DC Ludigija: Kuna Meli inavujisha mafuta baharini, Watu wa Dar msinunue mafuta ya kwenye Madumu, yamechotwa Baharini

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Mkuu wa wilaya ya Ilala Ngw'ilabuzu Ndatwa Ludigija ametahadharisha Wananchi wa Dar kwamba Wasinunue mafuta ya kwenye Madumu.

Kasema Pwani ya Dar kuna Meli inamwaga mafuta, fukwe zote zimejaa mafuta ambayo bado haijafahamika, hivyo watu wanachota na kwenda kuuza Mtaani. Mafuta haya yanaweza kuharibu Injini ya gari. Na wale wanaoishi jirani na Dar wawe makini. Mafuta haya yapo Mkuranga Bagamoyo na Tanga

Pia amepiga marufuku watu kutumia maji ya bahari hadi Uchunguzi utakapo kamilika. Haijajulikana mafuta yale yana mchanganyiko wa Vitu gani.

Mkuu wa wilaya ya Ilala Ngw'ilabuzu Ndatwa Ludigija ametahadharisha Wananchi wa Dar kwamba Wasinunue mafuta ya kwenye Madumu.

Kasema Pwani ya Dar kuna Meli inamwaga maduta, fukwe zote zimejaa mafuta ambayo bado haijafahamika, hivyo watu wanachota na kwenda kuuza Mtaani. Mafuta haya yanaweza kuharibu Injini ya gari. Na wale wanaoishi jirani na Dar wawe makini. Mafuta haya yapo Mkuranga Bagamoyo na Tanga

View attachment 2178278
Chini ya Mmakunduchi nchi inarudi kuwa shamba la bibi kwa kasi sana

Kipindi cha chuma cha pua hawakuthubutu kuchafua mito, bahari, nakadhalika; kwa ku-dump kemikali/&mafuta
 
Nashangaa hili tatizo wameshalitengeneza kwa kutuambia sababu ni vita ya Urusi na Ukraine, lakini naona bado wanaendelea kuliongezea sababu nyingine za hovyo ilimradi kuhalalisha uhaba wa mafuta.

Huyu Rais mtetezi wa wafanyabiashara aondoke tu, hana akili ya kuongoza hili taifa na hata wasaidizi na washauri wake pia nao hawana akili za kutuongoza, wote ni failure.
 
Sababu ipi nyingine?
 
Ile kamati ya mto Mara itasema sio mafuta ni siagi na inafaa kupaka kwenye mikate.
 
..kwanini taarifa za kiintelijensia zimeshindwa kuwanasa wahusika kabla ya hawajatekeleza mipango yao?
 
Mkuu wa wilaya ya Ilala Ngw'ilabuzu Ndatwa Ludigija ametahadharisha Wananchi wa Dar kwamba Wasinunue mafuta ya kwenye Madumu.

Kasema Pwani ya Dar kuna Meli inamwaga maduta, fukwe zote zimejaa mafuta ambayo bado haijafahamika, hivyo watu wanachota na kwenda kuuza Mtaani. Mafuta haya yanaweza kuharibu Injini ya gari. Na wale wanaoishi jirani na Dar wawe makini. Mafuta haya yapo Mkuranga Bagamoyo na Tanga

Pia amepiga marufuku watu kutumia maji ya bahari hadi Uchunguzi utakapo kamilika. Haijajulikana mafuta yale yana mchanganyiko wa Vitu gani.

View attachment 2178278

Maduta ndio bidhaa gani?
 
Back
Top Bottom