biashara

  1. Allen loy

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuanza biashara na mtaji mdogo

    Watu wengi wamekuwa wakitamani kuanza biashara lakini wanafikiri namna ya kuanza kwani mtaji wao ni mdogo sana. Usiogope; kuwa na mtaji mdogo au kutokuwa nao kabisa sio mwisho wako wa kutimiza malengo yako. “Usilie juu ya kile ambacho huna; tumia vizuri kile ulichonacho.” Zipo mbinu mbalimbali...
  2. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Shairi: Amkeni Mwokoe Nyakati

    1. Nawaandikia ninyi vijana, kwa maana mna nguvu, Yalinenwa na Nabii Yohana, akijua mtafuzu, Lakini kumbe hamjafana, fursa mwachezea ka’ fuvu, Tena ujana mwautafuna, paso kuwekeza nguvu, Amkeni mwokoe nyakati, kwani zakimibia ka’ mshale. 2. Eti mshikaji sina ishu, nimeamua kula gudi...
  3. Dizasta Vina

    JamiiForums Tanzania SoC01 Biashara ya kuuza Matumaini

    HITAJI LA MATUMAINI LINAMEA Mwaka 2010 aliyekuwa Askofu mstaafu wa kanisa la kilutheri Tanzania (ELCT), marehemu Ambilikile Mwasapile alitangaza kuwepo kwa dawa inayotibu magonjwa yote ikiwamo magonjwa sugu kama Ukimwi, Kisukari, Kansa na Kifua kikuu dawa ambayo kwa mujibu wa maelezo yake...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

    Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo...
  5. winnerian

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo na vifaa vya watoto mwaka 0 hadi 12

    Ninahitaji kuanzisha biashara ya hii katika mkoa flani ila sina uzoefu hivyo ukinipa uzoefu wako utakuwa umeniboost sana pa kuanzia
  6. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asanteni Wazanzibari kwa kuleta biashara Lamu port

    Undugu ni kufaana. Asanteni ndugu zetu Wazanzibari kwa kuleta biashara nzuri Lamu port. Wiki iliyopita Lamu port ilipokea containers 364 kutoka Ulaya zilizokuwa zinaelekea Zanzibar. Hii inaitwa transhipment business. Tunashukuru sana kwa biashara nzuri kati yetu. Sisi nasi tutaendelea kununua...
  7. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakulima wa chai huko India wanalia kwamba chai kutoka Kenya ina bei ndogo kwa hivyo inawafanya kukosa biashara

    Hehehe. Nyang'au sisi hatutambui chochote linapokuja swala la biashara. Tunafinya mpaka Wahindi wa huko India. Wakulima wao wanalia kwamba chai kutoka Kenya inauzwa bei ya chini na kuwaharibia biashara. Wanataka serikali yao iingilie kati. Hehehe waendelee kulia tu, sisi tutaendelea kuwafinya...
  8. Prof Sankara

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana wauza matunda wamekwamia wapi kuboresha biashara?

    Na Prof Sankara Kitu gani unazingatia unapo nunua matunda?, ukubwa, rangi, utamu urahisi wa bei au mazingira yanapouzwa?. Kwa asili kila biandamu hupenda huduma bora, hata hivyo kulingana na mazingira inawezekana mtu akalazimika kutumia huduma fulani iliyopo katika eneo lake kutokana na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania CCM wazipongeza na kuzitakia heri KMKM, Mafunzo, Azam, Biashara & Yanga kwenye mashindano yao ya Shirikisho & Club Bingwa Afrika

    Kazi iendelee | Soka liendelee, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka kwa niaba ya CCM na kwaniaba ya Mkt wa CCM Taifa ambae pia Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan. Wamezitakia heri na baraka timu nne zitakazopeperusha bendera ya Tanzania kwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Supermarket maarufu "Game" iliyopo Mlimani City inatarajia kufunga biashara zake

    Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini. Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya CEO Senzo kumaliza Biashara Kesho Rivers United FC anafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na Wanunuaji FC

    Mnaobeti Kazi ni Kwenu tu kwani Senzo Mbatha Mazingisa kwa Maagizo ya Wadhamini Wakuu wa Klabu MSG wameshamalizana Kimjini Mjini na Rivers United FC na Kesho wanafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na hatimaye Wanunuaji FC kutoka Jangwani na Twiga wanasonga mbele. Shilingi Bilioni 2 za Tanzania...
  12. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Makundi ya watu ambao wakifungua biashara lazima zife, fahamu kundi lako na Ubadilike

