basi

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama wana CHADEMA 'wanaozunguka' kuomba 'Kura' za Halima Mdee 'Kawe' wana 'Udhaifu' huu, basi 'namtabiria' Askofu Gwajima Ushindi asubuhi tu!

    Jana nilibahatika Kukutana na wana CHADEMA baadhi ambao nadhani ( nahisi ) walipewa 'Jukumu' la Kupitapita Kawe hasa katika 'Nyumba' za Watu na Kumuombea 'Kura' Mgombea Ubunge CHADEMA Halima Mdee. Sina tatizo na 'Mbinu' yao hii ila GENTAMYCINE nina tatizo Kubwa sana na 'Competence' ya hawa wana...
  2. S

    JamiiForums Tanzania CCM sasa basi imetosha, ondokeni hatutaki longolongo

    Msitafute kuondolewa kwa nguvu mnatakiwa muwaelewe wananchi ya kwamba wanataka mageuzi ya kuongozwa,hawataki tena kutawaliwa na CCM wanataka kuongozwa na Vyama vingine. Msiwalazimishe wananchi kuwapigia kura kwa nguvu ,kubalini kistaarabu ,wananchi wataona yupi mkweli na anaefaa chaguzi ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA mkiweza kulinda kura ambazo Watanzania tutawapigieni, basi Ikulu ni yenu

    CHADEMA, na wapinzani wote kwa ujumla, kila dalili inaonesha nyie ni zaidi, mshindani wenu Mkuu CCM anaonesha kila dali ya uoga, kutokujiamini na kukata tamaa. Hana uwezo tena, anajishika na kila aina ya tawi mpaka matawi wasanii, matawi malori, matrekta, mabasi, kuhonga nauli bali hayo matawi...
  4. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli mbiu ya "sasa basi" ichagizwe na msemo huu wa lugha ya kingereza: "enough is enough"

    CHADEMA, mnapotumia msemo wa "sasa basi", ni vizuri msemo au kauli mbiu hii mkaichagiza kwa kusema,"enough is enough". Anzeni na msemo huo wa kiswahili kisha ufuatiwe na huu wa kingereza kwani unaeleweka vizuri kwa watu wengi katika miji na majiji. Namalizia kwa kusema,"enough is enough ".
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

    SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es Salaam, Septemba 5 Awali chama hiko kilipanga kufungua kampeni zake mkoani Mara, zoezi ambalo...
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapo wagombea wa CHADEMA ambao wakirudishwa na Tume basi kwa hawa CCM weupe moto utawaka. FA hamna kitu aisee

    Huyu mgombea wa ubunge Jimbo la Muheza kwa tiketi ya Chadema akirejeshwa na Tume na naamini atarejeshwa, basi kuna wana CCM nyeti zitaonekana waziwazi. Huyu Mwana FA ni mweupe mpaka anatia huruma, hapa ndipo ninapowaza Magufuli alitumia vigezo vipi kuwapitisha hawa utopolo. Ila na yeye si...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

    Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuitikisa jiji la Mwanza katika mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Furahisha. Tayari maandalizi yamekamilika na maandamano makubwa ya kumlaki yanasubiriwa kuanza wakati wowote kutoka sasa Tayari mgombea huyo ameshafanya mikutano...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kwasasa Jimbo la Uvinza amejibu hoja zilizotolewa jana na Mgombea kiti cha Urais wa JM !- LISSU APANGULIWA HOJA 7 KWA MIKWAJU 7 YA TAKWIMU NA KAFULILA! NIMEONA MATOBO 7 HOJA ZA LISSU! Na David KAFULILA, Agosti31, 2020. Kwanza nashukuru sasa kuona...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ikiwa uzinduzi wa kampeni za CHADEMA ulikuwa ule, basi muacheni Lowassa aitwe Lowassa

    Ndugu Watanzania wenzangu, Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kutupa uzima na kuiona siku hii ya leo. Kwa kifupi sana, naamini jana wote tulijionea hali halisi ya uzinduzi wa kampeni za CHADEMA, na hii imetudhihirisha kuwa mzee Lowassa ilikuwa namba nyingine kabisa, na hatakuja...
  11. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Basi la kampuni ya Ally's lateketea kwa Moto

