bangi

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanandoa watimua mbio Mahakamani baada ya kuachiwa huru kwa kesi ya Bangi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi na kuwachia huru watu watatu wakiwemo wanandoa waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi gramu 66.70, baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano mfululizo bila kuendelea na usikilizwa wa upande wa...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Atupwa jela miaka 30 kwa kukutwa na bangi nyumbani

    Mahakama ya Wilaya ya Mtwara imemhukumu kwenda jela miaka 30, Salum Shamte (35), Mkazi wa Libobe wilayani hapa kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi. Hukumu hiyo imetolewa siku ya Alhamisi Machi 23, 2023 (jioni) na Hakimu wa Mahakama hiyo, Lucas Jang'andu baada ya kuridhishwa na...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya wamnasa mwizi wa ng’ombe, mwingine aponzwa na Bangi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika muendelezo wa misako inayofanyika katika maeneo ya Mkoa wa Mbeya, linamshikilia Hewad Jackson (33), Mkazi wa Kijiji cha Ilembo Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kupatikana na ng'ombe 10 wa wizi wenye thamani ya shilingi milioni kumi na tano [15,000,000/=]...
  4. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Support community ya kupambana na addiction kama kujichua, pombe , bangi , kupata marafiki, betting na others NJOO UNIPE MAWAZO YAKO KAMA SIO KUJIUNG

    Katika pitapita zangu nimekutana na tovuti ya nofap hii imenipa hamasa sana ukiangalia ukanda mzima huu wa afrika mashariki hakuna tovuti hii kwa jamii yetu Nimeona niianzishe na teyari nilikua nayo nyingine so nikufuta old post na kuanza upya Ningependa nipate mtazamo wako hii ni kama forum...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mna ushirikiano na huyo Mkenya anayehimiza ulimaji na matumizi ya bangi ndio mnadhania 2025 mtapata hata udiwani?

    Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?. Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe watakavyo. Leo hii mnashauriwa na wanaotaka vijana wa taifa hili waharibike kwa bangi. Nani...
  6. USSR

    JamiiForums Tanzania Prof. Wajackoyah aomba Rais Samia amruhusu awekeze kwenye bangi

    Mwenyekiti wa chama cha roots na mgombea urais katika uchaguzi uliopita nchini Kenya Profesa George Wajackoyah yupo hapa Tanzania muda mfupi amemaliza kuongea na EATV na kuomba kuonana na Rais Samia ili awekeze katika kilimo cha bangi, profesa Wajackoyah aligombea uchaguzi nchi Kenya kwa sera ya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Panya road katika matukio yao ni lazima wajeruhi kila mtu?

    Kwanza kabisa lazima tukubaliane kimsingi kuwa panya road ni school drop out hasa shule ya msingi na secondary, lakini wengi pia ni wale waliolelewa Kwa style ya single mothers hii nimeongea sio kukejeli lakini ni kutokana na mahojiano waliyofanya wenzao kituo Cha polisi. Jana Tarehe 11.02.23...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Bangi alalamika kufutiwa kesi mara 5 bila kuachiwa kwa miaka 8

    Hassan Banda anayedaiwa kukutwa na Bangi mwaka 2016, ameiomba Mahakama ya Kisutu imrudishe Mahabusu za Polisi kwa sababu mpaka sasa amewekwa Gerezani bila hukumu kwa kile kinachodaiwa ni "Upelelezi Haujakamilika". Banda amesema, licha ya Rais Samia kuagiza kufutwa kwa kesi zisizokuwa na...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanga: Wanafunzi 12 wakamatwa wakivuta Bangi vichakani

    Wanafunzi 12 wa shule ya Sekondari Handeni iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga wamekamatwa vichakani wakivuta bangi na kucheza kamari muda wa masomo hali iliyopelekea uongozi wa shule hiyo kuwasimamisha masomo kwa muda wa siku 14. Wanafunzi hao wamekamatwa kufuatia oparesheni maalumu ya...
  10. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Serikali acheni kukurupuka, wajengeeni uwezo badala ya kuwakandamiza wakulima wa bangi

    Naandika bila ya mpangilio au mtiririko maalum. Nimekurupuka na Jazba. Nimeona ni muhimu kuendeleza mjadala huu. Kuna .... Uzi huu ambao umetoa hoja zinazofanana na yaliyonitatiza roho yangu leo (Ukipata vidakika pitia huko) na baada ya kukutana na Uzi huu hapa, hususani kuhusu operesheni ya...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hili swala la bangi serikali iliangalie upya..kwa Sasa duniani bangi nibiashara kubwa mno ,tunajipa umaskini bila sababu !

