Daraja lazamishwa baharini huko Baltimore- Marekani

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,308
35,852
Daraja kubwa la Francis Scott Key Bridge lenye urefu maili 1.6 huko Baltimore limegongwa na meli ya mizigo na kizamishwa baharini kabisa huku malori na magari madogo yakizama baharinii

The moment Francis Scott Key Bridge in Baltimore collapsed after a cargo ship struck it in the early hours of this morning in the US.

The third video shows the aftermath of the incident on the 1.6 mile long bridge.

IMG_20240326_171741.jpg
Screenshot_20240326-175636~2.png
Screenshot_20240326-175606~2.png
Screenshot_20240326-172646~2.png
Screenshot_20240326-172646~2.png
Screenshot_20240326-175733~2.png

Watu wapatao 20 wanahofiwa kuwa ndani ya maji baada ya daraja la Francis Scott lililopo Baltimore Nchini Marekani kukatika vipandevipande leo March 26,2024 baada ya meli iliyobeba kontena kuligonga.

Boti kadhaa za Vikosi vya uokoaji zimeonekana kwenye Mto huo uitwao Patapaco wakiwemo Wazamiaji ambao wamekiri kuwa magari kadhaa yameonekana kwenye maji.

Daraja hilo la kilometa 2.5 ni kiungo muhimu kwa Watumiaji mbalimbali wa eneo hilo ambapo meli hiyo inayopeperusha bendera ya Singapore imetajwa kuwa na urefu wa futi 948 kwenda juu.

Mji wa Baltimore uliopo ndani ya Jimbo la Maryland ni Mji wenye Wakazi zaidi ya laki tano kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2020 na ni nyumbani wanakotoka Mastaa kama Jada Pinkett Smith, Sisqó, Mwimbaji Marioo na Spika aliyepita Nancy Pelosi
 
Watu wapatao 20 wanahofiwa kuwa ndani ya maji baada ya daraja la Francis Scott lililopo Baltimore Nchini Marekani kukatika vipandevipande leo March 26,2024 baada ya meli iliyobeba kontena kuligonga.

Boti kadhaa za Vikosi vya uokoaji zimeonekana kwenye Mto huo uitwao Patapaco wakiwemo Wazamiaji ambao wamekiri kuwa magari kadhaa yameonekana kwenye maji.

Daraja hilo la kilometa 2.5 ni kiungo muhimu kwa Watumiaji mbalimbali wa eneo hilo ambapo meli hiyo inayopeperusha bendera ya Singapore imetajwa kuwa na urefu wa futi 948 kwenda juu.

Mji wa Baltimore uliopo ndani ya Jimbo la Maryland ni Mji wenye Wakazi zaidi ya laki tano kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2020 na ni nyumbani wanakotoka Mastaa kama Jada Pinkett Smith, Sisqó, Mwimbaji Marioo na Spika aliyepita Nancy Pelosi. #MillardAyoUPDATES
 
Attachments

  • IMG_20240326_183820.jpg
    IMG_20240326_183820.jpg
    407.1 KB · Views: 1
The collapse of the Francis Scott Key Bridge is massive! (I’ve been on it hundreds of X)

Experts state that the exact spot that the ship hit is the absolute worst place it could have hit, to cause such a huge bridge to buckle.

Ships routinely, constantly travel this route out to the Baltimore Harbor. It’s a major waterway for shipping!

31,500 vehicles travel on this bridge a day, including many truckers.

A major shipping vessel would have an advanced warning system that would alert the crew if it came close to an obstacle.

Baltimore is a major arena for commerce and this will cause a major backlog.

Accidents like this do not happen here!

I’m thinking this is INTENTIONAL!

It’s a CRIME SCENE!
 
Attachments

  • IMG_20240326_191125.jpg
    IMG_20240326_191125.jpg
    511.5 KB · Views: 2
🇺🇸🇺🇦🚨‼️ The captain of the ship that hit the bridge in Baltimore is Ukranian.

Is he upset with the aid delay? Or just unlucky.
 
Attachments

  • IMG_20240326_192044.jpg
    IMG_20240326_192044.jpg
    159.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240326-172646~2.png
    Screenshot_20240326-172646~2.png
    331.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom