Mnaofikiri kumnanga Hayati Magufuli ndio kula yenu basi subirini muone yatakayotokea

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.

Ukiwa kiongozi hutopendwa na watu wote na hasa kiti alikalia Hayati Magufuli. Wengi hawakupenda ila wachache walisena awe Rais hata kwa mwaka mmoja Mungu akampa miaka sita. Mungu alimpa Magufuli nafasi kulitawala taifa hili kama alivyo wanyima nafasi watu wengi kulitawala taifa hili.

Jitihada zakumuona Magufuli alikuwa sio kiongozi mzuri ni jitihada za wanadam. Ila Mungu amemaliza kazi na Magufuli ole kwa walio baki.

Mimi natabiri wengi wao hawatokikalia hiko kiti nawaona wanajitahidi sana kuwa underground wakidhani watakalia kiti nawaapia Rais ajaye hakuna anaye mjuwa japo wachache wanamdhania.

Nikiongozi alie na moyo uliopondeka hana makuu wala wengi hawamdhanii na hao vijana watazima wakidhani watakuwa marais wa Taifa hili mbona watoto wa Nyerere wametulia why vijana ambao hata hawapo kwenye List wanasumbuwa?

Fungueni macho na muone jitihada zenu zitakutana na shimo refu nakamwe hamtotoka salama.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Nakubaliana na wewe kwa Jambo moja nalo ni kwamba JPM alipanda mbegu ya uanamapinduzi kwenye mioyo ya mamilioni ya Watanzania, hili ni Jambo jema. Mbegu hi kwa sasa inaendelea kuchipua na muda siyo mrefu itakuwa mti kamili mark my words.
 
Kama Yesu alikufa kifo cha mateso msalabani, kwa nini wajinga waseme kifo ni adhabu aliyostahili.. Nani anajua mwisho wake?

Tanzania inahitaji kiongozi kama Magufuli muda umetuacha sana, mtu mwenye maamuzi magumu na ya haraka, tupo nyuma ya muda sana..
 
Mwenyezi Mungu fundi kweli kweli, aliamua kumtwaa kabla hajaiingiza nchi kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe
 
Wewe mpuuzi kwanza jiandae kusema uliufukia wapi mwili wa Ben Saanane!

Alafu Kwa ushauri tu! Corona haina masikhara na wapumbavu Kama unabisha muulize Nkurunziza na huyo mwehu wako Jiwe
 
Wewe jamaa ni mpuuzi sana.

Kwani Magu ni nani nchi hii?

Alikuwa Rais na ameshasepa.

Kwani Magu ni nani hasa.

Mnamwona Samia ni mstaarabu ameamua kukaa kimya, wakubwa kufichiana aibu harabu mnaona kama vile huyo kibewngo alikuwa special case.

Kwa kukusaidia tu, nchi hii ukishakuwa Rais ni FINAL. Kama vile ambavyo alikuwa FINAL wakati ni Rais ndivyo Samia alivyo FINAL sasa hivi.

Hata akifufuka huyo kibwengo sasa hivi ingawa hawezi, atakuwa kawaida tu kwasababu HATAKUWA RAIS.

Kwahiyo nyie misukule yake zoeeni maisha.

Mlidhani COVID-19 inaoogopa RISASI.
 
Ramli kama hizi zilisemwa baada ya Mwlm na hakuna kilichotokea sembuse huyu kinyago? 👇

2952061_JamiiForums569115795.jpg
 
Back
Top Bottom