bangi

  1. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Kama kuvuta bangi ni "ujanja" na kunaongeza "akili " kwa nini wavuta bangi hawawafundishi watoto bangi na hawapendi kuitwa wavuta bange ?

    Moja kwa moja. Wavuta bange wengi wanadai mtu ukivuta bange unawaza vitu mbali akili inakuwa kubwa hata uwezo wako wa kufikiri na kupanga mipango chanya unaongezeka. Na wengine wanadai hata kwenye madoma darasani bangi inasaidia na wavuta bange wengi wanajiona wao maIntelligent kama Isac...
  2. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wavuta bange wengi ni wahuni , matendo na akili zao zimepinda ?

    Moja kwa moja. Kwa utafiti usio rasmi ; Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia kubwa wanapoteza focus kwenye masona ,maisha na kuanza wizi , uhuni na matendo mengine ya hovyo ...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Golugwa amesema wananchi wamepiga kelele wanataka waruhusiwe kulima bangi?

  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wanachuo Watiwa Mbaroni Kwa Kutengeza Biskuti Za Bangi, Kwa Ajili Ya HouseParty Za WanaVYUO

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imesema kati ya mwezi Septemba na Oktoba 2025, imekamata jumla ya kilogramu 10,763.94 za aina mbalimbali za dawa za kulevya, pamoja na kilogramu 6,007 na lita 153 za kemikali bashirifu katika operesheni zilizofanyika katika maeneo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kinara wa Biashara ya Bangi akutwa na Tani 6.5 mkoani Mara

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), mkoani Mara, imefanikiwa kumkamata mhalifu kinara wa uzalishaji na usafirishaji wa bangi aitwaye Masero Ryoba Muhabe (44) akiwa na tani 6.5 za bangi. Kwa muda mrefu, Muhabe amekuwa akijihusisha na uzalishaji na biashara ya bangi...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Sigara za Kielektroniki za Bangi pisi 50 za kamatwa Dar

    Kamishna Jenerali Lyimo amefafanua kuwa, katika operesheni iliyofanyika jijini Dar es Salaam, amesema, jijini Dar es salaam, kwenye klabu ya “Bad London” iliyopo Temeke kwa Azizi Ally na klabu ya “Sanaa” katika eneo la “Reggae bar” iliyopo Masaki, walikamata sigara za kielektroniki (E - Cigare...
  7. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Je, mmea wa Bangi unapuuzwa na kuwaziwa tofauti?

    Habari Tanzania ! Naomba kuwauliza wataalamu wa mambo ya afya hasa mwili; Je, ni kweli mmea aina ya Bangi unatibu kabisa mambo yafuatayo; 1. Kansa aina yoyote? 2. Punguza maumivu aidha makali au sugu? 3. Kuchechea hamu ya kula? Karibu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Meru, Arusha: Kuna Mwalimu ni mvuta bangi na anauzia wanafunzi Bangi

    Habari za kwenu? Kuna mwalimu wa kiume wa sekondari ya Nkoasenga anaitwa Alb.... (jina limefupishwa) katika kijiji cha Nkoasenga wilaya ya Meru, kata ya Leguruki mkoa wa Arusha anafanya biashara haramu ya kuuza bangi kwenye baa yake. Wanafunzi wa sekondari nao huenda katika baa hiyo kununua...
  9. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa bongo wangesema ni bangi

    CHAKUSHANGAZA Tukio hili lilitokea Januari 25, 1995 nchini Uingereza. Ni miaka 30 na miezi kadhsa sasa.. Eric Cantona alimpiga teke la flying kick shabiki aliyekuwa akitolea maneno machafu kila alipogusa mpira!
  10. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Botshwana: Mwanamke wa Kitanzania Ahukumiwa kwa Kosa la Kukutwa na Bhangi

    Tarehe 11 Agosti 2025, Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Broadhurst, nchini Botswana, ilitoa hukumu dhidi ya raia wa Tanzania, Emma Sezary Beda (42), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la umiliki wa dawa za kulevya aina ya “dagga” (bhangi). Kwa mujibu wa taarifa za Jeshi la Polisi la Botswana, tukio...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

    Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka. Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nahisi ndugu yangu kaanza kuvuta bangi, Leo kataka kusimamisha gari kwa mikono, naanzaje kumshauri aache,

    Tulifikia sehemu nikamwambia apaki gari upenuni mwa barabara, nikashuka kwenda kununua makubwa. Yeye naye akashuka, sijui kupunga upepo au ku-scan anga Ghafla nageuka naiona gari inatembea yenyewe, Alienda mbele ya gari akaweka mikono akaanza kusukumana nayo, kakaza uso, mishipa imemtoka...
  13. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha; Ngarenaro;Dogo janja atoa ahadi ya kutokomeza Vibanda vya pombe haramu,mirungi pamoja na Bangi katika kata yake.

