basi

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa hizi video ni za wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 . Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama . Hebu jionee mwenyewe. Majina ya Wahusika wote...
  2. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ukitaka kuwa mzalendo kwa nyakati hizi basi cha kwanza lazima uwe mbumbumbu haswaa.

    Ndio, ni lazima uwe mbumbumbu asiyeweza kupata taarifa ya mambo yanavyoenda hapa nchini hasa upande wa siasa, na hata ukizipata basi usiwe na uwezo wa kuchenjua mbivu na mbichi. Uzalendo ni kama imani, ili uwe na imani thabiti pale mbele kwenye usukani lazima akae undisputed role model...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama sababu Kuu ya Yanga SC kufanya vibaya CAF CL ni Pre Season basi tuwaombe GSM watusajilie upesi huyu Mchezaji Pre Season ili Msimu ujao tutoboe

    Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie yaani tokea Mwezi wa Saba ( 7 ) tena mwanzoni mlijua kuwa Mwezi Septemba mtacheza CAF CL kwanini hamkujiandaa vizuri na Kimkakati zaidi? Sasa hivi nikikutana tu na Mpuuzi anasema kuwa Kufungwa Kimoko ( cha Nguruwe ) Dar es Salaam na Kufungwa tena Kimoko ( cha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewadanganya kuwa ukipima Covid-19 Tanzania basi ukisafiri kwenda Nigeria haiwezekani ukakutwa nao ni nani?

    Pimeni leo hapo Muhimbili hiyo Covid-19 yenu ila mkifika tu Kwao nchini Nigeria 85% ya Wachezaji wenu watakutwa nayo na Kuna uwezekano Golini akakaa Hersi, Kiungo akacheza Haji na Ushambuliaji akamaliza Senzo huku Mzee Mpili akiwa ndiyo Kocha Mkuu wenu. Eti leo mnailaumu Simba SC kuwa ndiyo...
  5. Gelion Kayombo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Afya: Unataka uanze kufanya mazoezi? Fuata hatua hizi...

    Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Leo napenda kuzungumzia juu ya afya, na katika afya nitajikita kwenye eneo la kufanya mazoezi ya mwili. Nimechagua eneo hili, kwani kuna vitu vingi binadamu anatakiwa kuvifanya karibia kila siku au mara moja moja ili kuimarisha afya yake. Kwa...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

    Leo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) , ili kumjulia hali kiongozi wao wa Kitaifa Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe ...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wamefariki dunia kwa ajali iliyohusisha basi la mwendokasi na pikipiki

    Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kuwa ajali hiyo imetokea jana Septemba 8, 2021 saa 3:20 usiku. Amesema ajali hiyo imetokea katika barabara ya mwendokasi eneo la Lumumba kwenye taa za kuongozea magari. Ameitaja pikipiki yenye namba za...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Je umewahi kuuona mwandiko ya Jakaya Kiwete?, kama bado basi pitia hapa uuone

    Sio kila mtu amewahi kuuona mwandiko wa rais wake, ila kwa sisi wachache ambao kwa wakati fulani tumepata kuwasiliana na rais mstaafu Kikwete kwa njia ya maandishi basi tunaufahamu fika mwadiko wa JK. Hapa chini ni mwandiko wa JK alipomwandikia rais wa Uganda ndugu Yoweri Museveni. Muda sio...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza huyu mtu kuanzia mwanzo hadi mwisho halafu usiweze kuwa na maendeleo makubwa ya kwako binafsi basi wewe una tatizo kubwa mno

    msikilize huyu mtu ana hoja nzito zinazoweza kufanya upige hatua kubwa sana kwenye maisha yako msikilize mwanzo hadi mwisho mswahili mwenzetu huyu ana hoja nzito mno
  10. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Basi la Tahiliso kunikataa na makondakta na dereva bila hata ya ubidamu kuniamuru

    Nimeniuma Sana.... Nikiwa katika pitapita jijin DSM nikawa bunju saa nne usiku nikawa katikakati ya vibaka bunju jjn DSM maeneo ya bunju B dereva pamoja na kondakta bas linaloonekana kuwa Tahiliso kuniamuru nishuke chini Nikiwa nahitaji kufika ubungo ama hata mbezi stend ya magufuli Hawa jamaa...
  11. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Ni lipi basi zuri la Dar - Mwanza?

