biashara

  1. Replica

    Spika Ndugai: Vijana wa Tanzania hawaaminiki, wakiachiwa biashara bila kuiba wanajiona wajinga

    Wakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai amesema mtu anaeanzisha mradi atajikuta tu amefilisika asipokuwa makini. '' Mtu akianzisha labda...
  2. KIMOMWEMOTORS

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  3. music mimi

    Ufadhili wa wazo la biashara

    Wakuu naomba mwenye information ya wapi naweza kupata ufadhili wa wazo la biashara. Bado lipo kama wazo sijaanzisha chochote. Ni app ya kujifunza wakulima nimeshakusanya materials zote nilipokwama ni kugharamia technology yake maana watu wa IT wamenipigia gharama inafika million 8 mpaka 10...
  4. music mimi

    Kupata ufadhili wa wazo la biashara

    Wakuu naomba mwenye information ya wapi naweza kupata ufadhili wa wazo la biashara. Bado lipo kama wazo sijaanzisha chochote. Ni app ya kujifunza wakulima nimeshakusanya materials zote nilipokwama ni kugharamia technology yake maana watu wa IT wamenipigia gharama inafika million 8 mpaka 10...
  5. CONTROLA

    Fanya biashara ndani ya biashara yako, uokoe pesa unazopoteza na ujiongezee faida

    Kwenye biashara kuna mambo mengi sana ambayo kabla hujafikiria kuanzisha biashara unatakiwa kuyafikiria ili isije tokea sababu yyte (ya kibinadamu) ikakuangusha chini ukafunga biashara yako. Watu wengi sana kabla ya kuanzisha biashara zetu tunajiuliza "tutapata wapi bidhaa tunazotaka kuziuza"...
  6. Morg

    Natamani sana kufanya biashara ya pafyume

    Wakuu kwà mda mrefu nimekuwa kwenye shauku ya kufanya biashara ya kuuza pafyume zile za bei kubwa kubwa kuanzia 10. na kuendelea zenye standard mzuri na kuimport mzigo from Dubai to Zanzibar then Tanzania. Lakini ningependa kupata apdate moja mbili kutoka kwà wadau wa humu jf na jua wanauzoefu...
  7. Kurzweil

    Jifunze fursa 6 za biashara mtandaoni

    Hivi sasa teknolojia imekua ndio kila kitu hakuna mahali unapitia pasipo kutumia teknolojia, hiyo inadhirisha kuwa uwezekano wa kufanya biashara mtandaoni ni mkubwa sana cha msingi ni kujua ni vitu gani vya kufanya ili kuweza kuongeza kipato chako. Kwa kuanza basi ni vyema nikwambie kabisa kuwa...
  8. Star onair

    INAUZWA Mahindi yanauzwa, karibuni

    Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia) Debe la mahindi utapata KWA 8500 Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa. Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k. Ila ofa hii ipo KWA kipindi hiki cha Ramadhani baada ya hapo haitokuwepo tena wahi sasa KWA 8500 tu. Karibuni
  9. stakehigh

    Ni Emirates tu iliyokuwa profitable toka 2018 kwenye biashara za ndege

    Nikiwa nafuatilia mwenendo wa biashara ya ndege toka jana ni wazi kwamba mashirika mengi yanaendeshwa kwa hasara isipokua emirates peke yake mwaka huu. - Mwenendo wa emirates nkiangalia report yao ya mapato ni in decline graph. Nikirudi maneno ya CAG kwamba tuanze na ndege moja, nadhan...
  10. P

    Nahitaji ushauri wa biashara ya Pharmacy

    Habari za muda huu wakubwa. Mimi ni kijana wa kiume ambae nimebahatika kupata sehemu yangu ya urithi toka kwa wazee wangu ambapo nimepata milioni 30. Nilikua naomba wazoefu, watu mnaoifanya hii biashara tusaidiane kwenye mambo kadhaa juu ya hii biashara kama eneo, mbinu za kuongeza mauzo, nk...
  11. eddiewamapacha

    Msaada waungwana hii site ya trucklocator ya nchini Ungereza kama ni site halali kwa biashara husika

    Habari ndugu zanguni? Kwa mwenye uelewa kuhusiana hii site ya trucklocator ya nchini Uingereza. Hofu yangu isije ikawa ni ma conmen nikapigwa pesa hapa maana uchumi wenyewe ni mgum huu. Natanguliza shukrani.
  12. xavieen

    Kipindi unaanzisha biashara hali ilikuwaje?