    Akihojiwa Asubuhi ya Leo katika Moja ya Radio jijini Arusha mtia Nia ya udiwani wa kata ya ngarenaro almaarufu dogo janja ambae pia ni mwanamuziki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani wa kata ya ngarenaro Basi atahakikisha Vibanda vyote vya pombe haramu, Bangi na mirungi vitaondolewa ...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, gharama za kuchukua Fomu kugombea Ubunge kwa Chama Babu ingekua ni Shilingi Milioni 5 hata Wavuta Bangi, Wehu, Wezi na Drug Dealers wangechukua?

    Kazi yangu kubwa sana leo baada ya kuanzisha huu Uzi ni kusoma tu Comments zenu mkiwa mmeshakijia Chama Babu.
  15. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Ni biashara gani inaweza ikanitoa chap kwenye kamkwamo?

    Nahitaji mawazo wanaume wenzang ... let's put jokes aside .... Habari zenu nyote?? Mishe Zang zimekwama kabisa wakuu, naombeni ushaur naeza piga mishe gan chap chap nichomoke kwenye kamsoto nnakopitia ?? Hata kama kuna deal mikoa ya nyanda za juu kusini naombeni connection , ila iwe ni deal...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Uyole: Wanne wanaswa wakiwa na zaidi ya kilo 100 za bangi

    Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne wakiwemo wanawake wawili wa familia moja wafanyabiashara na wakazi wa Mponja - Uyole Jijini Mbeya na wanaume wawili akiwemo kondakta wa basi kwa tuhuma za kupatikana na shehena ya dawa za kulevya aina ya bangi yenyewe ujazo wa kilogramu 164...
  17. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na imefanikisha uteketezaji wa ekari 157 za mashamba ya bangi yaliyokuwa katika vijiji vya Ntomoko, Kinyasi na Haubi

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kondoa pamoja na wananchi wa Kata ya Haubi, wamefanikisha operesheni maalum ya kutokomeza kilimo haramu cha bangi katika maeneo ya Hifadhi ya Milima ya Haubi, wilayani...
  18. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Pili: Si Kila Mvutaji Bangi Ni Mhalifu – Tujifunze Kutojiharakisha Kuhukumu

    Katika dunia ya leo yenye kasi na mitazamo ya haraka, mara nyingi tumekuwa wepesi wa kutoa hukumu dhidi ya watu kwa misingi ya taswira au taarifa za juu juu. Mojawapo ya maeneo haya ni matumizi ya bangi. Ni kweli bangi imeorodheshwa kama kitu haramu katika sheria nyingi, lakini je, hiyo inatosha...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Huku mitaani mnapotoshana kwamba mishe ya kuuza bangi kitaa zinalipa, wapi wewe uliwahi kuona pusha aliyetajirika ? mapusha wengi wanakufa masikini

    Na hii sizungumzii kwa hear say kwamba nilisikia, NO ! nimeishi mitaa yenye mapusha wa kijiti. Miaka nenda rudi hadi nimehama hio mitaa na kurudi kusalimia nimewakuta wapo vile vile tu hakuna maendeleo kilichobadilika umri umeenda au wengine wapo jela. System ya mapusha wa bangi hapa bongo...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli usio semwa kuhusu uvutaji wa bangi na tatizo la afya ya akili

    Bangi haimfanyi mtu kuwa na tatizo la afya ya akili isipokuwa bangi Ina mreveal mtu ambae alikuwa na tatizo la akili lakini jamii haijui kama analo. Meaning what? Kama una vuta bangi na haupatwi na tatizo la akili tafsiri yake ni kwamba wewe ni mzima kichwani kwa viwango vya juu. Una afya ya...
Back
Top Bottom