Biashara Zimestuck na Hali ya uchumi si nzuri...

Biashara Zimestuck na Hali ya uchumi si nzuri...

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
3,505
Reaction score
6,440
Hali ya biashara sio nzuri kabisa...nimeona vitu hivi nikajifikiria sana

1.watu wengi sana wanafungua biashara
then soon wanafunga,biashara nyingi zinaigwa

2. biashara ya daladala zimedoda sana mida ya saa tatu hadi saa tisa

3.ugonjwa umechangia sana...watu hawatoki hovyo, nahisi kama una mkopo bank uchangamke

4 hali hii ikiendela kwa atleast mwaka lazma serikali ipanic na wananchi wa hali ya chini nao wapanic

5 Nahofia sana usalama wa baadhi ya watu na mali zao, na machafuko in the future...hii inaweza hata leta vita
 
Siku hizi Magufuli hayupo tena wa kumsingizia kabana

Pambana
 
sasa hivi tunapita kipindi kigumu sana...ila angalau sio makusudi
 
mkuu kwenye sekta pia ya ada ni tatizo bro..
tuna shida ya namna ya kuchagua washauri wa raisi kiuchumi
 
Hali sio nzuri mkuu muda sio mrefu watu wataanza kula watu hasa watoto
Hatutawala watoto wetu. CCM ndio imesababisha ugumu huu wa maisha. Tutawala wao.
Utitiri wa Kodi na tozo kwenye mafuta yatokanayo na petroli.
Makato makubwa kwenye huduma za kifedha kwa simu za rununu.
Kupanda kwa Bei ya mafuta ya kula kila kukicha.
 
Niliwahi kusema, style ya uchumi aliyoendesha Mwendazake itachukuwa miongo kwa warithi wake kurekebisha.

Pole Mama Samia, jumba bovu litakuangukia. Ilipasa marehemu awepo aone bomu alipokuwa akiunda likimlipukia
 
Hali ya biashara sio nzuri kabisa...nimeona vitu hivi nikajifikiria sana

1.watu wengi sana wanafungua biashara
then soon wanafunga,biashara nyingi zinaigwa

2. biashara ya daladala zimedoda sana mida ya saa tatu hadi saa tisa

3.ugonjwa umechangia sana...watu hawatoki hovyo, nahisi kama una mkopo bank uchangamke

4 hali hii ikiendela kwa atleast mwaka lazma serikali ipanic na wananchi wa hali ya chini nao wapanic

5 Nahofia sana usalama wa baadhi ya watu na mali zao, na machafuko in the future...hii inaweza hata leta vita
Tumezaana sana. Binadamu tumekuwa wengi kwenye uso wa Dunia kiasi kwamba watu wengi pia hawana shughuli za kufanya. Huyu hapa anauza nyanya na yule naye anauza nyanya. So hakuna wa kumuuzia mwenzake. Rasilimali kidogo tulizo nazo zimekuwa za kunyang'anyana sana.
Wazungu wengi kwa wastani wanazaa watoto wawili (sio wajinga). Wachina hivi sasa wamepewa uhuru wa kuzaa hadi watoto watatu kwa familia lakini wamegoma kuchangamkia fursa. Sie waafrika ndio bado tumebaki kwenye giza la kuzaa watoto wengi mwishowe wanaishia kuwa majambazi tu.
Ili kuzuia hali isiwe mbaya zaidi huko usoni, population control ni muhimu sana kwa bara la Afrika. Embu ona Waethiopia wanavyo tanga tanga Duniani... Embu ona Wanaijeria Walivyoenea kwenye kila kona ya Dunia kwa ukosefu wa fursa kwenye nchi zao, tukifika huko, hapa kwetu hali itakuwa mbaya zaidi...
Na ili tusifike huko nchi yetu, hasa Rwanda na Burundi kuna haja ya kutambulisha birth cap (ceiling). Itafika mahali kila mwanamke asiruhusiwe kuzaa watoto zaidi ya watatu ili kunusuru vizazi vijavyo na possible consequences za over population.
 
Tumezaana sana. Binadamu tumekuwa wengi kiasi kwamba watu wengi pia hawana shughuli za kufanya. Huyu hapa anauza nyanya na yule naye anauza nyanya. So hakuna wa kumuuzia mwenzake. Wazungu wengi kwa wastani wanazaa watoto wawili (sio wajinga). Wachina hivi sasa wamepewa uhuru wa kuzaa hadi watoto watatu kwa familia lakini wamegoma kuchangamkia fursa. Sie waafrika ndio bado tumebaki kwenye giza la kuzaa watoto wengi mwishowe wanaishia kuwa majambazi tu.
Ili kuzuia hali isiwe mbaya zaidi huko usoni, population control ni muhimu sana kwa bara la Afrika. Embu ona Waethiopia wanavyo tanga tanga Duniani... Embu ona Wanaijeria Walivyoenea kwenye kila kona ya Dunia kwa ukosefu wa fursa kwenye nchi zao, tukifika huko, hapa kwetu hali itakuwa mbaya zaidi...
kuna ukweli ila mkuu mbona ardhi ipo kubwa sana
 
Niliwahi kusema, style ya uchumi aliyoendesha Mwendazake itachukuwa miongo kwa warithi wake kurekebisha.

Pole Mama Samia, jumba bovu litakuangukia. Ilipasa marehemu awepo aone bomu alipokuwa akiunda likimlipukia
Umeongea ushuzi tupu......
 
kuna ukweli ila mkuu mbona ardhi ipo kubwa sana
Wakati Kikwete anaingia madarakani mwaka 2005, nchi ilikuwa na watu takrabin milioni 38. Leo hii hata JK hajaanza kutembelea mkongojo tupo takrabini milioni 60. Spidi ikiendelea hivi Samia ataondoka madarakani nchi ikiwa na watu milioni 80. Embu pata picha ya hiyo nyomi!
 
Enendeni Duniani mkaujaze ulimwengu.

Sasa unataka kupingana na Mungu, all in all tuwe wengi tuwe wachache kufa tutakufa na tutaicha dunia hii.
Don't stress yourself in things you can't control
 
Back
Top Bottom