    Basi la kampuni ya Ally's linalofanya safari zake kati ya Dar na Mwanza lateketea kwa Moto wakati linakaribia Dodoma Sent using Jamii Forums mobile app
  12. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama NEC inabariki ubakwaji wa haki ya Msingi ya Wananchi ya kuchagua na kuchaguliwa basi wananchi wataanza kudharau chaguzi na hii ni hatari sana

    Tunasoma kila mahali, watu wanafanyiwa michezo ya ajabu kwenye uchaguzi, kuna vyama vinavyolalamika wagombea wake kutekwa, kuna vyama vinavyolalamika fomu zao kuporwa, kuna watu wanalalamika wakurugenzi kutokutoa ushirikiano, wengine wanalalamika ofisi za Taasisi muhimu za Uchaguzi kufungwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

    Siasa bhana hazitabiriki kabisa. Bado sijavijua vigezo vya kumtosa kijana aliyeipigania CCM kwa jasho na damu Paul Makonda na kumpitisha Patrobas Katambi ambaye mchango wake mkubwa uko CHADEMA. Namsubiri mNEC mzee Mgaya aje anipe ufafanuzi. Maendeleo hayana vyama!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu Lissu kama CCM itaendelea kutumia dini kisiasa basi wageuzie kibao uwakaange kwa mafuta yao wenyewe!

    Mwalimu Nyerere alionya sana tabia za kutumia dini na kabila kwenye kutafuta uongozi wa kisiasa. Mwalimu alisema, kwenye kipindi kama hiki cha uchaguzi kuna watu hukimbilia kwenye dini na makabila badala ya sera kwenye kusaka uongozi. Katika miaka mitano iliyopita kumekuwepo na ndoa haramu...
  16. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanadamu: Ukitaka kupima kiwango cha juu cha uvumilivu wa mtu yeyote, basi mpokonye kile anachokipenda sana

    Je, ni kweli kwamba, ukitaka kupima kiwango cha juu cha uvumilivu wa mtu yeyote, basi mpokonye kile anachokipenda zaidi? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda...
  17. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Basi la SATCO ni waaminifu sana walimuokoa Don Nalimison Singida

    BASI LA SATCO NI WAAMINIFU SANA. Jana kipindi natoka Mwanza kuja Dom kuelekea Dar, tulipofika Singinda stand nilishuka Mara moja lakini niliangusha VITAMBULISHO vyangu na Vijisenti. Baada ya dakika 5 hivi nikaona simu inaingia kupokea naambiwa nimeangusha VITAMBULISHO na Pesa, kusogea kwenye...
  18. James Martin

    JamiiForums Tanzania CCM nilikuunga mkono lakini kwa upuuzi huu sasa basi

    Siku chache zilizopita nilitoa maoni yangu kutathmini awamu hii ta tano. Niliandika kuwa pamoja na kuchukizwa na na baadhi ya mambo lakini namuunga mkono Magufuli. Niliandika pia siamini kama Rais anaweza kuyajua mambo yote ya moja kwa moja pale anapoingia madarakani, mambo mengine hujifunza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, akiharibu kwa Lissu na Zanzibar basi Serikali yake itapata tabu sana

    Kuna hofu kubwa huko Lumumba kuhusu upepo wa Lissu. Hawakuutegemea, walijua Lissu ataufyata kama walivyoufyata wapinzani wengine kutokana na kashkash waliyowatia ndani ya miaka hii mitano, lakini wamekuta ndiyo kwanza Lissu hapepesi macho, ndiyo kwanza anakamua tu bila wasiwasi wowote. Imefikia...
  20. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Maisha haya basi tu: Nimelishwa yai la Mbuni bila kutegemea

    Wakuu Habari! hapa nipo mbio mbio nataka nimeze dawa za tumbo nitulie tu. Kwa machache tu niseme tu leo Nimepatikana nimelishwa na visivyolika na bila kutegemea kwamba ntakuja kuvila. Inshu ipo hivi nimeenda kwa jamaa yangu kumtembelea nikamkuta yupo na Kimwana wake, ile nimefika tu sijui...
Back
Top Bottom