Habarini wadau wa ukurasa huu.
Nikiwa kati ya watu wenye shauku ya kuona vijana tunajikomboa kiuchumi, nimeona leo nije nishee kitu nilichojifunza.
Binafsi nilikuwa na biashara home Mwanza ya huduma za kifedha, iliyumba hivyo nikaamua kuja Dar kuongeza wigo wa utafutaji, mambo hayakwenda...