beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021

Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema pamoja na nyanja ya Afya, Marekani itaendeleza ushirikiano katika kuimarisha Biashara, Uwekezaji na Ulinzi

1628083788702.png



1628083594709.png
 
Naona hii nchi Sasa inakabiziwa KWA Wamarekani,Nafikiri wamepata koloni lao Rasmi,Ombi letu kwenu ni bebeni hili Colon bora mtawale nyinyi kuliko kuendelea kuwa ccm.
 
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na Bi Victoria Nuland Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia siasa

Mazungumzo ya Viongozi hao yamefanyika leo Ikulu ya Magogoni Jijini Dar es salaam



FB_IMG_16280925966093806.jpg


FB_IMG_16280925926069412.jpg
 
Ahsante sana Rais Samia kwa kuendeleza na kukuza mahusiano baina ya Tanzania na Marekani.
God bless Relationship btn USA and Tanzania.
USA is our best friend a true friend.
 
Naona hii nchi Sasa inakabiziwa KWA Wamarekani,Nafikiri wamepata koloni lao Rasmi,Ombi letu kwenu ni bebeni hili Colon bora mtawale nyinyi kuliko kuendelea kuwa ccm.
LOOooo!

Inawezekana ikawa bora!

Huko siku za nyuma ningekubishia sana na kauli yako hii, wakati huu siwezi kamwe kuikataa moja kwa moja.

Hali imefikia kuwa mbaya kiasi hicho.
 
Huyu bibi kwa kupenda kuzurura hajambo!

Leo yuko dar, kesho utashtukia yuko malawi!

Ni mwendo wa kupiga misele na kupokea mabeberu!
 
Bila shaka kuwekwa kizuizini kwa Mwenyekiti Mbowe ilikuwa moja ya ajenda!
 
Mnhh.... Dar tena .......kesho Dom..!?!?!?!?!??!!!!!!
 
Mimi sjawahi kuwaelewa hao mabeberu wa Amerka, Kwa hiyo sasa hawana muda na uonevu uliokuwa ukisemwasemwa kipindi kile wa Chadema
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom