Bro Dm tuchange mawazo.Nipo hapa TarimeMimi sasa naingia kidato cha sita but ninandoto za kuanzisha BIASHARA sasa nauliza nianzishe BIASHARA gani yenye mtaji mdogo nikimaliza shule kulingana na maeneo ninayotoka ninatokea Rorya Mara.
Huo ni mraji mkubwa sana kwa hizo biashara nilizokutajia inakutosha kabisa.Ko ata Kama na mtaji ka laki mbili na nusu hivi