Zifahamu nyaya za baharini na mtandao wake katika mabara

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
20,025
46,174
Kebo za chini ya bahari, pia hujulikana kama nyaya za mawasiliano za chini ya bahari, ni nyaya za nyuzi-optic zinazowekwa kwenye sakafu ya bahari na zinazotumiwa kusambaza data kati ya mabara.

Kebo hizi ndizo uti wa mgongo wa mtandao wa kimataifa, unaobeba wingi wa mawasiliano ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na barua pepe, kurasa za tovuti na simu za video.

images (13).jpeg
images (11).jpeg
 
View attachment 2989492View attachment 2989495
Nimeipenda hii
 
Huko baharini Kuna viumbe vikubwa na vibabe kweli kweli yawezekana juzi papa au nyangumi walikasirika na kuyafyekelea mbali
Lakini engineers pia wapo makini kutengeneza miundombinu inayoweza kuhimili mazingira hayo.

Hili sakata la internet kwa kinachoendelea duniani naamini kuna wajanja wana agenda zao.
 
Hivi hizi nyaya zina ulinzi kweli.
Je, nyaya hufanyaje kazi? Cables za kisasa za manowari hutumia teknolojia ya fiber-optic. Lasers upande mmoja huwaka kwa kasi ya haraka sana chini ya nyuzi nyembamba za kioo hadi kwa vipokezi kwenye ncha nyingine ya kebo. Nyuzi hizi za glasi zimefungwa kwenye tabaka za plastiki (na wakati mwingine waya za chuma) kwa ulinzi
 
Zimeshapitwa na wakati Sasa hivi STAR LINK ndio habari ya dunia
Fiber bado ni reliable kijana
Better speed
Less delay
More stable

Starlink ina manufaa kwenye coverage tu satellite chache eneo kubwa

Lakini connection yoyote nzuri ni fiber tuli wataalamu wafanye splicing mzigo urudi hewani
 
Uzi tayar😄

KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
NDOA NI UHUJUMU UCHUMI
NDOA NI KIFUNGO
 
Biashara inahitaji Ujasusi na rushwa ili ufanikiwe, hapa tajiri wa dunia anataka alete Starlink. Na wajanja wa kwetu bado wanataka wabaki kwenye unyonyaji wao mshindi karibuni atajulikana.
 
Back
Top Bottom