China kuanza zoezi la kulipua mabomu baharini, huku Pelosi ametua Taiwan bila shida

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,407
Baada ya mikwara kila siku kwamba Nancy Pelosi akithubutu kuingia Taiwan, basi China itafanya jambo la kweli, wameishia kuandaa maandalizi ya kufyatua makombora kwenye bahari, wanasubiriwa wafanye kweli maana kwenye Taiwan, Marekani ana mkataba kabisa wa kulinda, hivyo atahusika moja kwa moja.

Lakini jameni haka kadunia ketu bora tulipuane tu, tension kila siku kha

=========

Beijing has announced its military will hold live fire exercises off the coast of Taiwan.

The announcement from China came within an hour of Nancy Pelosi touching down in Taipei, despite fierce oppisition to the trip from Beijing.

The Chinese military has been put on high alert and will launch “targeted military operations” in response to the visit, China’s defence ministry said.

Separately, the People’s Liberation Army’s Eastern Theatre Command said it will conduct joint military operations near Taiwan from Tuesday night, and will test-launch conventional missiles in the sea east of Taiwan.

The military drills will last Thursday to Sunday, said Beijing.

The exercises will include joint air and sea drills in the north, southwest, northeast of Taiwan, long range live firing in the Taiwan Strait, and missiles test-launches in the sea east of Taiwan, the Eastern Theatre Command said.

China has condemned Pelosi’s visit, with the foreign ministry saying it seriously damages peace and stability in the Taiwan Strait and “has a severe impact on the political foundation of China-US relations, and seriously infringes upon China’s sovereignty and territorial integrity”.

The ministry said it had lodged a strong protest with the United States and accused Washington of being “unscrupulous”.

Mlimtegemea Mrusi akawaangusha, mkahamia kwa Mchina naye ndiye huyu hana jipya, Iran wenu alishapigwa biti, itabidi mkubali tu Marekani ndiye baba lao, la sivyo mtahangaika sana waarabu wa Bongo.
Nilitegemea Kiduku angepeleka mikwara mbuzi ya kutest machuma yake ayarushe japo baharini ila hola; kaufyata!

Kuna mfanano mkubwa wa hawa watu - Kiduku, Putin, Xi, Ayatollah. Wote ni watawala wa kimabavu wa maisha aka fascists; neno lao ni zaidi ya sheria; hujinasibisha kupendwa sana na wananchi wao; wana nchi zao za kuzionea, etc.
 
Baada ya mikwara kila siku kwamba Nancy Pelosi akithubutu kuingia Taiwan, basi China itafanya jambo la kweli, wameishia kuandaa maandalizi ya kufyatua makombora kwenye bahar....
Mkuu sema wachina watakuwa kwenye mazoezi ya kukata mauno kama tiara baharini, yaan wanaume wazima jana yamemsindikiza bibi Nancy na na vijichuma yao chakavu huku yakikata mauno ya kibao kata.

Wale wanaoitaga US mashoga jana ndo wameona vinchi gani vishoga kati ya US au hivo vinchi vyao wanavyovipenda.
 
Mlimtegemea Mrusi akawaangusha, mkahamia kwa Mchina naye ndiye huyu hana jipya, Iran wenu alishapigwa biti, itabidi mkubali tu Marekani ndiye baba lao, la sivyo mtahangaika sana waarabu wa Bongo.
Duh, kumbe wachina ni waarabu?
 
Mlimtegemea Mrusi akawaangusha, mkahamia kwa Mchina naye ndiye huyu hana jipya, Iran wenu alishapigwa biti, itabidi mkubali tu Marekani ndiye baba lao, la sivyo mtahangaika sana waarabu wa Bongo.
Russia katuangusha wapi huoni anachukua maeneo kila siku wewe umeamua kujitoa akili kabisa umeamua kuonekana huna akili.
 
Russia katuangusha wapi huoni anachukua maeneo kila siku wewe umeamua kujitoa akili kabisa umeamua kuonekana huna akili.

Kainchi kadogo kamemliza, miezi yote hii nikikumbuka zile mbwembwe mlianza nazo humu....
 
Lakini jameni haka kadunia ketu bora tulipuane tu, tension kila siku kha
 
nacheka tu ila hamjui mtiti wa vita hapo umeme na network zitakapo katika miezi miwili juu ya vita ndo mtajua huu ni ushabiki koko..
 
Madai
Baada ya Nancy Pelosi kuingia Taiwan, inadaiwa China imepanga kufanya shambulizi katika nchi hiyo. Taarifa zinadai kwamba China inafanya zoezi la kufyatua makombora kwenye bahari. Hata hivyo inafahamika kuwa Marekani ana mkataba kabisa wa kulinda nchi ya Taiwan, hivyo atahusika moja kwa moja.

zaidi kuhusu madai haya soma

Beijing has announced its military will hold live fire exercises off the coast of Taiwan.

The announcement from China came within an hour of Nancy Pelosi touching down in Taipei, despite fierce oppisition to the trip from Beijing.

The Chinese military has been put on high alert and will launch “targeted military operations” in response to the visit, China’s defence ministry said.

1660193149777.png

Back
Top Bottom