    Wakuu habari, Katika vitu vigumu katika biashara ni kufanya biashara uizoee na ikuzoee, pia ukiona biashara yako imesimama vizuri sana nina imani ni baada ya kipindi kirefu kupita Katika biashara wengi huwa tunawahi kukata tamaa kwa kuwa tunaingia tukiwa na matarajio makubwa. Walio wengi...
  13. Bongo Trust

    Biashara ya maji Dodoma

    Jamani mimi ni mkazi mpya wa jiji la Dodoma, nilipata wazo la kufungua biashara ya kuuza maji ya bomba, (yaani nitengeneze system ya kuyakusanya kisha niwauzie watu watakaokuwa wanakuja kuchota eneo husika) Naomba wenyeji na wazoefu wa issues hio mniambie mchanganuo wake unakaaje/at least niwe...
  14. Sweet mangi

    Msaada nahitaji kupata usajili wa biashara yangu

    Habari za jioni Wana JF ,Mimi ni kijana mjasiriamali ,nina jishughulisha na biashara ya kutengeneza na kuuza Milk products kama Yogurt na Cultured milk(mtindi) ila changamoto ninayopata ni baadhi ya wateja kutoamini ubora na usalama wa bidhaa hizi ,hii imesababisha niache kutengeneza kwa muda...
  15. A

    Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

    Milioni 2 naweza fanya biashara gani ambayo utanisaidia kupata pesa ya kula kila siku na akiba angalua 10000 kuweka? Mimi ni single mama ninaehitaji kujishughulisha ili niishi vizuri na mwanangu. ====== Michango wa mdau
  16. Kichochoro

    Biashara ipi naweza kufanya kwa mtaji Tsh 800,000/=?

    Habari wanajamvi naomba ushauri, nina pesa kidogo kiasi cha laki nane naomba ushauri kwa wazoefu na biashara. Ni biashara gani ninaweza kufanya na ikaniletea faida ijapo pesa ya kula. Naombeni ushauri kwa wazoefu wa biashara nawasilisha[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Zaidi...
  17. Mukulu wa Bakulu

    Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

    Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea. Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa...
  18. Jidu La Mabambasi

    Mama Samia, piga chini wale wote walioshiriki kuhujumu uchumi, uwekezaji na biashara!

    Msimamo wa Rais Samia Suluhu sasa unaanza kueleweka vizuri. Yale tuliykuwa tukilalamika mitandaoni kutwa kuchwa ameanza kuyashghulikia bila kupepesa macho wala kupoteza muda. Tlilia kuwa kuna juhudi za makhsusu za kwafilisi wazalendo walipa kodi, laki wengine walikejeli na hata Waziri Mwigulu...
  19. Kibosho1

    Biashara ya movies za nje ni 🔥 sana Kkoo, ni nini kiliua soko la filamu za Tanzania?

    Leo nimepita mtaa wa Likoma maeneo ya Kariakoo kuna biashara kubwa sana ya movies za nje. Zinagombewa na zinauzika sana,nakumbuka kuna wakati Tanzania tulikua juu sana kwenye mambo ya kuigiza,yalikuja malalamiko mengi kuwa wasanii wanaibiwa kazi zao huku wafanyabishara wakidaiwa kufaidika...
  20. Mung Chris

    Je, unahitaji kufanya biashara ya kukopesha au umeshaanza ila una changamoto? Njoo nikushauri la kufanya

    Kuna watu wanafikiria kuanzisha biashara ya mikopo, wengine wameanza tayari ila wamekutana na changamoto nyingi sana na wengine ila wengine wana maswali mengi hukusu biashara hii Njoo nikushauri namna ya kuanzisha biashara hii na nitakushauri pia wewe ambaye umekutana na changamoto
Back
Top Bottom