Mwili wa kijana aliejirusha baharini umeonekana

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Kijana aliyejitosa baharini katika Meli ya Zanzibar III, mwili wake umepatikana maeneo ya Tumbatu.

Daktari Mkuu msaidizi wa Hospitali ya Kivunge Kaskazini Unguja Dkt Tamim Hamad akiri kupokea mwili wa Mahmoud Mwalim akiejirusha baharini akiwa amefariki.

"Leo majira ya saa 10 jioni tumepokea mwili wa Kijana huyo ambao umekutwa katika eneo la bahari ya Tumbatu Kaskazini Unguja," amesema.

Snapinsta.app_422170151_1517157982474656_2731906139141295855_n_1080.jpg

📸 CloudsDigital

Kijana aliyejitosa baharini katika Meli ya Zanzibar III, mwili wake umepatikana maeneo ya Tumbatu.

Daktari Mkuu msaidizi wa Hospitali ya Kivunge Kaskazini Unguja Dkt Tamim Hamad akiri kupokea mwili wa Mahmoud Mwalim akiejirusha baharini akiwa amefariki.

"Leo majira ya saa 10 jioni tumepokea mwili wa Kijana huyo ambao umekutwa katika eneo la bahari ya Tumbatu Kaskazini Unguja," amesema.
Samaki wa baharini hua hawajihusishi na maiti ingekua mto we mamba asingeonekana
 
Ktk video pale juu seems mwenzake waliyekuwa wamekaa pamoja alishakuwa aware na alichokuwa anaenda kukifanya ndiyo maana alipoinuka nae aliinuka bahati mbaya alidhani alichomwambia ni utani.

Angepiga kelele mapema kuwastua abiria wenzake wangemuokoa but ndiyo hivyo alishaandikiwa,halafu ni kama alikuwa amelewa maana akitembea ni kama alikuwa anapepesuka.
 
Sio kulewa,boti ikiwa ktk spidi huwezi kutembea vizuri mule lazima utatembea kwa staili Ile
 
Back
Top Bottom