Inasikitisha sana!
Tuna viongozi wa ajabu sana Nchi hii ! CCM iko wapi?
Aliyelieleza Taifa kuhusu " madudu" ya mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo alikuwa ni Rais wa JMT, Amiri Jeshi Mkuu, Mkuu wa Nchi, Raia namba moja mwenye taarifa zote muhimu 24/7 kuhusu Nchi yake kuliko raia mwingine...
Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa...
(Toka mtandaoni)
[emoji840]Soma kwa umakini sana Soma Siri zote[emoji840]
[emoji3502]Maisha hayana formula lakini yana siri kibao! Kamata hizi 11, zikikufaa zichukue na unibariki kimyakimya, hazikufai futa bila kunitukana kimyakimya![emoji286][emoji286]
Siri ya kwanza;
[emoji1428]Tengeneza...
Nimemtumia maombi ya chuo mdogo wangu na hajapewa mkopo kabisa. Sasa najaribu kuapeal napata meseji hii;
Sorry!! S.......... is not Eligible for Appeal
Because of the following reason(s);-
Incomplete Application Form Verification
Sasa hapo sijaelewa wanamaanisha nini. Mwenye uelewa...
Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe alitoa ushahidi wake. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami.
=======
Jaji ameingia Mahakamani Kesi namba 16 ya Mwaka 2021...
Kama huu ndio uchochezi, basi wananchi wengi ni wachochezi.
Huu ndo wimbo unaotumika kutaka kumuangamiza Vitali Maembe,pamoja na "nyimbo nyingine".
Sambaza Link ya Wimbo huu ili umma uamue kama anastahiki kuhukumiwa au kutuzwa.
UTANGULIZI:
Nimiaka zaidi ya arobaini (40) sasa tangu kugunduliwa kwa uwepo wa gesi Asilia huko Likong'o-Mchinga Lindi Pembezoni mwa bahari ya Hindi yenye futi za ujazo trilioni 57.7,
Gesi hii baada ya kuchimbwa na kupoozwa kwa nyuzi Joto -260`F au -162'C nakuwa gasi miminika ndio inaitwa...
Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu...
Mimi kama Mtanzania nipendaye lugha yangu ya Kiswahili nasikitika sana kuona lugha hii ikiharibika. Chakusikitisha zaidi ni kwamba hakuna kiongozi yeyote wa juu kuanzia Rais, waziri wa utamaduni n.k. anayefanya jitihada madhubuti ya kukienzi Kiswahili.
Kwenye hotuba yake ya Mpango wa Maendeleo...
Ili tuwe na tukae katika usawa basi tuheshimiane , kwanini muongoza chombo meli au ndege anatambulika kama captain na anavaa kofia na nguo za kiaskari wakati muongoza basi anaitwa dereva , hiyo sio haki na wao waitwe madereva, au wa basi aitwe kaptain apewe nguo na kofia ya kijeshi Kama wenzake...
Hicho ndicho kilichonijia kichwani leo nikiwa natafakari mwenendo wa siasa za Tanzania kwa sasa.
Maswali ni je nani atakubali kusimama na ni nani atakubali mwenzake kusimama.
Itakua nipatashika nguo kuchanika ndani ya vyama na nje ya vyama.
Kenya imechoka kubembeleza punda kwenye mteremko. Hawa Shabab wamekimbia kwenye mahakama ya kimataifa eti kujaribu kunyakua mipaka ya Kenya. Lakini Kenya imeshasema haitambui judgement itakayotolewa na mahakama ya ICJ. Kenya itaendelea kulinda mipaka yake kama kawaida.
Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .
Hebu jionee mwenyewe.
Majina ya Wahusika wote...
Ndio, ni lazima uwe mbumbumbu asiyeweza kupata taarifa ya mambo yanavyoenda hapa nchini hasa upande wa siasa, na hata ukizipata basi usiwe na uwezo wa kuchenjua mbivu na mbichi.
Uzalendo ni kama imani, ili uwe na imani thabiti pale mbele kwenye usukani lazima akae undisputed role model...
Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie yaani tokea Mwezi wa Saba ( 7 ) tena mwanzoni mlijua kuwa Mwezi Septemba mtacheza CAF CL kwanini hamkujiandaa vizuri na Kimkakati zaidi?
Sasa hivi nikikutana tu na Mpuuzi anasema kuwa Kufungwa Kimoko ( cha Nguruwe ) Dar es Salaam na Kufungwa tena Kimoko ( cha...
Pimeni leo hapo Muhimbili hiyo Covid-19 yenu ila mkifika tu Kwao nchini Nigeria 85% ya Wachezaji wenu watakutwa nayo na Kuna uwezekano Golini akakaa Hersi, Kiungo akacheza Haji na Ushambuliaji akamaliza Senzo huku Mzee Mpili akiwa ndiyo Kocha Mkuu wenu.
Eti leo mnailaumu Simba SC kuwa ndiyo...
Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Leo napenda kuzungumzia juu ya afya, na katika afya nitajikita kwenye eneo la kufanya mazoezi ya mwili. Nimechagua eneo hili, kwani kuna vitu vingi binadamu anatakiwa kuvifanya karibia kila siku au mara moja moja ili kuimarisha afya yake. Kwa...
Leo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) , ili kumjulia hali kiongozi wao wa Kitaifa Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe ...
Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kuwa ajali hiyo imetokea jana Septemba 8, 2021 saa 3:20 usiku.
Amesema ajali hiyo imetokea katika barabara ya mwendokasi eneo la Lumumba kwenye taa za kuongozea magari.
Ameitaja pikipiki yenye namba za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.