    Hakuna kitu kinaniacha hoi kwa serikali kuruhusu pombe Kali ambazo zinaua watu zimejaa madukani!! Kama kitoko,k vant ,nyagi,john walker ,master,na nyingine kibao watu wanakauka mapafu ,afu inaenda kung'ang'ana na .. zao la bangi ambalo ni mmea TU ,biblia inayataja yote kama majani ya kondeni ...
  12. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Siyo bangi tu, hata video za utupu ni shida kubwa

    Wazee wamecharuka. Wamekasirika. Kifupi wamenuna. Wamefura. Hawataki tena kusikia masela wakiimba na kusifia ganja. Yes! Ni ganja pekee ndio dawa za kulevya zenye promo kubwa kwenye ngoma za Bongofleva. Kuanzia enzi za mikasi mpaka kikohozi cha Konde. Mtu mwenye akili yeyote ataunga mkono hilo...
  13. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Bangi hutumia muda gani kutoka kwenye akili?

    Maldives! Wakuu kwema? Hivi inachukua mda gani bangi kuondoka kwenye ubongo wa binadamu mpaka urudi kuwa normal? Yani naongelea ile full Cannabinoid detoxification. Yani mpaka pale Neurones zirudi kwenye hali ya kabla hazijawa stimulated na CBD ya bangi? Nlkuwa napiga dozi kwa siku mara 3...
  14. Norshad

    JamiiForums Tanzania Leseni ya Utumiaji wa bidhaa zitokanazo na mmea wa Bangi

    Salaam wakuu. Natumai wote mpo salama na mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida. Nina swali ambalo pengine naweza pata majibu hapa, Mmea wa Bangi unatumika kama dawa kwa baadhi ya watu na wengine wanautumia kwa dhumuni la kujistarehesha kihisia si ndivyo? Sasa maswali yangu ni haya na...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wasanii wanaoimba kuhusu bangi wapewa onyo

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Gerald Kusaya amewaonya Wasanii wa Tanzania wanaotunga nyimbo za kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo bangi na kusema hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa Wasanii hao. Akiongea na Waandishi wa Habari...
  16. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Uvivu nao ni aina ya ulevi kama uraibu wa pombe, uzinzi na bangi?

    Uvivu upo kundi la ulevi kama ilivyo kwa waraibu wa pombe, umalaya, bangi, sigara, n.k ? Ni ulevi upi wa ziada wavivu huupenda?
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania India: Polisi walaumu panya kula Kilo 200 za bangi zilizotakiwa kutumia kama ushahidi

    Imeelezwa kuwa panya hao wamekula bangi hizo zilizokamatwa kama ushahidi kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa kwenye Kituo cha Polisi. Maelezo hayo yametolewa Mahakamani wakati kesi tatu za bangi zilipokuwa zikiendelea, tamko la Polisi limesema “Panya ni Wanyama wadogo na hawawaogopi askari ni...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Watu 151 wamekamatwa na kilo 82 za Bangi, lita 1915 za Gongo

    Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP Nicodemus Katembo amesema watu 4 kati yao walikutwa na Nyama ya Tandala kilo 21, Nyama ya Swala kilo 50 na Pembe za Ndovu vipande 4. Pia, watuhumiwa walikutwa na mitambo 10 ya PombeHaramu, Televisheni 7, Jenereta 1, Kiyoyozi 1, Godoro 1, Mbao Asili 76, Majiko...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania California - Marekani: Watawa walima bangi

    Wanawake hawa ni "Masista wa eneo hilo," wanaojulikana zaidi kama Watawa wa bangi. Wakiongozwa na Mtawa Kate, wanawake hao ni wanachama wa kundi linalojiita watawa wanaojitambulisha kama watetezi wa haki za wanawake, lakini muhimu zaidi, ni wafanyabiashara. Licha ya kuwa California...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujerumani mbioni kuhalalisha matumizi ya bangi kwa starehe

    Hatua hiyo inaelekea kukamilika kama iivyoahidiwa na Serikali ya Kansela, Chancellor Olaf Scholz na ikiwa itakamilika itakuwa Nchi ya pili katika Umoja wa Ulaya kuhalalisha matumizi hayo baada ya Malta. Lengo linatajwa kuwa ni kwa ajili ya burudani kwa watu wazima ambapo matumizi...
Back
Top Bottom