Wasanii hii sasa imekuwa too much. Muimbe basi na upande wa pili

Mkogoti

JF-Expert Member
May 3, 2020
1,744
2,000
Wakuu habari za humu!

Wasanii sasa hasa wa Muziki imekuwa sasa sifa ata kama ndo hivyo lakini mfanye kwa kipimo.

Nyimbo za kukisifu chama cha CCM zimekuwa nyingi Mno hizo zote kitu gani? Mnatafuta au mmeambiwa mnalipwa, mbona sioni msanii yoyote akiwa amewatungia nyimbo Upande wa pili CHADEMA. Wasanii wengine wanatoa karibia nyimbo nne za kukisifu tu Chama. Mfano Rayvanny, karibia zote za CCM, katoa sasa hivi tena CCM TETEMA.

Muwe na aibu kidogo; hata upande wa pili wanatamani waimbiwe. Je, wakishika nchi aibu yenu mtaiweka wapi? Yangu ni hayo tu -- mbadilike. Hao wakiingia hawawajali tena zaidi ya miaka mitano.
 

Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,088
2,000
Biashara ni matangazo. Wakati wa kampeni watakuwa katika mikutano, waondokane na ushetani! Si unajua tena ccm ndio wenye za kumwaga, wengine wote tunatakiwa tuishi kama mashetani!
 

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
2,252
2,000
Huko kwingine kuna kitu gani cha kuimbia? Hao CDM chama kimejaza wahuni watupu, walikuwa na watu wenye akili lakini miaka mitano hii wote wameondoka. Wamebaki hao akina Mbowe, Lema, Mdee, Sugu na watu wa namna hiyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom