Serikali iingilie kati biashara na matumizi ya Vipipi utamu

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,557
45,827
Last month nilienda Zanzibar business trip na wenzangu .tukiwa kule pamoja na mambo mengi tulikuwa tunaangalia fursa mbalimbali.

Katika mambo mengi tuliofanya mle nikaamua kumulika hii biashara ya vipipi utamu nilikuwa navisikia Sana huku bara.

Nikakutana na mpemba mmoja akaniambia bna vipipi utamu Ni biashara nzuri Sana inalipa Sana mikoa ya Dar, Tanga, Dodoma, Mwanza na Mara.

Ehee nikamuuliza inakuaje. Kipakti cha pipi utamu kama hiki.

IMG_20210702_123209_0.jpg

Unanua tu elfu tatu ziko pipi kibaoo hata elfu moja. Ukija bara unapaki pipi tano hadi elfu 20 unauza
Eti zinamsaidia mwanamke kuongeza hamu ya tendo la ndoa. Basi Mimi nikanunua ila sipendi kufanya biashara inayohusu afya ya mtu. Nilivofika bara nikagawa kwa marafiki zangu kadhaa ili nijue vinafanyeje kazi ?? Maana Mimi sina mtu japo nilitumia sikujisikia kitu nikadhani labda nishakuwa hanisi

Basi wale wanawake majibu walonipa kwa muda tofauti yanafanana wanadai hawakujisikia kitu sema walivolala na waume zao wanaume walikaa Sana na waliumia Sana cha Moto walikiona na mmoja mume alipata hadi pressure kidogo afe

Bado Niko kwenye utafiti na vipipi ninavo. Naomba serikali iangalie wanaume watakufa Sana tusipokuwa makini maana vinauzwa Sana Sana nchini wanawake wengi hasa wanaujiuza wanatumia sana
Na hyo sukari hapo wataalamu watuambie Ni ya Nini??
 
Last month nilienda Zanzibar business trip na wenzangu .tukiwa kule pamoja na mambo mengi tulikuwa tunaangalia fursa mbalimbali
Katika mambo mengi tuliofanya mle nikaamua kumulika hii biashara ya vipipi utamu nilikuwa navisikia Sana huku bara
Kazi yake nini..?
 
Nikakutana na mpemba mmoja akaniambia bna vipipi utamu Ni biashara nzuri Sana inalipa Sana mikoa ya
Kwamba upo single?
 
Si bure unahitaji mwanaume.
Last month nilienda Zanzibar business trip na wenzangu .tukiwa kule pamoja na mambo mengi tulikuwa tunaangalia fursa mbalimbali
Katika mambo mengi tuliofanya mle nikaamua kumulika hii biashara ya vipipi utamu nilikuwa navisikia Sana huku bara

Naomba serikali iangalie wanaume watakufa Sana tusipokuwa making
Na hyo sukari hapo wataalamu watuambie Ni ya Nini??
View attachment 1837729
 
Unaweza kuta vina madawa ya kulevya humo, halafu wanauhakika gani havifiki mikononi mwa watoto wa shule?
 
Back
Top Bottom