    Ni basi gani zuri kwasasa nikiwa na maana sio uzuri tu wa muonekano wa nje na ndani bali pia ambalo linaweza nifikisha mapema ukilinganisha na mabasi ya kampuni nyingine. Mana kuna yale mabasi ambayo ukitoka hapa Dar saa 12 asubuhi Mwanza unafika kuanzia saa saba usiku sasa haya mabasi hapana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukipanda Basi unafika Dar mapema kuliko aliekata tiketi ya ndege za ATCL

    Iwe unatokea Mbeya au Mwanza ukipanda basi lolote lile hata iwe luwinzo mbona unaweza kufika mapema kuliko aliyekata tiketi ya ndege za ATCL. Au mmoja akitoka Mwanza akifika Tinde akapanda tank la mafuta mbona unatangulia kufika yaani wewe wa basi unaenda kumpokea mtu aliyepanda ndege...
  13. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Lissu kama una lengo la kweli la kushinda Urais 2025, basi njia hii hapa...

    Kwanza kabisa napenda kuwasalim wana jf wenzangu mliopo humu. Ama baada ya salam, niende sasa kwenye mada. Ndugu zang leo nimekuja na ushauri, au njia mbadala itakayomsaidia ndugu yetu Lisu na chama chake kuingia Ikulu kiulaini kabisa bila kutumia katiba mpya, tume huru, wala maandamano yoyote...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Basi gani zuri luxury Arusha Dar

    Habari wandugu. Nina safari ya Arusha hivi karibuni. Naomba kufahamu gari zuri luxury naweza kupanda nikafurahia safari. Ahsante.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka Bus la Dar - Mwanza linalofika mapema zaidi

    Habari ya wakati huu wanajukwaa? Kama kichwa kinavyojieleza, naomba msaada kwa uzoefu wenu. Nimepata safari ya Dar - Mwanza wiki ijayo na natamani kupanda bus ambalo linafika mapema kuliko yote kwani mimi ni muumini wa mwendokasi but wa kistaarabu. Je nipande bus gani?
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mission ya COVID-19 ni kupunguza watu, basi Demokrasia na haki za binadamu za kijinga zinatia umasikini

    Kama kweli mission ya covd ni kupunguza ongezeko la watu Duniani, basi huo ni mpango wa kidicteta uliopitiliza Kwa sababu mission hii, haibagui wema wala majambazi! Ninachotaka kusema, Wakubwa wa Dunia hii ni watu wanaocheza na akili zetu ili tusitoke mahali pa kuombaomba misaada kwao na...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Basi la Frester, limepata ajali maeneo ya Kagongwa

    Ajali usiku huu maeneo ya Kagongwa -Kahama. Basi ya FRESTER iliyokuwa inatoka Dar es salaam kulekea Bukoba imepata ajali usiku huu maeneo ya Kagongwa Kahama.
  18. demigod

    JamiiForums Tanzania Kama hili ni kweli, Basi Mo Ataliza Watu Muda Sio Mrefu

    Leo wakati Chama akiwa Live insta alimsifia Haji kitendo kile kikamkera Bilionea Moo Dewji. Dewji akamtolea uvivu Chama na kumuulza "Haji ndiye aliyekulipia ada ya uhamisho?" Kisha Dewji akamwambia anatoka kwenye mkutano huo wa Insta. Leo wakati Chama akiwa Live insta alimsifia Haji...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Haji Manara alistahili kufukuzwa Simba kitambo

    Haji huyuhuyu anaelalamikia uongozi wa Simba, alikuwa analipwa 700k bila vyeti Manara huyuhuyu ambaye kabla ya Simba hakuwa maarufu shida zake kubwa zilitatuliwa na MO kifedha kama kijana wake Manara huyuhuyu aliwahi kumtusi maneno mazito na kumdharau CEO wa Simba kwasababu za uanamke wake...
  20. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
Back
Top Bottom