Sukari sasa imeanza kuuzwa kwa mfumo kama wa biashara haramu katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwa ni siku ya saba tangu Serikali ilipotangaza bei elekezi ya bidhaa hiyo.
Waandishi wa Mwananchi wamebaini baadhi ya maduka yanauza bidhaa hiyo kati ya Sh4,000 hadi 5,000 kwa kilo kwa wateja...
Kama ilivyozoeleka kwenye jamii nyingi kuwa ukiwa Rastafarian basi kwa asilimia kubwa utakuwa unatumia bangi/marijuana na majina mengine lukuki kama inavyojulikana.
Leo kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa kuna meme inasambaa ikiwa na ujumbe "Wakati Lucky Dube anaimba "Born to Suffer" me...
Yaani huu Uginjwa wa Macho Mekundu ulioingia sasa Mkoani Dodoma kutokea Dar es Salaam unatukwaza kwani kwa Macho yetu kuwa Mekundu hivi tunaonekana ni Wavuta Bangi wakati wengine hata hiyo Bangi yenyewe hatujui amesema Mkazi Mmoja wa Mkoa wa Dodoma.
Chanzo: Nipashe ya Radio One Asubuhi hii...
Heri ya mwaka mpya.
Hii kitu nilishawahi kuambiwa na mtu flani nikapinga, nikasema maybe huyu jamaa ana chuki na wivu na jitihada za vijana wajasirimali.
But baada ya kufikiria zaidi, it made so much sense, but sikuwa na uhakika 100%
Sasa kuna siku nilikuwa nimekaa na washkaji tunapiga story...
Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu
Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee!
Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!😂
Haki za binadamu, ni haki gani hizi ambazo zinaharibu nguvu kazi!!!. Ushoga na matumizi ya bangi kipi bora?, Kwa nini suala la ushoga Serikali imelikalia kimya?, je, Sheria za Tanzania kuhusu ushoga zinazemaje, vitendo vya ushoga ni kosa la jinai nchini Tanzania kama yalivyo makosa mengine...
Kuna misemo na nahau nyingi sana tuliwahi kujifunza huko shule ya msingi ambayo ilitosha kutupatia msingi wa maisha yetu hata leo! Mfano wa msemo!
"Kutokujua kutumia kilicho bora; ni mwanzo mzuri wa kutumia kibovu"
"Watu wengi huangamia kwa kukosa maarifa"
"Mkataa pema, Pabaya panamuita"...
Snoop Dogg ameweka wazi kuwa hajaacha kuvuta bangi; bado anaendelea kuvuta kwani ndio kitu anachokipenda sana na kuamua kuweka mambo sawa kuwa yale yote ilikuwa ni tangazo (ad) la majiko yasiyo na moshi[emoji38][emoji38][emoji23]; smokeless stove.
Muswada wa Bangi kwa matumizi binafsi uliokuwa unakutana na vipingamizi kadhaa toka mwaka 2018 umepitishwa na bunge nchini humo jana Jumanne 14/11/2023.
Vyama vya ANC, DA, IFP, EFF, NFP na PAC viliunga mkono muswada wa bangi kwa matumizi binafsi, wakati FF+ na ACDP waliupinga wakati wa kikao...
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amewataka Wasanii wanaovuta bangi na unga kujirekebisha na kuacha mara moja kwakuwa orodha ya wote wanaovuta anayo na kwamba Mamlaka hiyo inakamilisha ujenzi wa Maabara mpya ya Ukaguzi na Sayansi Jinai...
Wakuu nimekutana na makala moja CNN kuhusu utafiti ulioonesha kuwa Watu wanaotumia Bangi wako hatarini kupatwa na matatizo ya Shambulio la Moyo au Moyo kushindwa kufanya kazi (Heart Failure). Hii imakaaje wakati hivi karibu kumekuwa na maelezo kuwa Bangi husaidia kutibu baadhi ya Seli za Saratani?
Swali.
Hivi wenzangu mnamuelewa huyu Jamaa?
Yaani bangi ingekuwa haifai watu wangekuwa wanalima na kuisha Kwa Wingi kwenye black market?
Waache ujinga walete sheria ya Kilimo rasmi Cha Bangi na Mirungi Ili Mashamba yawe monitored badala ya kuongea pumba hapa 😆😆.
---
Kamishna wa Kinga na Tiba...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata kilogramu 423.54 za bangi iliyosindikwa maarufu kama skanka katika operesheni maalum zilizofanyika kwenye mipaka na fukwe za Bahari ya Hindi.
Kilogramu 158.54 zilikamatwa eneo la Kigamboni na Kawe jijini Dar es salaam zikiwa...
#HABARI Mkazi wa Kisiwa cha Maisome wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Maisala Ramadhani (25) ameangua kilio mahakamani baada ya kuhukumiwa jela miaka 20 baada kukiri kosa la kukutwa na dawa za kulenya aina ya bangi nyumbani kwake.
Hukumu hiyo ya kesi ya jinai namba 121/2023, imetolewa na Hakimu...
Hawa watu (rasta men) wanavuta sana bangi lakini bado wanabaki kuwa watu wa Amani na Utulivu sana katika Jamii.
Hivi kuna nini mpaka haiwasumbui kichwa kama ilivyo kwa watu wengine?
Mwezi huu tumeshuhudia mashamba ya bangi yakiteketezwa katika Bonde la moto Mara.
Mbali na hapo, wananchi wamelalamika mbele ya mkuu wa mkoa wakidai ya kwamba bangi Ile ndiyo iliyowasaidia ujenzi wa Shule Pamoja na Hospital.
Pia tumeshuhudia nchi nyingi zikihalalisha ulimaji wa zao hili Ili...
Habari za sahizi keyboard masters..
Ni muda sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu mrembo kutoka huko kaskazini, tulikutana chuo tukiwa classmates ila rasmi mahusiano yetu yalianza tukiwa mwaka wa pili semester ya kwanza.
Kipindi chote hicho sikuwahi kugundua kuwa anatumia sigara wala bangi...
"Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema Mlimbwende wa zamani nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya Kuongea na Waandishi wa Habari.
Katika Pombe...
Ilikuwa 2000 hiyo. Nimetoka shule kama kawaida, baada ya kubadilisha tu sare na kupata msosi, nikaelekea kijiweni tulikokuwa tunacheza mpira kukiwakilisha kitaa timu yetu ya mtaa. Hapo tulikuwa na kocha wetu na timu ilikuwa na mchanganyiko wa watu mbalimbali; wavuvi, wa vijiweni tu na siye...
Biblia inasema mungu akaumba majani ya kondeni ,na Kila Jani mungu anamakusudi nalo ,Kuna majani mungu aliyaumba yawe dawa mengine mboga! Na hata kiburudisho!
Mirungi inajiotea yenyewe maporini Huko , nimtu akitafuna eti anakamatwa! Wakukamatwa ni mungu ,na WA kuhojiwa ni mungu!
Bangi inaota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.