    1. Kapata Pesa za Ghafla Hapa kuna wale wenzangu wa michezo ya bahati na sibu au kuna mirathi,kuuza kitu flani nk nk,hawa watu mara nyingi biashara huiwaza angali ameshika pesa,alikua hana hata mpango wa biashara ila kwakua kapata pesa na watu waliomzunguka wengi marafki majiran n...
  13. Magari ya kukodisha

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya kupika kitimoto

    Wakuu habari za miaka Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema Kwa mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza kitimoto roast au ya kuchoma na makange ya kitimoto naomba anijuze anipe ushaur na changamoto za kuchukua. Ikikupendeza niambie kila unachofahamu kuhusu biashara hii...
  14. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Unataka kusafiri nje kikazi au kufanya biashara? Zingatia yafuatayo;

    Maisha ya ajira nchini yamekuwa magumu lakini tambua Dunia ni kijiji. Ukiwaza kufanya kazi popote Duniani Ni tofauti na mtu anayewaza kufanya kazi popote Tanzania. Wapo watu wamehitimu shahada ya kwanza lakini awajui wanawezaje kuvuka vipi mpaka. Wapo wenye masters lakini ukiwauliza kuhusu...
  15. Pozzers

    JamiiForums Tanzania DC Alberto Msando akopa milioni106 benki ili kuwajengea wamachinga sehemu ya kufanyia biashara

    DC wa Morogoro Albert Msando amesema anakatwa Tsh.Milioni 2.8 kila mwezi kutoka kwenye mshahara wake wa Tsh. Milioni 3.1 kama rejesho baada ya kukopa Benki kiasi cha Tsh. Milion 106 ili kujenga vibanda zaidi ya 700 kwa ajili ya Wamachinga kufanyia biashara. Kinachonisikitisha Mbunge na baadhi...
  16. C

    JamiiForums Tanzania FURSA: Kwa Wajasiliamali Mikoani

    Biashara ni kutatua changamoto za watu. Watu waliopo nje ya Dar es Salaam hupata shida kufuata bidhaa Kariakoo Dsm. Imagine mtu anafunga safari toka Songea au Kigoma, Mwanza, etc. mpaka Dar es Salaam kufuata bidhaa ambazo zinaweza kusafirishwa mpaka mtu (mfanyabiashara) alipo bila kutumia...
  17. tovuti website

    JamiiForums Tanzania Kama Unapenda Tech, njoo uwekeze kwenye biashara hii

    Habari za asubuhi waungwana; Kama tunavyofahamu changamoto ya ajira ni dhahiri kwamba ipo na kwamba hali ya uchumi bado ni tete na fursa zinaendelewa kuwa adimu.Hata hivyo tusife moyo kwani maisha lazima yaendelee. Baada ya kuangalia na kufikiri kwa muda nimeona niwashirikishe fursa ambayo...
  18. Komando kipen

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza Biashara ya dagaa wa Mwanza, Dar es Salaam

    Nataka kufanya biashara ya dagaa wa Mwanza kupereka Dar nilikua naulizia Kama kunamwenye uzoefu wa soko la dagaa Dar sasa hivi wana bei gani !!!
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Biashara stahili kwa Serikali ni kujenga nyumba bora za bei nafuu za kulipia kwa mwezi mmoja mmoja

    Serikali imekuwa ikijinasibu kufanya biashara mbalimbali kwa lengo la kujenga uchumi, kusaidia raia wake, uzalendo n.k. Tumeshuhudia serikali ikejenga hotel za kitalii, ikimiliki mashamba, viwanda vya dawa, ikinunua korosho,na ikiendelea kwa kasi kununu ndege kuendelea na biashara ya usafiri wa...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Fursa za ajira na biashara makaburini

    Kuna fursa nyingi makaburini nawapa wale wavivu wa kufikiri ziko za kuanzia kuchimba na kujenga makaburini, kuuza Sanda na majeneza, kukodisha mahema na viti na kuviweka makaburini, kukodisha spika na microphone, kuuza maji ya kunywa kwa waombolezaji, mashada ya maua, chakula, usafiri nk...
Back
Top Bottom