basi

  1. 2019

    JamiiForums Tanzania Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana. Ukiona mwanaume anaongea sana basi ujue ana kasoro. Mwanaume wa kweli maneno kidogo vitendo kwa...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Rais Samia alimaanisha hicho, basi huenda Lukuvi ni Waziri Mkuu anayengoja kuapishwa

    Kama Rais Samia kile alichokisema kuhusu Lukuvi (kuwa amemtoa kwenye uwaziri na sasa anamleta ikulu kuja kumsaidia kuwasimamia mawaziri, na atampa kazi maalum ambayo watanzania tusubiri kuja kutangaziwa) basi huenda ikawa ni nafasi ya uwaziri mkuu! Huenda kinachofanyika sasa ni kupima upepo wa...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson atoa msimamo wa Bunge, asema Rais ni Mkuu wa Nchi na ana mambo yote!

    Naibu Spika akiongea katika hafla ya kuwaapisha mawaziri, manaibu na viongozi wengine, amewapongeza wote walioteuliwa na kuwashauri wameteuliwa kufanya kazi za Rais nao wao wanamsaidia hivyo wazifanye kama wasaidizi wa Rais wa Jamhuri wa Muungano na si vinginevyo. Kuhusu Bunge, amesema kuna watu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri,asiyemjua Yusufu (kitabu cha kutoka 1:8-10)

    8 Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. 9 Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi. 10 Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. Kutoka 1:8-10

    8 Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. 9 Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi. 10 Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi angalieni basi la Arusha Express linalofanya safari za Arusha - Bukoba

    Wiki iliyopita nimepanda basi hili nikitokea Arusha kuelekea Kahama. Aisee hili basi linakimbia saana. Nina wasiwasi kama limefungwa speed governor manake mwendo wake ni zaidi ya speed 100km/h hasa likiwa kwenye bara bara zisizokuwa na traffic wengi. Kazi kwenu jeshi la polisi kabla...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Biblia haijasema asiyefanya kazi asile, Imeandilwa Ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula.

    Habari! Msingi wa andiko hili ni kuonyesha neno moja katika mstari wa Biblia 2 Thes. 3:10 ambalo lina maana kubwa lakini linasahaulika. Neno "HATAKI" linaachwa kisha watu husema kuwa asiyefanya kazi asile. Kwa zama zile za uandishi wa agano jipya yawezekana kazi zilikuwepo nyingi kulingana na...
  8. vnn

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, basi mikopo ya awamu ya tano ilikua ya ajabu sana, ukweli ndio unajulikana sasa

    Hiki ni kichekesho, inamaana hata reli yenyewe haijakamilika tayari mkopo wake umeshaanza kulipwa? hivi vitu walikua wanafanya wasomi au?
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

    Pichani ni GIRIKI mtu mwenye historia ya pekee kwenye tasnia ya udereva nchini. Licha ya kukimbiza sana gari kwa miaka mingi, hakuwahi kupata ajali
  10. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Aibu/shida gani ulikutana nayo stendi au kwenye basi

    Nakumbuka mwaka jana 2020 , mwanzoni Nlikuwa nmeenda kwenye project moja songea sasa wakati narudi sister akinipa kazi nirudi na beki tatu mmoja ambaye tayari sister alishamalizana na wazazi wake ilikuwa ni mimi tu kumchukua na kumfikisha mahali husika (DSM) Sasa kufika Njombe pale saa 4...
  11. Midimay

    JamiiForums Tanzania IKULU mkianzisha Wizara ya Gender, basi mpeni Ndalichako, ateuliwe Mtu Mwamba kwenye Elimu.

    Leo Mhe. Rais amesema ana mpango wa kugawa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ili kuanzisha wizara mahsusi kwa ajili ya mambo ya jinsia(ilikiwepo kabla ya 2015), naamini itakuwa wizara ya Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto. Kwanza Hongera kwa kuona ukubwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kama madai haya ni ya kweli, basi ni aibu sana kwa wahusika

    By Mchokozi !! kupitia twitter: Mnaishinikiza Familia Imuombe Mwamba Akubali Kikao Cha Kumaliza Kesi Kwani Wakati Mnamkamata Na Kumfungulia Kesi Mliomba Kikao Nae? Mwiba Hutoka Ulipoingilia, Mwamba Anasema Wacha Iendelee Kunyesha. Njia PEKEE Ya Rais Kuondokana Na Hii Kesi Ni Kusema...
  13. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Polepole: Bulembo si tu ni mhuni bali pia ni tapeli

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli. "...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

    Usikilizwaji wa Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu; Halfan Bwire Hassan, Adamu Hassan Kasekwa na Mohammed Ling'wenya inatarajiwa kuendelea leo Desemba 14, 2021 Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu pingamizi la Mshitakiwa Mohammed...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ukiona chama tawala hakitaki kukosolewa na wanachama wake kwa makosa kinayofanya basi anguko lake lipo karibu

    Kunaguka kwa chama tawala ni pamoja na kupoteza imani kwa wananchi. Wananchi ndio huwa wanapima na kuona mwenendo wa chama walichokiweka madarakani. Kwa jinsi taifa letu na wananchi walivyo masikini wanapokosa msaada wa chama tawala ili kuwalinda dhidi mafisadi na wakora wa malk ya umma basi...
  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Goba kuweni serious basi

  17. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''sukuma gang''; Je, kwa sasa ni zamu ya waliokuwa wanafurahia na kufanya sherehe!

    Kwa wale wakongwe wa Jamiiforums wananifahamu kuwa mimi ni mmoja wa watu tulikuwa nyuma ya aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano, Rais Magufuli tokea kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais ndani ya CCM mpaka alipoitwa na Mwenyezi Mungu. Rais Magufuli amenifundisha mengi sana mazuri na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kama watu hawaandikishwi wakiingia lock-up basi ni ngumu kutrace kuhusu akina Ben Saanane, Azory, n.k

    Yaani Wanasheria wa Serikali walinishangaza sana kuleta ushahidi ambao unaonesha watu hawakuwekwa lock-up pale TAZARA wakati wahusika wanajua kabisa waliwekwa lock-up hiyo. Mashahidi wa Serikali walishadadia sana kwa ushahidi wa sijui Jumanne yule kuonesha kuwa eti watuhumiwa hawakuwa lock-up...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021

    Kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea mahakamani leo Novemba 30, 2021 ======= Wakili wa Serikali: Mheshimiwa Jaji Shauri limekuja kwa ajili ya Kusikilizwa, Naomba tupatiwe Nyaraka ilikuweza Kuzikagua. Wamekabidhiwa Nyaraka na Kuanza Kukagua Moja baada ya Nyingine. Wakili wa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa ukakasi ni kuitwa mkoa wa Chato, basi uitwe mkoa wa Biharamulo

    Ndugu wanajamvi kwa kuwa wahaya wote wanapinga mkoa wa Chato kwa vigezo hapana sifa eti wilaya ni mpya basi mie napendekeza uundwe mkoa wa Biharamulo na maeneo yake iwe wilya ya Ngara, Biharamuo, Chato. Je, Wahaya hili watalikubali? Kama watalikataa basi ina maana hoja ya kusema Chato bado...
Back
Top Bottom