I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,547
- 9,232
Snoop Dogg ameweka wazi kuwa hajaacha kuvuta bangi; bado anaendelea kuvuta kwani ndio kitu anachokipenda sana na kuamua kuweka mambo sawa kuwa yale yote ilikuwa ni tangazo (ad) la majiko yasiyo na moshi

; smokeless stove.
View attachment 2820657



View attachment 2820657