuonekana kuwa mgumu na usiotabirika. Kama una ndoto za kukuza faida katika biashara yako...
  10. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuendesha vikundi vya ujasiriamali na biashara

    Maana ya neno kikudi, Kikundi ni mkusanyiko wa watu kadhaa wenye rika tofauti au linalofanana, jinsia moja au tofauti ambao walioamua kufanya shughuli za kujiingizia kipato kwa mujibu wa sheria, pamoja na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo yao .Leo nitaomba tujadili kuhusu vikundi...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Biashara zinazolipa sana mitandaoni

    Zifahamu Biashara Zinazolipa Zaidi Mtandaoni. Biashara hizi pia zinakuja na changamoto zake hivyo ni vizuri kuchagua unayoiweza Linapokuja swala la biashara mtandaoni ni wazi kuwa kila mtu ana upeo wake pamoja na uzoefu unaomsaidia kupata pesa mtandaoni, lakini pia kufanya biashara mtandaoni...
  12. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Biashara ya Hosting

    Kama Kichwa Cha habari Kinavyojieleza. Nina Biashara ya Hosting ambayo bado ni Changa, Nimeifanya Kwa Miaka miwili na Tayari. Ina wateja ambao wako Active 10, Na Wanalipia Kila mwaka (Wanalipia kuanzia 120,000 - 160,000/yr). Kutokana Na Kupata Kazi ambayo itanibana na Kushindwa kutoa support...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 5, ninaomba mwongozo biashara ya nafaka

    Habari za mchana. Naomba msaada wa mwongozo kuhusu biashara ya nafaka. Nipo Mwanza. Mtaji wangu milioni tano. Naomba kupata dondoo zote ikiwemo changamoto na wapi nitachukua mzigo kuja kuuza
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya maonyesho ya biashara sabasaba vya Mwalimu Nyerere, visiwekewe sanamu la Magufuli, ni kuchanganya Magufuli na Nyerere

    Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu Magufuli. Magufuli atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage. Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na Magufuli , sanamu hili kuwekwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tusubiri lori liparamie wanaofanya biashara barabarani ndio tuchukue hatua?

    Naandika kwa tahadhari tu. Toka mwaka 2016 kasi ya watu kujenga vibanda, mabanda na kujazana kandokando ya barabara kufanya biashara na shughuli mbalimbali imekua ikiongezeka kila kukicha na kwa kasi kubwa sana.Vijana wanaitana tu toka vijijini kuja mjini kuanzisha misheni town kwa kuuza...
  16. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Msingi wa Biashara ya HUDUMA (sio lazima uuze bidhaa, Unaweza fanya biashara ya huduma)

    Kwa Tanzania ukiwa na Biashara ya huduma unaonekana kuwa Huna Biashara. Mpaka Uwe na Bidhaa za Kushika mkononi kama nguo,Kalamu,majembe,nk..Hapo Ndo unaonekana kuwa MFANYABIASHARA. Hiki kitu Siyo Sahihi hata Kidogo. Kwa sababu huduma ni sehemu ya biashara pia. Na Nchi Tajiri zaidi kama...
  17. Ibrahim K. Chiki

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na suala la kufungwa biashara saa sita usiku

    Nitasema kwelii. Hii nimeona niilete hapa jamvini guys, binafsi sikubaliani na serikali na watendaji wake hasa hasa kwenye suala la jiji la DSM eti biashara ya bar mwisho saa sita usiku. Hii si sawa. binafsi nimekaa Uganda maeneo ya Kabalagala, aiseee wale jamaa baana pamoja na mavita vita...
  18. Avatar

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kufanya biashara ya usafirishaji pesa?

    Baada Gharama mpya za kutuma na kutoa pesa zikianza kutumika, mtu akaanzisha biashara ya kusafirisha pesa kwa boda, let say kuipeleka 1m toka kinyerezi mpaka Kariakoo ni 10k. Hivi linaweza kuwa kosa kisheria? 😀
  19. Immortal Consulting Co

    JamiiForums Tanzania Zijue dalili saba za biashara inayoenda kufa

    Katika ulimwengu wa biashara, ni kazi ngumu kuifanya biashara idumu na kukua kuliko kuianzisha hata kama ulianzisha kwa mabilioni ya pesa. Biashara nyingi huanzishwa kila siku na biashara nyingi zinakufa kila siku kwa sababu mbalimbali ambazo tutazijali siku nyingine. Katika makala ya leo...
  20. Professor X

    JamiiForums Tanzania Natafuta muwekezaji kwenye Biashara ya Photography, Video Production na Graphics Design

    Mimi ni kijana wa kitanzania Lengo La Kuja hapa ni kuomba msaada wa uwekezaji katika biashara ya VIDEO PRODUCTIN, PHOTOSHOOT and GRAPHICS DESIGN ili aweze kusaidia upatikanaji wa vifaa vitakavyo wezesha kufanya kazi vyenye thamani ya shilingi 6M (Million Sita). Mtaji wangu utakuwa ni Uaminifu...
Back
Top Bottom