biashara

  1. L

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China ni fursa inayokua kwa biashara duniani

    Ijumaa hii Shangahi inafungua milango yake tena kwa Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China, ( CIIE). Ikiwa sasa ni mwaka wake wa nne, maenesho hayo yamekuwa jukwaa muhimu la kwa bidhaa za dunia kupata soko nchini China na pia wafanyabiashara kukutana na kubadilishana. Kama mwaka uliopita...
  2. Fursakibao

    JamiiForums Tanzania Ijue Comoro: Fursa za Biashara na Changamoto Zake

    Habari GT, Nianze kwa kusema kuwa mimi sio muandishi mzuri ila nitajitahidi kuweka vitu katika mpangilio kwa kiasi chake. Kabla ya kuangalia baadhi ya fursa za biashara zilizoko Comores na changamoto zake, hebu tuangazie kidogob jamii ya watu wa huku katika nyanja za siasa, uchumi na jamii kwa...
  3. Rais wa Matajiri

    JamiiForums Tanzania Benki za Biashara Tanzania zinaogelea kwenye faida. Je, nini kimefanyika awamu ya sita?

    Wachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana gani kwa Uchumi wa nchi yetu?Je! ni Vyuma kulegea? Mtakumbuka kwa mara ya mwisho hapa Tanzania mabenki yetu ya biashara kurekodi faida ya...
  4. Optimists

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Biashara ya mchele ni ngumu mno!

    Kijana wenu baada ya kumaliza chuo nikaona nijimix kwenye harakati za maisha nipo Dar es Salaaam japo Nina mda mfupi sana hapa. Nimezunguka masoko yote hapa dsm kuanzia mabibo mpaka mbagala nilikuja na idea nyingine kwa sababu mtaji sikua nao mkubwa nikashindwa kwa sababu ilihitajika sehemu ya...
  5. I wish i have

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini inavyofungua fursa za biashara, uchumi

    Na Tito Mselem Tanzania ni miongoni mwa mataifa Duniani yaliyobarikiwa zaidi kwa rasilimali za asili. Miongoni mwa rasilimali hizo ni pamoja na madini ambayo yamekuwa na mchango mkubwa katika kukuza vipato vya Watanzania na uchumi wa Taifa kwa ujumla. Shughuli za uchimbaji wa madini nchini...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Wana JF Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato, kambale, kambamiti (prawns), vibua, changu, kaa n.k. Samaki ni chanzo cha lishe, kipato na ajira...
  7. Masokotz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Website Inauzwa-Miliki Biashara yako

    Habari za wakati huu; Website Inauzwa.Ni website ya biashara ya affiliate/reseller Program.Ukinunua website utapata faida zifuatazo; Utapata Domain name Utaweza kuingiza kipato kwa kuuza bidhaa mbalimbali kama zilivyo katika website Utapata mafunzo ya jinsi ya kusimamia na kuendesha biashara...
  8. FirstClass

    JamiiForums Tanzania Karibu ufanye biashara nasi kwa '2 Way Messages'

    Ni mfumo wa kitechnologia unaomwezesha mtoa huduma/Mfanyabiashara / Company kuwa karibu zaidi na mteja kwa njia ya messages. Tofauti na mifumo mingine, 2WM inaoption ya Chatting baina ya company na mteja Yani mteja anauwezo wa kuuliza Mahalia ambapo hajaelewa ama kutoa maoni yake dhidi ya bidhaa...
  9. Huihui2

    JamiiForums Tanzania RC Mongella, Hongera kwa Kuwajengea Machinga Eneo la Biashara

    Machinga wa Arusha wanajengewa sehemu ya biashara baada ya kuondolewa maeneo yasiyo rasmi. Hata kama hatumpendi Rais Samia kwa hili tumpongeze sana tu. Uongozi siyo maguvu, kelele na matusi bali mipango tu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar

    Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam. ===== CCM yapiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia mjini CHAMA Cha...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania haiishi changamoto, NBAA sasa wameamua kuuza mitihani ya CPA

