Mpenzi wangu ni mjamzito ila kagoma kuacha kuvuta bangi

MFALME WETU

JF-Expert Member
Feb 1, 2021
2,574
6,132
Habari za sahizi keyboard masters..

Ni muda sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu mrembo kutoka huko kaskazini, tulikutana chuo tukiwa classmates ila rasmi mahusiano yetu yalianza tukiwa mwaka wa pili semester ya kwanza.

Kipindi chote hicho sikuwahi kugundua kuwa anatumia sigara wala bangi zaidi ya pombe ambazo tulikuwa tunakunywa pamoja ila ghafla tu tulivyorudi chuo semester ya pili nilienda kumtembelea kwake bila taarifa nikashangaa kumkuta anavuta sigara tena kashikilia pakiti nzima ya Winston Sports.

Sikuongea kitu nikaamua kuondoka badae akanitumia meseji ndefu ya kuniomba msamaha kwa kunificha kipindi chote hiko ila akasisitiza hawezi kuacha hiyo tabia na mimi nikaona isiwe kesi ila nikamuweka kwenye list ya wanawake wa kujipigia pasina kuwa na malengo yoyote ya ndoa huko mbeleni.

Kipindi chote hicho yupo mjamzito nimekuwa nikimsititiza kupunguza matumizi ya pombe na kuacha kuvuta bangi na sigara akanambia kuwa kaacha sigara ila bangi hawezi kuacha kwa kuwa anaamini haina madhara.

Sasa wajuvi wa mambo naomba kujua kama kweli bangi haina madhara kwa mtoto au la na kama ina madhara naombeni ushauri nitumie mbinu gani kumshawishi aache kutumia.

Natanguliza shukurani
 
Kuna sister mmoja yeye alikuwa mpangaji kwetu. Alikuwa mjamzito na alikuwa anakunywa sana pombe tena kali hizi.

In the end alipata miscarriage. Nae pia alikuja kufa kwa ajali ya toyo akitokea kwenye harakati zake za pombe. Sadly ameacha watoto wawili wakike mmoja alipata ulemavu (5 years old) kwakuwa alikuwepo kwenye hiyo ajali na dada yake ana 10 years.

RIEP Sophia.
 
Kaskazini bangi muhimu kwa wengi. Kwa mara ya kwanza, mtoto mrembo kama malaika akafunguka kuwa..." samahani D naomba kukiri hili kuwa nimekuficha hili muda mrefu natumia majani"

Nilhilisi giza nene:
Mabinti wa kaskazini kwa ganja wanaongoza, tena utakuta mpole kama mdogo wa Yesu
 
Habari za sahizi keyboard masters..

Ni muda sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu mrembo kutoka huko kaskazini, tulikutana chuo tukiwa classmates ila rasmi mahusiano yetu yalianza tukiwa mwaka wa pili semester ya kwanza.

Kipindi chote hicho sikuwahi kugundua kuwa anatumia sigara wala bangi zaidi ya pombe ambazo tulikuwa tunakunywa pamoja ila ghafla tu tulivyorudi chuo semester ya pili nilienda kumtembelea kwake bila taarifa nikashangaa kumkuta anavuta sigara tena kashikilia pakiti nzima ya Winston Sports.

Sikuongea kitu nikaamua kuondoka badae akanitumia meseji ndefu ya kuniomba msamaha kwa kunificha kipindi chote hiko ila akasisitiza hawezi kuacha hiyo tabia na mimi nikaona isiwe kesi ila nikamuweka kwenye list ya wanawake wa kujipigia pasina kuwa na malengo yoyote ya ndoa huko mbeleni.

Kipindi chote hicho yupo mjamzito nimekuwa nikimsititiza kupunguza matumizi ya pombe na kuacha kuvuta bangi na sigara akanambia kuwa kaacha sigara ila bangi hawezi kuacha kwa kuwa anaamini haina madhara.

Sasa wajuvi wa mambo naomba kujua kama kweli bangi haina madhara kwa mtoto au la na kama ina madhara naombeni ushauri nitumie mbinu gani kumshawishi aache kutumia.

Natanguliza shukrani
Ngada haina shida kwa mjamzito
 
Kitu ya chuga.... usijali haina madhara😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom