Fursa ya kuchangia fremu ya biashara

Maulid jnr

Member
Mar 25, 2021
66
60
Habari wana JF, naomba kuwatangazia fursa ya kuchangia frem ya biashara (sub renting). Frem iko Temeke karibu na hospital ya rufaa ya temeke.

Nahitaji mtu ambae yuko serious aje tuchangie hii frem maana ni kubwa sana kwa biashara ninayo ifanya mimi hapa(wakala wa m- pesa,tigopesa etc) hivyo kama kuna mtu yuko tayari kuja ku kuweka biashara yake ili tuchangie kodi pamoja naomba anicheki kwenye namba hii 0783150130

NB; baadhi ya biashara zinazofanya vizuri mtaa huu ni pharmacy, maduka ya spare za magari na mapambo ya magari etc
 
Fremu ina ukubwa wa kutosha au ni vile vidonchi donchi sana
 
Habari wana JF, naomba kuwatangazia fursa ya kuchangia frem ya biashara (sub renting). Frem iko Temeke karibu na hospital ya rufaa ya temeke.

Nahitaji mtu ambae yuko serious aje tuchangie hii frem maana ni kubwa sana kwa biashara ninayo ifanya mimi hapa(wakala wa m- pesa,tigopesa etc) hivyo kama kuna mtu yuko tayari kuja ku kuweka biashara yake ili tuchangie kodi pamoja naomba anicheki kwenye namba hii 0783150130

NB; baadhi ya biashara zinazofanya vizuri mtaa huu ni pharmacy, maduka ya spare za magari na mapambo ya magari etc
Weka picha tuone
 
KAMA UKO TAYARI NIFANYE TAKE AWAY SHOP NI PM
 
Kwa kuwa ipo karibu na hospitality ya rufaa,advantage yake ipo kwenye duka la dawa,Kwenye nazo awahi mapema hapo.
 
  • Thanks
Reactions: B51
Back
Top Bottom