    Jana nilikuwa naongea na bwana mdogo anafanya mitihani ya wahasibu ya CPA mbayo inaanza jumanne. Bwana mdogo amefanya hii mitihani muda mrefu sasa jana namuuliza unamaliza lini mbona kila mara unarudia rudia, dogo akajitetea kwamba kutokana na shughuli zake huwa anakosa muda wa maandalizi vizuri...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu machinga: TFF wapewe ofisi mjini, Karume pageuzwe kituo cha biashara

    Baada ya serikali kuhamia Dodoma kuna majengo mengi sana kule posta hayana kazi mfano wizara ya afya , wizara ya ardhi, wizara ya fedha nk. Serikali iwapatie TFF jengo mojawapo wafanye shughuli zao kama ofisi , wawapatie na ekari kadhaa za ardhi nje ya mji kwa ajili ya kujenga uwanja wa mpira...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni Orodha ya vifaa vya umeme kuanzia biashara

    Wadau, Mafundi na wenye uzoefu wa biashara ya vifaa vya umeme wa majumbini naomba mnitajie orodha ya vifaa vinavyohitajika na vinavyotoka haraka kibiashara zaidi. Nimepata fremu ndogo ya biashara, kwa mazingira ya mtaa huo hakuna duka la vifaa vya umeme kwa maeneo ya karibu, hivyo nimeona...
  14. Mayova

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Uwakala wa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money inaingizaje pesa?

    Naombeni mwenye kujua jamani Kazi ya UWAKALA wa M-pesa, Tigo Pesa, Airtel money inaingizaje pesa?
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Jiajiri kwenye hii biashara hata kama huna mtaji

    Najua wengi wana akaunti katika mitandao ya kijamii; sasa ni wakati wa kutumia hiyo mitandao kuingiza pesa. Anza hivi:- No. 1 Tengeneza 'database' ya mambo yote yanayohusu ujenzi Ingia makubaliano na hawa mafundi:-...
  16. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Mawazo katika kufanikiwa kwenye biashara ya Tofali haswa kwenye Miji inayokuwa

    Habari wana Jamvi. Leo nimejifikiria kuhusu Biashara ya tofali naamini kila mtu kwa nafasi yake ameshiriki katika biashara hii. Leo ningependa tuelezane mambo kadha wa kadha kuhusu biashara hii, jinsi yakufanikiwa zaidi na zaidi, uendeshaji na maono yako kwa mfanyabiashara baada ya miaka...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Walibya wadai Biashara Utd walihongwa ili wasisafiri

    Laiti haya mambo yangekuwaga na uchunguzi wa kina tungegunduaga mambo ya ajabu sana , sasa the talk of the town huko libya ni kwamba Biashara utd ilihongwa pesa nyingi sana ili watafute kisingizio kwa namna yoyote ile wasifike libya na kupoteza mechi. KUANZIA MECHI YA SIMBA NA YA WALIBYA KUNA...
  18. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania Machinga na wafanyabiashara wa Tanzania jifunzeni kufanya biashara mtandaoni, tumieni 'smartphones' zenu vizuri

    Habari wadau JF, Watanzania tubadilike twende na wakati kwa nini tuko kama watu kale binafi siungi mkono Machinga wala Migambo wajiji siko upande wowote ila kwa akili hizi mazingira tunayatengeza wenyewe kwakutokuwa wabunifu na kwenda na wakati kunamswali mengi sana waga najiuliza kwanini...
  19. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiojua, Simba bado itapanda ndege: ipo CAF confederation cup kule kina Azam na Biashara wametolewa

    Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui. Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa. Ukiwa mkubwa ni mkubwa tu. Maana watu wanaumia na kwa wale mashabiki wenzangu na mi...
  20. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Cult following au tatizo la afya ya akili: Jinsi Biashara wanavyoshambuliwa na mashabiki wa Simba na Yanga

    Inashangaza kwa kweli. Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu. Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga. Kama ni msanii, wanataka awe msanii wao tu Alikiba, Harmonize, au Diamond Kama ni siasa wanaamini mtu wao yeye ni malaika...
Back
Top Bottom