basi

  1. aka2030

    JamiiForums Tanzania Trafiki kama kupita service road ni makosa basi muwaambie Tanroads wasizijenge

    Nashangaa sana haya mambo wanayofanya hasa hapa Mbezi Beach Massana mpaka Tanki Bovu gari ikipita service road wanaikamata. Nauliza ile barabara matumizi yake ni nini?
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu

    Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani. Sauli hununua askari wowote wanaokuwepo zamu siku husika katika usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya Mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia. Narudia...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Dereva Basi la Kilimanjaro Express aliyesababisha ajali na kuua watu wanne, afutiwa leseni

    Dereva ambaye alisababisha ajali ya Basi la Kampuni ya Kilimanjaro Express iliyotokea jana Machi 14, 2022 Mkoani Songwe na kusababisha vifo vya watu wanne, Mjahid Waziri mwenye umri wa miaka 39, amefutiwa leseni ya udereva. Ajali hiyo ilitokea wakati basi likitoka Tunduma kuelekea Dar es Salaam...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Songwe: Basi la Kampuni ya Kilimanjaro Express lapata ajali, watu wanne wafariki dunia

    Bus la kampuni ya Kilimanjaro limepinduka asububuhi hii mkoani Songwe likitokea Tunduma kuelekea Jijini Dar es salaam ambapo taarifa za awali zinaeleza ajali hiyo imesababisha watu kadhaa kufariki na uwepo wa majeruhi, taarifa kamili zitakujia hivi punde. =================== Basi la Kampuni ya...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama utaenda Kununua Dada poa"Malaya" basi zingatia haya

    KAMA UTAENDA KUNUNUA DADA POA, ZINGATIA HAYA. Anaandika Robert HERIEL Yule Mtibeli, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Mambo haya pengine niya aibu, pengine hayasemeki kwa urahisi, tena hayafurahishi kuonekana hadharani. Lakini Mimi Taikon nitayasema Kwa uchache Kwa Nia ya kujenga. Na wala sikusudii...
  6. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa hatutakuwa na Sera moja ya maendeleo basi maendeleo tutayaona kwa wenzetu

    Tanzania tumeamua kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi. Hili ni jambo jema ili kushirikisha watu wote katika maendeleo yetu. Lakini hatuwezi kupata maendeleo kama kila chama au kiongozi kuwa na sera yake ya maendeleo. Mfano CCM imekuwa chama tawala tangu tupate uhuru lakini kila awamu...
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama bado tuna ushirikiano thabiti wa kidiplomasia na China na Urusi Basi kuwa mpinzani ni uhaini na upinzani hautakuwa huru kamwe

    Demokrasia ya kupokezana madaraka kwa wajamaa ni kitu kisichoeleweka kabisa. Ingawa kwa shinikizo za kimataifa angalau China mwaka 1980 waliweka ukomo wa urais kuwa vipindi viwili. Na Russia 1992 vilevile. Lakini anayeyapokea lazima atokee chama tawala na mtiifu kwa Rais aliyepita. Angalau...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kama unashangaa au hauoni mantiki ya Putin kuivamia Ukraine basi wewe upo kwenye Kundi la watu hawa

    Unatazama movie , kwenye movie Kuna tukio limetokea let's say WTC imelipuliwa. One week later maelfu ya wamarekani wanakusanyika katika viwanja vya Madison square garden Kwa ajili ya kufanya ibada maalumu ya kuwaombea marehemu walio poteza Maisha Yao kwenye tukio Hilo pamoja Na kulaani walio...
  9. B

    JamiiForums Tanzania HESHIMA KWA TIMU PINZANI/PAKI BASI

    "Heshima kwa timu pinzani" au "kuwapa heshima wapinzani", mara nyingi kauli hizi hupewa uzito sana na wachambuzi wetu pindi timu ndogo inapokutana na timu kubwa. Na kwa asilimia kubwa wakimaanisha timu ndogo kucheza mchezo wa kujihami/kupaki basi. Mpira wa miguu una matokeo matatu na kati ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

    Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu. Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia...
  11. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Wazazi jitahidni kuwa waelewa basi

  12. B

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli kwa gharama hizi za umeme, tutawasha chemli hakuna namna

    Jamani, TANESCO naomba nielewesheni Jana nimenunua umeme wa 200000 lakini nimekatwa vat 29500 Ewura 14000 Rea 4900 Swali ni kwann mimi mteja nikatwe pesa zote hizi wakati umeme nguzo nalipia waya nalipia na mita nanunua sasa swali langu ni kwann nikatwe pesa hizi Source CarolNdosi Twitter...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

    Inaumiza, inasikitisha unless sio kweli. Jionee:
  14. BALOGUM

    JamiiForums Tanzania Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika kuzuru kaburi la Hayati Magufuli ni kiashiria alikuwa na mchango mkubwa katika maendeleo Afrika?

    Leo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri. Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?
  15. U

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Kukaguliwa ticket zaidi ya Mara 3 ktk basi unakera

    Habari Wana jamvini! Nchi nyingi za nje ya Tanzania Kuna utaratibu ukishakata ticketi ukapanda kwenye basi hautasumbuliwa mpaka unafika pahala unapokwenda. Ila Kwa Tanzania imekuwa Kero kubwa sana, ukipanda basi labda Dar mpaka ufike mwanza utakaguliwa ticketi na watu zaidi ya watatu tofauti...
  16. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Norway waja na Basi lisilo na Dereva

    Nchini Norway sasa yaja na basi lisilo na Dereva urefu hivyo litajiendesha lenyewe kwa kutumia technology na hakutakuwa pia na hata makondakta hivyo basi litakuwa linasima kwa kila kituo na litakuwa na sensor kama kuna mtu mlango hautajifunga na kila kituo mlango. Utajifungua na kusimamia kwa...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo ya kidato cha nne basi chama cha mapinduzi kinahitaji pongezi

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Leo uzi utakuwa mfupi wa kukipa pongezi Chama Cha Mapinduzi kwa kuzidi kutimiza malengo ya ilani yake uachaguzi ya mwaka 2020. Jana tumeona matokeo ya kidato cha nne 2021 yakionyesha kupanda kwa ufaulu kulinganisha na matokeo ya miaka iliyopita. Pamoja...
  18. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Sasa kaka, mtanipeleka wapi au ndio basi tena?

    Muhusika: Mdogo wangu kamaliza form four Issue: Kwa matokeo yake alopata, what next? Kaniuliza kama kaka yake. Matokeo yake yakoje: Haya hapa: Civics C ... History D... Geography D ... Kiswahili B ... English C ... Lit. Eng C ... Chemia D ... Biology D ... Mathematics F. Nimesikia ili uendelee...
  19. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiipanua tu hii barabara, nitaanza rasmi kumpigia debe

    Wakuu barabara ya kutoka Kibaha maili moja hadi Morogoro ni kelo Sana, maroli ni mengi sana hii barabara imezidiwa Sana. Unaweza ukatoka mkoani huko vzr tu unakuja kupoteza muda kipande hicho. Mimi mheshimiwa Rais Samia akiipanua tu hii barabara kuwa njia sita kuanzia alipoishia Magufuli...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani. Peter Kibatala na timu yake wapo tayari. ======= Kufahamu ilipoishia...
Back
Top Bottom